Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,436
- 4,646
Mkwele aliimudu kiasi chake,nyongeza ya mshahara,ajira,kupandishwa madaraja ya wqtumishi.Kwanini usemi mihadarati gang mkwele
Jenga hoja. Hatuchanjwi!. Chanjweni nyieRais,na Wizara wanasema watu wachanjwe kwa hiari,Gwajima wanasema watu wasichanjwe kabisa.
Naona kama Watu Wanamdharau Rais SAMIA.
Kwa nn wao wahawachanji??Rais,na Wizara wanasema watu wachanjwe kwa hiari,Gwajima wanasema watu wasichanjwe kabisa.
Naona kama Watu Wanamdharau Rais SAMIA.
Swal zuri hili...Hivi kuna mtu anaamini huyu mama ataweza kui9ngoza hii nchi kweli
Hata la retention fee naona wamegoma kabisa kulifutaKauli za viongozi kama Mwigulu, Ndugai na Mbunge Gwajima ziko wazi kabisa hawakubaliani na wewe katika yale unayo agiza.
Sio hayo ya miamala na chanjo za corona pekee, lakini kuna jingine kubwa mno ambalo Watumishi waathirika na zoezi la vyeti wanakutazama kwa mshangao.
Ulitoa agizo kuwa watumishi walio ondolewa kazini kwa matatizo ya majina na vyeti ambao walikuwa wanakatwa fedha kupelekwa kwenye mifuko ya jamii walipwe pesa zao kwani ni jasho lao na serikali sio ya kudhulumu haki za watu.
Ulisisitiza hilo ni AGIZO. Lakini watendaji kama kawaida yao Wamedharau na hawajawalipa na wakihoji wanakejeliwa.
Kwa nini wanakudharau namna hii?
Au kwa vile serikali iliyopo hukuiunda wewe bali umeipinduapindua tu?
This is 2021, na hadi 2025 ni mbali mno na utaona ugumu wa kubaki na hawa watu wa mwendazake!
Ulimsikia Ndugai? Hebu tafuta clip yake ya juzi kuhusu miamala kisha linganisha na agizo la SSH.
Ni kama anamuambia ATAKE ASITAKE wameshapitisha
Sheria haibadilishwi kwa agizo la Rais. Amending or repealing a law follows almost the same process that was followed to enact it!
Yeye mwenyewe ni mtu wa mwendazake, atawaacha vipi hao wanaoonekana kuwa wasaliti?. Cha muhimu ni kuchapa kazi na kuwaamini wote wanaomzunguka.
Huna akiliTunataka majaliwa awe raisi wa tz kabla ya 2025 hii nchi inaitaji raisi mkatili na mchapakazi
Jiwe alipiga marufuku mikutano ya siasa ya vyama kinyume na Katiba ya nchi kabisa sio hata sheria ya bunge.
Hicho kiingereza kimekaaje?Ndio maana nakuambia wewe ni mjinga kila siku.
Once a president, you are not belongs to anybody but Republic uliyoiapia maana huna mtu wa kukupangia la kufanya zaidi ya katiba ya nchi.
Yafarakane tu, yote ni majambazi hatuna huruma nayoUlimsikia Ndugai? Hebu tafuta clip yake ya juzi kuhusu miamala kisha linganisha na agizo la SSH.
Ni kama anamuambia ATAKE ASITAKE wameshapitisha
Sio kila button kwenye remote ni active, zingine sensors zime collapse.Kauli za viongozi kama Mwigulu, Ndugai na Mbunge Gwajima ziko wazi kabisa hawakubaliani na wewe katika yale unayo agiza.