Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,974
- 10,465
😀 😀Sioni hili likitokea.
😀 😀Sioni hili likitokea.
Waulize wenyewe watakwambia. Sisi tunaomiliki vibandaumiza vya miamala ndo tunaona tunakoelekea.Sioni hili likitokea.
Dhuluma ya vyeti na bomoa kimara ni moja ya laana iliyomuondoa duniani mwendakombo alitaka kumepanda Mungu kichwani.Yaani kiubinadamu angewasaidia Kwanza Hawa watu. Sijui maisha yao yao yakoje lakini nikikumbuka mmoja alijifungia ndani bila kula kwa msongo wa mawazo na alikufa. Na alikuwa ameachana na mume wake akaacha watoto wanne. Hatukumwona mwanaume mpaka tunazika. Tuliwasaidia wale watoto mpaka ndugu na marafiki za marehemu wakachukua maamuzi ya kugawana wale watoto. Hii kitu iliuma watu wengi sana.
Wale watoto nasikia yule wa Kwanza yupo form four mwaka huu. Ni walimu wenzake na marehemu wanamsaidia.
Hawa watoto wakikumbuka kifo Cha mama yao kweli watakuwa na upendo?
Mama tunakuomba wahimize wawasaidie wapate hata nyumba na wale ambao bado wanatangatanga wapate mtaji waweze kusahau yaliyopita.
Hii nchi ni kubwa sana kwa mama kuimudu.Hivi kuna mtu anaamini huyu mama ataweza kui9ngoza hii nchi kweli
Mkuu hii story yako imenikumbusha hadithi ya Daktari bingwa mmoja wa upasuaji kule Morogoro ambaye alikumbwa na kadhia hii akiwa amebakiza miaka 2 kustaafu. Walio saidiwa wao au ndugu zao kuokolewa maisha walilia sana utadhani ni baba yao mzazi.Yaani kiubinadamu angewasaidia Kwanza Hawa watu. Sijui maisha yao yao yakoje lakini nikikumbuka mmoja alijifungia ndani bila kula kwa msongo wa mawazo na alikufa. Na alikuwa ameachana na mume wake akaacha watoto wanne. Hatukumwona mwanaume mpaka tunazika. Tuliwasaidia wale watoto mpaka ndugu na marafiki za marehemu wakachukua maamuzi ya kugawana wale watoto. Hii kitu iliuma watu wengi sana.
Wale watoto nasikia yule wa Kwanza yupo form four mwaka huu. Ni walimu wenzake na marehemu wanamsaidia.
Hawa watoto wakikumbuka kifo Cha mama yao kweli watakuwa na upendo?
Mama tunakuomba wahimize wawasaidie wapate hata nyumba na wale ambao bado wanatangatanga wapate mtaji waweze kusahau yaliyopita.
Ungeishia paragraph ya nne, na Rais angekuelewa na kukazia agizo. Lakini umeendelea mpaka ukavaa gwanda - umeharibuKauli za viongozi kama Mwigulu, Ndugai na Mbunge Gwajima ziko wazi kabisa hawakubaliani na wewe katika yale unayo agiza.
Sio hayo ya miamala na chanjo za corona pekee, lakini kuna jingine kubwa mno ambalo Watumishi waathirika na zoezi la vyeti wanakutazama kwa mshangao.
Ulitoa agizo kuwa watumishi walio ondolewa kazini kwa matatizo ya majina na vyeti ambao walikuwa wanakatwa fedha kupelekwa kwenye mifuko ya jamii walipwe pesa zao kwani ni jasho lao na serikali sio ya kudhulumu haki za watu.
Ulisisitiza hilo ni AGIZO. Lakini watendaji kama kawaida yao Wamedharau na hawajawalipa na wakihoji wanakejeliwa.
Kwa nini wanakudharau namna hii?
Au kwa vile serikali iliyopo hukuiunda wewe bali umeipinduapindua tu?
This is 2021, na hadi 2025 ni mbali mno na utaona ugumu wa kubaki na hawa watu wa mwendazake!
Sio wa kuunda serikali tu, mvivu wa kila jambo. Anaamini kuwa kauli ndio hutekeleza. Sasa muache atoe matamko wenzie wanafanya yao.Rais huyu ni mvivu
Hajabadili sheria hata mija ili yale anayoagiza yakae kisheria yeye anatoa matamko tuSio wa kuunda seriali, mvivu wa kila jambo. Anaamini kuwa kauli ndio hutekeleza. Sasa muache atoe matamko wenzie wanafanya yao.
Pillar of the BabylonKauli za viongozi kama Mwigulu, Ndugai na Mbunge Gwajima ziko wazi kabisa hawakubaliani na wewe katika yale unayo agiza.
Sio hayo ya miamala na chanjo za corona pekee, lakini kuna jingine kubwa mno ambalo Watumishi waathirika na zoezi la vyeti wanakutazama kwa mshangao.
Ulitoa agizo kuwa watumishi walio ondolewa kazini kwa matatizo ya majina na vyeti ambao walikuwa wanakatwa fedha kupelekwa kwenye mifuko ya jamii walipwe pesa zao kwani ni jasho lao na serikali sio ya kudhulumu haki za watu.
Ulisisitiza hilo ni AGIZO. Lakini watendaji kama kawaida yao Wamedharau na hawajawalipa na wakihoji wanakejeliwa.
Kwa nini wanakudharau namna hii?
Au kwa vile serikali iliyopo hukuiunda wewe bali umeipinduapindua tu?
This is 2021, na hadi 2025 ni mbali mno na utaona ugumu wa kubaki na hawa watu wa mwendazake!
Pambafu hao cheti feki ndio unataka walipwe nini. Mtu kagushi na kupata kazi anastahili kufungwa. Chochote alichopata au kufanya kazini ni haramu. Wamesamehewa kushtakiwa kwa hivyo wasithubutu kudai kitu. Kama wana madai yoyote hizo ni fedha za umma zirudi serikalini.Kauli za viongozi kama Mwigulu, Ndugai na Mbunge Gwajima ziko wazi kabisa hawakubaliani na wewe katika yale unayo agiza.
Sio hayo ya miamala na chanjo za corona pekee, lakini kuna jingine kubwa mno ambalo Watumishi waathirika na zoezi la vyeti wanakutazama kwa mshangao.
Ulitoa agizo kuwa watumishi walio ondolewa kazini kwa matatizo ya majina na vyeti ambao walikuwa wanakatwa fedha kupelekwa kwenye mifuko ya jamii walipwe pesa zao kwani ni jasho lao na serikali sio ya kudhulumu haki za watu.
Ulisisitiza hilo ni AGIZO. Lakini watendaji kama kawaida yao Wamedharau na hawajawalipa na wakihoji wanakejeliwa.
Kwa nini wanakudharau namna hii?
Au kwa vile serikali iliyopo hukuiunda wewe bali umeipinduapindua tu?
This is 2021, na hadi 2025 ni mbali mno na utaona ugumu wa kubaki na hawa watu wa mwendazake!
Na hapa ndipo tunapoona umuhimu wa elimu ya maana kwa mtu anaepaswa kuwa raisi. Huwezi kuwa raisi na elimu ya kuunga unga utarajie kufanya maamuzi yanayohitaji uelewa mkubwa.Hajabadili sheria hata mija ili yale anayoagiza yakae kisheria yeye anatoa matamko tu
Mama kesgakosea akae tu kumpikia mumewe nchi ishamshindaHivi kuna mtu anaamini huyu mama ataweza kui9ngoza hii nchi kweli
Mama hajaunga Unga ni zao la mzumbeNa hapa ndipo tunapoona umuhimu wa elimu ya maana kwa mtu anaepaswa kuwa raisi. Huwezi kuwa raisi na elimu ya kuunga unga utarajie kufanya maamuzi yanayohitaji uelewa mkubwa.

Kwahiyo asingedhulumu asingekufa?Dhuluma ya vyeti na bomoa kimara ni moja ya laana iliyomuondoa duniani mwendakombo alitaka kumepanda Mungu kichwani.
Rule number one usimwage damu ya mtu wala machozi ya mtu.