Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Mbona wewe hajakusaidia? aanze na wewe akutoe kuwa PS wa UWT Kata usogee hata WilayaniDr Tulia anakubalika sana na wananchi na ndio maana Anaendelea kupata baraka na kubarikiwa kutokana na maombi mazuri anayoendelea kuombewa kutoka kila sehemu ya Taifa letu.kwa kuwa ni kupitia yeye kuna wananchi wengi sana wamesaidiwa na kuwezeshwa mitaji.amewapa vijana na akina mama mitaji kupitia vikundi vyao.amesaidia yatima na wajane mbalimbali bila ubaguzi wa aina yoyote ile.