akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 2,174
- 4,625
Mkuu, naona unauliza makofi polisi!.
Na wewe uje basi upigwe pingu na wazanzibari walio na silaha, halafu upelekww misituni.Hebu tuache kufananisha kutekwa na vitu vya kijinga......yaani maigizo ya ze komedi shoo mnaita kutekwa?!!!!! Tuwe serious basi na maisha.
.Mwigulu anasemaje? aha haha haHuwezi kuacha kujiuliza hili swali.
Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza.
Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi isiyopingika ya watu wa visiwani.
Inaelekea ni vijana wa vyombo vya ulinzi na usalama , maana walikuwa na silaha.
Polisi sasa hivi inajimunya munya kueleza tukio ambalo halina kichwa wala miguu
Amiri jeshi mkuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama ni Rais wetu Samia Suluhu.
Lakini kwa matukio kukithiri na hakuna maelezo yoyote toka Waziri wa Mambo ya Ndani wala kiongozi yeyote Polisi, inamaana wako katika ganzi fulani.
Twajiuliza, Je Mama Samia anahusika na huu utekaji?
Maoni yenu wakuu!
Inasikitisha kumuona great thinker akichotwa akili kirahisi hivi. Hivi we unaamini kabisa maigizo ya kitoto kama hayo?!!!! Inasikitisha na kuchekesha wakati huohuo.Na wewe uje basi upigwe pingu na wazanzibari walio na silaha, halafu upelekww misituni.
Michezo ya kuigiza hiyo, sinema zetu hizo.Huwezi kuacha kujiuliza hili swali.
Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza.
Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi isiyopingika ya watu wa visiwani.
Inaelekea ni vijana wa vyombo vya ulinzi na usalama , maana walikuwa na silaha.
Polisi sasa hivi inajimunya munya kueleza tukio ambalo halina kichwa wala miguu
Amiri jeshi mkuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama ni Rais wetu Samia Suluhu.
Lakini kwa matukio kukithiri na hakuna maelezo yoyote toka Waziri wa Mambo ya Ndani wala kiongozi yeyote Polisi, inamaana wako katika ganzi fulani.
Twajiuliza, Je Mama Samia anahusika na huu utekaji?
Maoni yenu wakuu!
Mkuu si uende Maelezo na kulitolea tamko.Inasikitisha kumuona great thinker akichotwa akili kirahisi hivi. Hivi we unaamini kabisa maigizo ya kitoto kama hayo?!!!! Inasikitisha na kuchekesha wakati huohuo.
Wewe tunakujua, chawa asiye na haya.Michezo ya kuigiza hiyo, sinema zetu hizo.
Huu uzi wako huwa lengo linalofuatia baada ya utekaji kufanyika.
Kuichafua serikali na taasisi zake kwa mataifa ya Ulaya Magharibi ambao wanaufadhili uwepo wenu wa kisiasa.
Kwamba hali ya kisiasa ni tete hivyo Tanzania itazamwe kwa jicho la mashaka na ichukiwe!!. Kichekesho na nyinyi mnaotumiwa ni watanzania wale wale mnapoaga dunia mnazikwa hapa hapa bongoland.
Kwani wanao tekwa ni ndugu zake? Yeyeni mzanzibar watanganyika mnamuhusu nini hata mkifa sawa tu hana cha kupotezaHuwezi kuacha kujiuliza hili swali.
Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza.
Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi isiyopingika ya watu wa visiwani.
Inaelekea ni vijana wa vyombo vya ulinzi na usalama , maana walikuwa na silaha.
Polisi sasa hivi inajimunya munya kueleza tukio ambalo halina kichwa wala miguu
Amiri jeshi mkuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama ni Rais wetu Samia Suluhu.
Lakini kwa matukio kukithiri na hakuna maelezo yoyote toka Waziri wa Mambo ya Ndani wala kiongozi yeyote Polisi, inamaana wako katika ganzi fulani.
Twajiuliza, Je Mama Samia anahusika na huu utekaji?
Maoni yenu wakuu!
Huwa hampendi kuambiwa ukweli hampendi kusikia kauli tofauti na mawazo yenu.Wewe tunakujua, chawa asiye na haya.
Hakuna sababu ya kulumbana na chawa asiye na haya.
Ukifuatilia kwa karibu wahanga wengi wanadai watekaji, watesi na wauaji wana lafudhi ya Zanzibar.Huwezi kuacha kujiuliza hili swali.
Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza.
Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi isiyopingika ya watu wa visiwani.
Inaelekea ni vijana wa vyombo vya ulinzi na usalama , maana walikuwa na silaha.
Polisi sasa hivi inajimunya munya kueleza tukio ambalo halina kichwa wala miguu
Amiri jeshi mkuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama ni Rais wetu Samia Suluhu.
Lakini kwa matukio kukithiri na hakuna maelezo yoyote toka Waziri wa Mambo ya Ndani wala kiongozi yeyote Polisi, inamaana wako katika ganzi fulani.
Twajiuliza, Je Mama Samia anahusika na huu utekaji?
Maoni yenu wakuu!
Mnajitekenya kisha mnacheka wenyewe kwenye suala zima la utekaji.Ukifuatilia kwa karibu wahanga wengi wanadai watekaji, watesi na wauaji wana lafudhi ya Zanzibar.
Unahitaji ujasiri wa Lucifer kukemea matokeo ya ulichokiratibu.
SSH hana huo ujasiri!
Hakuna shida... Ila yaendayo yarudi... Ipo siku kibao kitawageukiaMnajitekenya kisha mnacheka wenyewe kwenye suala zima la utekaji.
AkapakuliweNa wewe uje basi upigwe pingu na wazanzibari walio na silaha, halafu upelekww misituni.
Tangu hizi habari za kutekana zimeanza awamu ya 5, hatujawahi kusikia wahusika wa kuteka wamekamatwa badala yake ni tukio linachunguzwa na majibu hayajawahi kutolewa na kila siku yanaendelea na kuibuka mapya. Kama ni maigizo hao waiguzaji na wanaoichafua nchi/serikali mbona hawachukuliwi hatua? Ni kwamba mmeshindwa kuwabaini hawa wachafuzi wa serikali? Kila siku mnasema wanaigiza ila kuwakamata waigizaji tena wenye siraha mnashindwa ila watu wanaokosoa mnawakamata hata uvunguni. Kuna shida kichwani mtu anaetetea haya matukio. Labda tungeona hata kesi moja ya maigizo hao walioigiza wamekamatwa na kufunguliwa kesi ya kuichafua serikali basi tungeamini ni maigizo ila hamjawahi kusolve hata kesi moja.Michezo ya kuigiza hiyo, sinema zetu hizo.
Huu uzi wako huwa lengo linalofuatia baada ya utekaji kufanyika.
Kuichafua serikali na taasisi zake kwa mataifa ya Ulaya Magharibi ambao wanaufadhili uwepo wenu wa kisiasa.
Kwamba hali ya kisiasa ni tete hivyo Tanzania itazamwe kwa jicho la mashaka na ichukiwe!!. Kichekesho na nyinyi mnaotumiwa ni watanzania wale wale mnapoaga dunia mnazikwa hapa hapa bongoland.
Wananchi wanalalamikia utekaji nyie mwaona ni drama.Huwa hampendi kuambiwa ukweli hampendi kusikia kauli tofauti na mawazo yenu.
Lakini utafika muda mtabadilika tu.
Mawakili ya majanga siku zote mpo kazini. Nchi ina utulivu wa kutosha tu.Hakuna shida... Ila yaendayo yarudi... Ipo siku kibao kitawageukia
Utekaji upo dunia nzima. Kule USA kuna kesi nyingi zipo FBI ambazo watu wanatekwa na watekaji wanaendelea kutafutwa.Wananchi wanalalamikia utekaji nyie mwaona ni drama.
Hii sasa imekuwa kero ya muungano.