Wakati Ngorongoro wamasai wakitimuliwa, Wamasai Kenya wapewa Hifadhi ya Amboseli

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,496
8,734
Aisee, mimi sitaki kuwa mtetezi wa Wamasai ila hawa jamaa wanaonewa kwa asilimia 100.

Kenya Hifadhi ya Amboseli wamepeaa count ya Kajiado waisimamie kuanzia sasa na huo Ruto anadai ni Ushauri wa UNESCO baada ya kuona Wamasai hawana shida na wanyama.

Sasa kwa nini wamasai wa Ngorongoro wanatimuliwa.

Screenshot_20230823_213333_com.android.chrome.jpg
Screenshot_20230823_213351_com.android.chrome.jpg
Screenshot_20230823_213407_com.android.chrome.jpg
 
Samia kawafanga Wamasai wakimbizi ndan ya ardhi yao! Sijui nafsin mwake anajisikiaje!
Pale nahisi kuna watu wanapataka, eneo linatakiwa na watu, so Wamasai wanatolewa kafara hapo
 
Aisee, mimi sitaki kuwa.mtetezi wa wamasai ila hawa jamaa wanaonewa kwa asilimia 100.

Kenya Hifadhi ya Amboseli wamepeaa count ya Kajiado waisimamie kuanzia sasa na huo Ruto anadai ni Ushauri wa UNESCO baada ya kuona Wamasai hawana shida na wanyama.

Sasa kwa nini wamasai wa Ngorongoro wanatimuliwa.View attachment 2726662View attachment 2726664View attachment 2726665
Kenya Hifadhi ya Amboseli wamepeaa count ya Kajiado waisimamie kuanzia sasa na huo Ruto anadai ni Ushauri wa UNESCO baada ya kuona Wamasai hawana shida na wanyama.
 
Wawekezaji kutoa uarubuni washa weka pesa ndefu hivyo iwe mvua au jua,Wamasai lazima waondoke
Na nyie Watanganyika lazima muondoke kwenye maeneo Mwarabu atakayoyapenda Mwarabu keshatoa pesa ndefu kupitia mkataba wa Bandari 🤣🤣🤣kimeumana ngoma droo Kwa mnao wacheka Wamasaai
 
Na nyie Watanganyika lazima muondoke kwenye maeneo Mwarabu atakayoyapenda Mwarabu keshatoa pesa ndefu kupitia mkataba wa Bandari kimeumana ngoma droo Kwa mnao wacheka Wamasaai
Haya ni mambo ya kukufurahisha?
 
Usilinganishe hadhi na umuhimu wa Ngorongoro Kimataifa na kichaka Cha Amboseli.

Baada ya Serengeti ni Ngorongoro Kwa pesa.

Mwisho walitakiwa wapewe Maasai Mara sio Amboseli
Aisee, mimi sitaki kuwa mtetezi wa Wamasai ila hawa jamaa wanaonewa kwa asilimia 100.

Kenya Hifadhi ya Amboseli wamepeaa count ya Kajiado waisimamie kuanzia sasa na huo Ruto anadai ni Ushauri wa UNESCO baada ya kuona Wamasai hawana shida na wanyama.

Sasa kwa nini wamasai wa Ngorongoro wanatimuliwa.

View attachment 2726662View attachment 2726664View attachment 2726665
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom