Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,061
- 10,355
Fikra za kiwango cha chini sana hizi! Uongozi wa nchi ni mfumo endelevu. Hivi ulitaka Mhe. Rais Samia asiendeleze mradi wa JNHHP Rufiji? Ulitaka asiendeleze SGR? Ulitaka aitupe JP Magufuli Kigongo Busi? Ulitaka azitupe barabara za mwendokasi na miradi mingine?Nawatakia heri wafanyakazi wote.
Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme SGR , Bwawa la umeme la mwalimu Nyerere, Ujenzi wa vivuko, madaraja pamoja na miradi mingine midogo midogo.
Nakukumbusha tu kuwa mpaka sasa unatembelea nyota ya marehemu John Pombe Joseph Magufuli. Unahitaji kuweka alama yako. Aidha nikupongeze kwa kuwaongezea watumishi mishahara, kujenga madarasa, kuongeza vifaa tiba na ujenzi wa vituo vya afya. Watanzania bado tunakusubiri.
Nakutakia utekelezaji mwema.
Tanzania ya viwonderπ€£ alifikia wapi?Nawatakia heri wafanyakazi wote.
Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme SGR , Bwawa la umeme la mwalimu Nyerere, Ujenzi wa vivuko, madaraja pamoja na miradi mingine midogo midogo.
Nakukumbusha tu kuwa mpaka sasa unatembelea nyota ya marehemu John Pombe Joseph Magufuli. Unahitaji kuweka alama yako. Aidha nikupongeze kwa kuwaongezea watumishi mishahara, kujenga madarasa, kuongeza vifaa tiba na ujenzi wa vituo vya afya. Watanzania bado tunakusubiri.
Nakutakia utekelezaji mwema.
Unanishambulia bure tuu. Nimeuliza kuwa tuendelee kusubiri? Ninajua kuwa anaendeleza miradi iliyoanzishwa na mtangulizi wake je yeye hatakua na miradi miwili au mitatu mikubwa ya kimkakati kama kwa aliyemtangulia ambayo sasa tunayaona manufaa yake?Uko serious kweli
Fikra za kiwango cha chini sana hizi! Uongozi wa nchi ni mfumo endelevu. Hivi ulitaka Mhe. Rais Samia asiendeleze mradi wa JNHHP Rufiji? Ulitaka asiendeleze SGR? Ulitaka aitupe JP Magufuli Kigongo Busi? Ulitaka azitupe barabara za mwendokasi na miradi mingine?
Fikra kama zako ni za Waafrika wengi wakiwemo baadhi ya viongozi. Kwamba mradi huu ni wa Rais aliyepita nikiutekeleza atapata sifa yeye. Uongozi wa nchi hautaki ubinafsi. # Samia Magufuli mia mia. Hakuna mradi utakaokwama. πππ
Unamaanisha huyu mama amevaa kiatu kikubwa kuliko mguu wake?Kuna baadhi ya viongozi hawawezi, hawapaswi na hawafai kuongoza nchi masikini na zenye changamoto nyingi kama Tanzania.
Sidhani kama viwanda ulikua ni mojawapo ya miradi ya kimkakati. Wajuvi watatueleza.Tanzania ya viwonderπ€£ alifikia wapi?
Hili ni wazo zuri naamini Mh. anapitia JF atachukua ushauri wako.Nashauri mojawapo miradi wa kimkakati uwe ni ujenzi wa nyumba za Watanzania wote,awamu ya kwanza Kwa maeneo ya Mijini na awamu ya pili iwe maeneo ya Vijijini.
Miradi ya kimkakati kama hii itawapunguzia wananchi upotevu wa fedha nyingi wanazotumia kujenga makazi yasiyodumu lakini pia kuondokana na ujenzi holela,migogoro ya ardhi.
π€£π€£ hebu kuwa serous mkuuKuna mradi mkubwa wa kuwahamisha Wamasai ngorongoro na loliondo.
Mkoa wa Arusha unaonewa sana na marais wanaotokea Zanzibar. Na sasa kamweka mtu wake Makonda huko Arusha ni hatari sanaKuna mradi mkubwa wa kuwahamisha Wamasai ngorongoro na loliondo.
Sawa tunaendelea kusubiri tutaona kipindi chake cha pili atatuachia alama gani watanzania.Mwache akamilishekwanza iliyopo, itakapokamilika, atakuja na miradi mingine ya kimkakati
.
πUko serious kweli
Fikra za kiwango cha chini sana hizi! Uongozi wa nchi ni mfumo endelevu. Hivi ulitaka Mhe. Rais Samia asiendeleze mradi wa JNHHP Rufiji? Ulitaka asiendeleze SGR? Ulitaka aitupe JP Magufuli Kigongo Busi? Ulitaka azitupe barabara za mwendokasi na miradi mingine?
Fikra kama zako ni za Waafrika wengi wakiwemo baadhi ya viongozi. Kwamba mradi huu ni wa Rais aliyepita nikiutekeleza atapata sifa yeye. Uongozi wa nchi hautaki ubinafsi. # Samia Magufuli mia mia. Hakuna mradi utakaokwama. πππ
Kwani mnataka nni? Akiiacha mnasema ana chuki sijui ameshindwa ila akiifanya mnasema anatembelea nyota ya JPM!! mnataka nini? aitelekeze ama?Nakukumbusha tu kuwa mpaka sasa unatembelea nyota ya marehemu John Pombe Joseph Magufuli.
Muhimu ni kumalizia miradi ya Mkapa, JK na Magufuli, sio kila kiongozi kuanzisha miradi mipyaKuna baadhi ya viongozi hawawezi, hawapaswi na hawafai kuongoza nchi masikini na zenye changamoto nyingi kama Tanzania.