Mkipona mafigo yenu halafu mkanisema vibaya nikiwashika naweweka jela mnyongwe hadi kufa!Hivi kwani Sasa Rais ni nani?
Anasubiri Nini kutibu hao wagonjwa wa figo?
Wagonjwa wa figo wa Sasa wafe hadi Rais atakapokuwa Rais tena?
Rais Samia anaweza kuwatibia hao wagonjwa bure, maana wanateseka.
Binafsi sikuelewa hii kauliView attachment 3461279
Kama siyo kuchanganyikiwa kwa Bi Chura ni nini, yaani anawaomba kura wagonjwa wa Figo?? Vipi wengine hataki kura zao??Maana yake ni kuwa, kama hutaipa kura CCM utakufa kwa ugonjwa wa Figo. Kwanini usiipe kura CCM?🤣