Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 36,572
- 23,875
- Thread starter
- #121
Naona unaandika uhayawani tuNonsense
Naona unaandika uhayawani tuNonsense
Naona unaandika uhayawani tuNonsense
Huna hoja wewe mpuuzi huna loloteUkiona unakimbilia kwenye matusii inakuwa ni ishara ya kuelemewa na uzito wa hoja
Endelea kumdharau baba yako tu maana tunasema umheshimishe baba yako unasema tunakutukana.kweli hujielewi.Matusi ni dalili ya kuishiwa hoja na kushindwa cha kujibu. Mwenye busara na hekima hujibu hoja kwa hoja tu.
“Afrika bara la Giza” dark continent, kwa akili izi açha muafrika aitwe nyani tena atupiwe ndizi zilizoozaNdugu zangu Watanzania,
Mtakubaliana nami kuwa Rais Samia na Dr Tulia wanastahili heshima ya kipekee kupewa na kutambuliwa na Taifa letu kwa kujengewa sanamu zitakazoishi miaka na miaka na kubakia kama alama na kumbukumbu kwa vizazi na vizazi, juu ya historia kubwa na ya kipekee waliyoiandika katika Taifa letu na Dunia nzima kwa ujumla wake pamoja na mchango na heshima waliyolipatia Taifa letu. Watu wenye kuelewa na kuthamini michango na heshima ya watu hufanya haya kwa kuwajengea sanamu watu wanaoona wanastahili heshima hii.
Ndio maana ukienda uingereza katika uwanja wa old Trafford unaikuta sanamu ya sr Alex Ferguson kocha aliyeifundisha Manchester United kwa takribani miaka 26 na kuipatia mafanikio mengi na mataji mengi tu,lakini pia kuna sanamu kule india ya Christiano Ronaldo aliyecheza kwa mafanikio makubwa sana na mchezaji bora wa Dunia kwa nyakati tofauti,ukienda Afrika kusini katika mji wa Pretoria unaikuta Sanamu ya Hayati Nelson Mandela.
Ni vipi Watanzania tushindwe kutambua mchango wa Rais samia kiongozi aliyeliheshimisha Taifa letu,Taifa ambalo kwa sasa sauti yake inasikika na kusikilizwa kila kona ya Dunia,sauti inayofunguliwa milango yote ya ulimwengu huu,kiongozi aliyeleta mapinduzi katika kila Secta kuanzia elimu,afya, miundombinu, usambazaji wa maji safi na salama,uchumi,ajira, diplomasia,utawala bora na kujenga umoja wa kitaifa? Utaanzia wapi kusema hastahili wakati unaona namna alivyojenga uchumi unaogusa maisha ya kila mtanzania mwenye kufanya kazi kwa bidii na kujituma? Unaanzia wapi kusema hastahili mama aliyetufanya leo watanzania tutembee vifua mbele popote pale Duniani?
Pamoja na uwezo mkubwa wa Dr Tulia lakini ni nguvu ,ushawishi ,kusikilizwa na kupendwa na kupendwa kwa Rais samia na viongozi mbalimbali Duniani kote kulikompatia ushindi Dada yetu fahari ya nyanda za juu kusini na Nembo ya Mbeya Dr Tulia Acksoni mwansasu,baada ya serikali zao kukubali maombi ya Rais samia ya kumuunga mkono mwanae Dr Tulia na kuomba wampigie kura za ndio.
Dr Samia Suluhu Hasssan anastahili kujengewa Sanamu katikati ya jiji la Dar es salaam ambalo litaonekana kila kona ya jiji letu na kila mgeni akifika jijini atasimama kulitazama na kupata tabasamu kuwa Tanzania imepata bahati ya kuwa na Rais huyu mwanamke na mama wa shoka na aliyemadhubuti na imara kama simba awapo mbugani.
Leo Dr Tulia amekuwa Rais wa kwanza mwanamke kutoka Barani Afrika kuongoza umoja wa mabunge Duniani na mwanamke wa Tatu tangia kuanzishwa kwa umoja huo.je hatuoni hii ni heshima kubwa aliyolipatia Taifa letu? Hatuoni kuwa anastahili kujengewa Sanamu pale katikati ya jiji la Mbeya? Sanamu itakayotoa na kuleta hamasa ,morali na nguvu kwa watoto wa kike na wasichana kuinua matumaini yao na kuona kuwa kumbe inawezekana kuwa yeyote yule katika ulimwengu huu ikiwa utafanya bidii?sanamu itayowapa nguvu wanafunzi wa kike mkoani Mbeya na Tanzania nzima kwa ujumla wake kuona kuwa kumbe wanaweza kutimiza na kufikia ndoto zao na kufika alipofika Dada yao Dr Tulia?
Mtanzania gani amewahi kuwa Rais wa IPU? Kwanini tusione Dr Tulia anastahili heshima hii? Kwa umri wake mtanzania gani amewahi kupata ushindi wa kishindo na kukwea kimadaraka kama Dr Tulia? Kwanini tusione anastahili kujengewa Sanamu ili kila mtoto wa kike akiinua macho yake na kuitazama sanamu hiyo ajipige kifuani mara tatu kijasiri na kusema kuwa hata kama natoka familia maskini na wazazi wangu hawajiwezi lakini nataka kuwa kama Dr Tulia na kutimiza ndoto zangu?
Leo ni kwa ushawishi wa Dr Tulia kwa Serikali yetu tunaona Mbeya inakwenda kujengwa Barabara za njia nne kutoka igawa Mbeya hadi Tunduma mkoani Songwe,ni kwa uwepo wa Dr Tulia tumeona akijenga mabweni shule ya Samora mkoani Mbeya,kusaidia vikundi vya vijana na akina mama kwa kuwapatia mitaji, bodaboda na bajaji kwa vijana ambapo sasa wanajipatia pesa,ni Dr Tulia amekuwa akisaidia sana na kuwa karibu na wazee pamoja na wengi wasio jiweza na kuwapa misaada ya hali na mali.
Nashauri pia kwa chochote kitakachojengwa mkoani Mbeya kuanzia sasa kati ya shule au kituo cha afya au barabara kipewe jina la Dr Tulia,lakini pia viongozi wa serikali za mitaa mnaweza kumzawadia mtaa mmoja ukaitwa mtaa wa Dr Tulia kama sehemu ya kumpa heshima Dr Tulia na kutambua mchango wake katika mkoa wa mbeya na Taifa zima kwa ujumla wake.Dr Tulia ni fahari yetu wana nyanda za juu kusini na Nembo ya wana Mbeya, Tuendelee kumuombea na kumtia moyo katika majukumu yake ya kitaifa na kimataifa.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Bila shaka ww ni mwana CCM kindakindaki. Ingependeza xana kama Ndg Lucas ungetoa fedha mfukoni kwako kw ajli ya pendekezo lako kuonyesha uzalendo. Kuna wagonjwa kw maelfu wanafia majmbn mwao hawana misaada, kna maeneo hayafikiki kw kkosa brbr ...nk halaf mtu analeta pendkezo hapa serikali itumie kodi za wananchi kujengea watu masanamu!! Ni jana tu wameptisha kw kshindo mswada kutumia kodi za waTz kulipia wake na waume wa vgogo pensheni bila kufanya kazi, ss mnaleta kioja kingne! Nikushauri Lucas, hoja yako umeileta ktk kipindi watu wana hasira na matumizi mabaya ktk serikali, leta mwakani, huenda watu watakua wamesahau, wamepungza hasira, naamini utafanikiwa. Dah, Tz ina "wazalendo"Ndugu zangu Watanzania,
Mtakubaliana nami kuwa Rais Samia na Dr Tulia wanastahili heshima ya kipekee kupewa na kutambuliwa na Taifa letu kwa kujengewa sanamu zitakazoishi miaka na miaka na kubakia kama alama na kumbukumbu kwa vizazi na vizazi, juu ya historia kubwa na ya kipekee waliyoiandika katika Taifa letu na Dunia nzima kwa ujumla wake pamoja na mchango na heshima waliyolipatia Taifa letu. Watu wenye kuelewa na kuthamini michango na heshima ya watu hufanya haya kwa kuwajengea sanamu watu wanaoona wanastahili heshima hii.
Ndio maana ukienda uingereza katika uwanja wa old Trafford unaikuta sanamu ya sr Alex Ferguson kocha aliyeifundisha Manchester United kwa takribani miaka 26 na kuipatia mafanikio mengi na mataji mengi tu,lakini pia kuna sanamu kule india ya Christiano Ronaldo aliyecheza kwa mafanikio makubwa sana na mchezaji bora wa Dunia kwa nyakati tofauti,ukienda Afrika kusini katika mji wa Pretoria unaikuta Sanamu ya Hayati Nelson Mandela.
Ni vipi Watanzania tushindwe kutambua mchango wa Rais samia kiongozi aliyeliheshimisha Taifa letu,Taifa ambalo kwa sasa sauti yake inasikika na kusikilizwa kila kona ya Dunia,sauti inayofunguliwa milango yote ya ulimwengu huu,kiongozi aliyeleta mapinduzi katika kila Secta kuanzia elimu,afya, miundombinu, usambazaji wa maji safi na salama,uchumi,ajira, diplomasia,utawala bora na kujenga umoja wa kitaifa? Utaanzia wapi kusema hastahili wakati unaona namna alivyojenga uchumi unaogusa maisha ya kila mtanzania mwenye kufanya kazi kwa bidii na kujituma? Unaanzia wapi kusema hastahili mama aliyetufanya leo watanzania tutembee vifua mbele popote pale Duniani?
Pamoja na uwezo mkubwa wa Dr Tulia lakini ni nguvu ,ushawishi ,kusikilizwa na kupendwa na kupendwa kwa Rais samia na viongozi mbalimbali Duniani kote kulikompatia ushindi Dada yetu fahari ya nyanda za juu kusini na Nembo ya Mbeya Dr Tulia Acksoni mwansasu,baada ya serikali zao kukubali maombi ya Rais samia ya kumuunga mkono mwanae Dr Tulia na kuomba wampigie kura za ndio.
Dr Samia Suluhu Hasssan anastahili kujengewa Sanamu katikati ya jiji la Dar es salaam ambalo litaonekana kila kona ya jiji letu na kila mgeni akifika jijini atasimama kulitazama na kupata tabasamu kuwa Tanzania imepata bahati ya kuwa na Rais huyu mwanamke na mama wa shoka na aliyemadhubuti na imara kama simba awapo mbugani.
Leo Dr Tulia amekuwa Rais wa kwanza mwanamke kutoka Barani Afrika kuongoza umoja wa mabunge Duniani na mwanamke wa Tatu tangia kuanzishwa kwa umoja huo.je hatuoni hii ni heshima kubwa aliyolipatia Taifa letu? Hatuoni kuwa anastahili kujengewa Sanamu pale katikati ya jiji la Mbeya? Sanamu itakayotoa na kuleta hamasa ,morali na nguvu kwa watoto wa kike na wasichana kuinua matumaini yao na kuona kuwa kumbe inawezekana kuwa yeyote yule katika ulimwengu huu ikiwa utafanya bidii?sanamu itayowapa nguvu wanafunzi wa kike mkoani Mbeya na Tanzania nzima kwa ujumla wake kuona kuwa kumbe wanaweza kutimiza na kufikia ndoto zao na kufika alipofika Dada yao Dr Tulia?
Mtanzania gani amewahi kuwa Rais wa IPU? Kwanini tusione Dr Tulia anastahili heshima hii? Kwa umri wake mtanzania gani amewahi kupata ushindi wa kishindo na kukwea kimadaraka kama Dr Tulia? Kwanini tusione anastahili kujengewa Sanamu ili kila mtoto wa kike akiinua macho yake na kuitazama sanamu hiyo ajipige kifuani mara tatu kijasiri na kusema kuwa hata kama natoka familia maskini na wazazi wangu hawajiwezi lakini nataka kuwa kama Dr Tulia na kutimiza ndoto zangu?
Leo ni kwa ushawishi wa Dr Tulia kwa Serikali yetu tunaona Mbeya inakwenda kujengwa Barabara za njia nne kutoka igawa Mbeya hadi Tunduma mkoani Songwe,ni kwa uwepo wa Dr Tulia tumeona akijenga mabweni shule ya Samora mkoani Mbeya,kusaidia vikundi vya vijana na akina mama kwa kuwapatia mitaji, bodaboda na bajaji kwa vijana ambapo sasa wanajipatia pesa,ni Dr Tulia amekuwa akisaidia sana na kuwa karibu na wazee pamoja na wengi wasio jiweza na kuwapa misaada ya hali na mali.
Nashauri pia kwa chochote kitakachojengwa mkoani Mbeya kuanzia sasa kati ya shule au kituo cha afya au barabara kipewe jina la Dr Tulia,lakini pia viongozi wa serikali za mitaa mnaweza kumzawadia mtaa mmoja ukaitwa mtaa wa Dr Tulia kama sehemu ya kumpa heshima Dr Tulia na kutambua mchango wake katika mkoa wa mbeya na Taifa zima kwa ujumla wake.Dr Tulia ni fahari yetu wana nyanda za juu kusini na Nembo ya wana Mbeya, Tuendelee kumuombea na kumtia moyo katika majukumu yake ya kitaifa na kimataifa.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Sitafuti uteuziBado hujapata uteuzi?![]()
Ili ufanye nini na ushamba wako.Huyu Bwege natamani kumuona physically
Ndiyo tunajua unatafuta mume baada ya kufiwa na mume mwaka janaSitafuti uteuzi
Dadeki kunguru hafugiki,Ili ufanye nini na ushamba wako.
Dr Tulia ndio Nembo ya wana Mbeya na fahari ya nyanda za juu kusini .Ni Samia tu.
Huyo mwingine kamjengee wewe.
Maana mnafahamiana kule kwenu Mbeya.
Eti wajengee sanamu. AKili yako iko kwenye sanamu badala ya kacha historia ichukue mkondo wake. Viongozi wazuri huwa hawajengewi sanamu wakiwa madarakani au wakiwa hai. Vinginevyto zitabaki kama zile sanamu za Saddam HusseinNdugu zangu Watanzania,
Mtakubaliana nami kuwa Rais Samia na Dr Tulia wanastahili heshima ya kipekee kupewa na kutambuliwa na Taifa letu kwa kujengewa sanamu zitakazoishi miaka na miaka na kubakia kama alama na kumbukumbu kwa vizazi na vizazi, juu ya historia kubwa na ya kipekee waliyoiandika katika Taifa letu na Dunia nzima kwa ujumla wake pamoja na mchango na heshima waliyolipatia Taifa letu. Watu wenye kuelewa na kuthamini michango na heshima ya watu hufanya haya kwa kuwajengea sanamu watu wanaoona wanastahili heshima hii.
Ndio maana ukienda uingereza katika uwanja wa old Trafford unaikuta sanamu ya sr Alex Ferguson kocha aliyeifundisha Manchester United kwa takribani miaka 26 na kuipatia mafanikio mengi na mataji mengi tu,lakini pia kuna sanamu kule india ya Christiano Ronaldo aliyecheza kwa mafanikio makubwa sana na mchezaji bora wa Dunia kwa nyakati tofauti,ukienda Afrika kusini katika mji wa Pretoria unaikuta Sanamu ya Hayati Nelson Mandela.
Ni vipi Watanzania tushindwe kutambua mchango wa Rais samia kiongozi aliyeliheshimisha Taifa letu,Taifa ambalo kwa sasa sauti yake inasikika na kusikilizwa kila kona ya Dunia,sauti inayofunguliwa milango yote ya ulimwengu huu,kiongozi aliyeleta mapinduzi katika kila Secta kuanzia elimu,afya, miundombinu, usambazaji wa maji safi na salama,uchumi,ajira, diplomasia,utawala bora na kujenga umoja wa kitaifa? Utaanzia wapi kusema hastahili wakati unaona namna alivyojenga uchumi unaogusa maisha ya kila mtanzania mwenye kufanya kazi kwa bidii na kujituma? Unaanzia wapi kusema hastahili mama aliyetufanya leo watanzania tutembee vifua mbele popote pale Duniani?
Pamoja na uwezo mkubwa wa Dr Tulia lakini ni nguvu ,ushawishi ,kusikilizwa na kupendwa na kupendwa kwa Rais samia na viongozi mbalimbali Duniani kote kulikompatia ushindi Dada yetu fahari ya nyanda za juu kusini na Nembo ya Mbeya Dr Tulia Acksoni mwansasu,baada ya serikali zao kukubali maombi ya Rais samia ya kumuunga mkono mwanae Dr Tulia na kuomba wampigie kura za ndio.
Dr Samia Suluhu Hasssan anastahili kujengewa Sanamu katikati ya jiji la Dar es salaam ambalo litaonekana kila kona ya jiji letu na kila mgeni akifika jijini atasimama kulitazama na kupata tabasamu kuwa Tanzania imepata bahati ya kuwa na Rais huyu mwanamke na mama wa shoka na aliyemadhubuti na imara kama simba awapo mbugani.
Leo Dr Tulia amekuwa Rais wa kwanza mwanamke kutoka Barani Afrika kuongoza umoja wa mabunge Duniani na mwanamke wa Tatu tangia kuanzishwa kwa umoja huo.je hatuoni hii ni heshima kubwa aliyolipatia Taifa letu? Hatuoni kuwa anastahili kujengewa Sanamu pale katikati ya jiji la Mbeya? Sanamu itakayotoa na kuleta hamasa ,morali na nguvu kwa watoto wa kike na wasichana kuinua matumaini yao na kuona kuwa kumbe inawezekana kuwa yeyote yule katika ulimwengu huu ikiwa utafanya bidii?sanamu itayowapa nguvu wanafunzi wa kike mkoani Mbeya na Tanzania nzima kwa ujumla wake kuona kuwa kumbe wanaweza kutimiza na kufikia ndoto zao na kufika alipofika Dada yao Dr Tulia?
Mtanzania gani amewahi kuwa Rais wa IPU? Kwanini tusione Dr Tulia anastahili heshima hii? Kwa umri wake mtanzania gani amewahi kupata ushindi wa kishindo na kukwea kimadaraka kama Dr Tulia? Kwanini tusione anastahili kujengewa Sanamu ili kila mtoto wa kike akiinua macho yake na kuitazama sanamu hiyo ajipige kifuani mara tatu kijasiri na kusema kuwa hata kama natoka familia maskini na wazazi wangu hawajiwezi lakini nataka kuwa kama Dr Tulia na kutimiza ndoto zangu?
Leo ni kwa ushawishi wa Dr Tulia kwa Serikali yetu tunaona Mbeya inakwenda kujengwa Barabara za njia nne kutoka igawa Mbeya hadi Tunduma mkoani Songwe,ni kwa uwepo wa Dr Tulia tumeona akijenga mabweni shule ya Samora mkoani Mbeya,kusaidia vikundi vya vijana na akina mama kwa kuwapatia mitaji, bodaboda na bajaji kwa vijana ambapo sasa wanajipatia pesa,ni Dr Tulia amekuwa akisaidia sana na kuwa karibu na wazee pamoja na wengi wasio jiweza na kuwapa misaada ya hali na mali.
Nashauri pia kwa chochote kitakachojengwa mkoani Mbeya kuanzia sasa kati ya shule au kituo cha afya au barabara kipewe jina la Dr Tulia,lakini pia viongozi wa serikali za mitaa mnaweza kumzawadia mtaa mmoja ukaitwa mtaa wa Dr Tulia kama sehemu ya kumpa heshima Dr Tulia na kutambua mchango wake katika mkoa wa mbeya na Taifa zima kwa ujumla wake.Dr Tulia ni fahari yetu wana nyanda za juu kusini na Nembo ya wana Mbeya, Tuendelee kumuombea na kumtia moyo katika majukumu yake ya kitaifa na kimataifa.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti
Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Hata kama nina ndugu ambao hawana ajira lakini haiondoi ule ukweli kuwa viongozi wetu hawa wanafanya kazi kubwa sana. Ikiwepo kutoa ajira kwa vijana.mfano Dr Samia ndani ya muda mfupi wa uongozi wake ametoa maelfu ya ajira kwa vijana mbalimbali nchini ,japo siyo wote waliopata lakini vijana waliobakia wanamatumaini kuwa watapata tu katika uongozi wa Rais samia.ukija kwa Dr Tulia naye amewawezesha vijana wengi sana mkoani Mbeya kwa kuwapatia mitaji ya kutosha kupitia vikundi vyao.amewapatia pia vijana bodaboda na bajaji bure kabisa ambazo zinawasaidia vijana kujipatia kipato kila siku na kuendesha maisha yao na hivyo kuondoa utegemezi wa kipato.Ila bro! Uchawa wako ni wa karne ijayo! Utumie pesa ya Umma kujenga sanamu la viongozi hawa wasio na akili!
Kipindi hiki ambacho maisha ni magumu! Bro wewe huna hata ndugu aliye maliza chuo aliyepo mtaani kwa kukosa ajira? Je huna ndugu hata mmoja kijana anayepigika na kazi za kishenzi wakati ana vyeti vya chuo amefaulu vzr tu?
We ni kenge bro
Ndugu zangu Watanzania,