Rais Samia na Dkt. Tulia wajengewe sanamu

Rais Samia na Dkt. Tulia wajengewe sanamu

Ndugu zangu Watanzania,

Mtakubaliana nami kuwa Rais Samia na Dr Tulia wanastahili heshima ya kipekee kupewa na kutambuliwa na Taifa letu kwa kujengewa sanamu zitakazoishi miaka na miaka na kubakia kama alama na kumbukumbu kwa vizazi na vizazi, juu ya historia kubwambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.

Maisha yanaweza kusababisha mtu mzima akadharirika sana.
 
Dr Tulia ni wa pili kutokea tanzania, wa kwanza alikuwa Dr William Shija aliyekuwa mbunge wa sengerema,
Siyo kweli hata kidogo .hakuna mtanzania yeyote yule zaidi ya Dr Tulia Acksoni mwansasu amewahi kuwa Rais wa IPU Dr Tulia ndiye wa kwanza tangia kuanza kwa umoja huo wa mabunge Duniani.huyo uliyemtaja alikuwa ni katibu mkuu wa CPA(Commonwealth parliamentary Association) kuanzia mwaka 2007-2014. Kama hufahamu ni kuwa IPU(Inter parliamentary union).
 
Acha kukurupuka wewe.wapi nimeandika maua hapo au umelewa gongo.
Wewe ni kubwa jinga huo mnara wajengee chumbani kwako. Unajikomba hadi shetani anakuhurumia. Hivi hakuna mashsmba ya kulima uko uliko? Hiyo no. ya simu unayoweka, unatafuta mme?
 
Wewe ni kubwa jinga huo mnara wajengee chumbani kwako. Unajikomba hadi shetani anakuhurumia. Hivi hakuna mashsmba ya kulima uko uliko? Hiyo no. ya simu unayoweka, unatafuta mme?
Siyo dhambi wala jinai kumpongeza na kumtia moyo mtu anayefanya vizuri .usiwe na chuki wala li roho kibaya kama la shetani kutoa pongezi kwa mtu anayefanya vyema. Rais samia na Dr Tulia wanastahili heshima na pongezi kubwa sana kwa kazi kubwa na heshima ya kipekee waliyoliletea Taifa letu.
 
Kwani la mandela au sir Alex au Ronaldo unafirikiri yamejengwa kwa ajili ya nini? Au hata huelewi maana yake?

Unamfananisha mandela na kina sir alex kwa michango waliyoileta kwenye nchi zao na wanasiasa wa tz?
Kiongozi pekee ambae anafaa ku shake hands na mandela ni Late J.K.Nyerere ,
Mliobali hamstahili hata kufunga kamba za viatu vyake

Usichafue majina ya the greats.
 
Kwamba hufahamu na huoni mchango wa Dr Samia Katika Taifa letu? Huoni namna alivyoleta mapinduzi katika kila Eneo? Huoni namna alivyosaidia makundi mbalimbali kupata matumaini kutoka katika hali ya kukata Tamaa?
 
Mi kipi kipya anafamya ambacho maraid wengine hapo nyuma hawajawahi kufanya?
Yataje mapya anayofanya
 
Unamfananisha mandela na kina sir alex kwa michango waliyoileta kwenye nchi zao na wanasiasa wa tz?
Kiongozi pekee ambae anafaa ku shake hands na mandela ni Late J.K.Nyerere ,
Mliobali hamstahili hata kufunga kamba za viatu vyake

Usichafue majina ya the greats.
Tumejaziwa viongozi majangili tupu
 
Mwaka wa pili huu umeshindwa kumjengea marehemu mumeo kaburi unaleta ujinga hapa. Huteuliwi ng'o !!!!
Siku ukiacha mibangi yako na kumrudia Mungu wako kwa hakika utakuwa mtu mwema sana. Naendelea kukuombea ili siku moja ubadilike na kuwa mtu mwema katika jamii. Mungu augeuze moyo wako na kukufanya chombo chake katika kueneza upendo na kuhubiri amani kama ilivyokuwa kwa Sauli ambaye baadaye aliitwa petro. Wewe Mungu uishie na uliye hai siku zote na uliye mkuu na muweza wa yote ,uliye alfa na omega nakuomba uguse Maisha na moyo wa kijana huyu.mgeuze akujuwe wewe,akutumikie na kumfanya kuwa chombo chako cha kueneza amani na upendo.mhurumie kwa yote aliyotenda na kukutenda.mponye na nafsi ya kishetani .iangamize roho ya kishetani ndani yake na kumpatia roho ya upendo yenye kutoa pumzi ya amani kwa watu wote .Asante Mungu wangu uliye hai na usiye shindwa kwa lolote.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mtakubaliana nami kuwa Rais Samia na Dr Tulia wanastahili heshima ya kipekee kupewa na kutambuliwa na Taifa letu kwa kujengewa sanamu zitakazoishi miaka na miaka na kubakia kama alama na kumbukumbu kwa vizazi na vizazi, juu ya
Mbona wandali wenzako wanaakili wewe umeshindwa wapi
 
Back
Top Bottom