Rais Samia kwanini ananyamazia matukio ya Utekaji?

Huwezi kuacha kujiuliza hili swali.

Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza.

Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi isiyopingika ya watu wa visiwani.
Inaelekea ni vijana wa vyombo vya ulinzi na usalama , maana walikuwa na silaha.

Polisi sasa hivi inajimunya munya kueleza tukio ambalo halina kichwa wala miguu
Amiri jeshi mkuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama ni Rais wetu Samia Suluhu.

Lakini kwa matukio kukithiri na hakuna maelezo yoyote toka Waziri wa Mambo ya Ndani wala kiongozi yeyote Polisi, inamaana wako katika ganzi fulani.

Twajiuliza, Je Mama Samia anahusika na huu utekaji?

Maoni yenu wakuu!
UTEKAJI unafanywa na Abdul Ameir mtoto wa sa 100
 
Utekaji upo dunia nzima. Kule USA kuna kesi nyingi zipo FBI ambazo watu wanatekwa na watekaji wanaendelea kutafutwa.

Yule dogo aliyekatwa kichwa sababu ilikuwa ushirikina. Zipo kesi nyingi za aina hiyo ambazo serikali hutupiwa moja kwa moja lawama bila ya kuwa mhusika kwa namna yoyote ile.

Uhuru mkubwa wa vyombo vya habari unatumiwa vibaya na wanaharakati katika kuiweka hai ile roho ya chuki kwa kinachofanywa na serikali bila ya kuelewa suala husika lipo vipi bila ya kujua maarifa kamili ya hicho wanachokipotosha.

Dhambi mbaya ya kuiletea Tanzania roho ya ukatili kuna siku hawa kina Mange na Maria watakuja kuijibu kwa Mungu.
Utekaji kero ya Muungano!
 
Huwezi kuacha kujiuliza hili swali.

Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza.

Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi isiyopingika ya watu wa visiwani.
Inaelekea ni vijana wa vyombo vya ulinzi na usalama , maana walikuwa na silaha.

Polisi sasa hivi inajimunya munya kueleza tukio ambalo halina kichwa wala miguu
Amiri jeshi mkuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama ni Rais wetu Samia Suluhu.

Lakini kwa matukio kukithiri na hakuna maelezo yoyote toka Waziri wa Mambo ya Ndani wala kiongozi yeyote Polisi, inamaana wako katika ganzi fulani.

Twajiuliza, Je Mama Samia anahusika na huu utekaji?

Maoni yenu wakuu!
Yaana mpaka unaandika huu uzi haukuwa ukifahamu kuwa Samia ndiye kiongozi wa genge la watekaji? Kama survivals wote wa utekaji wamekuwa wakimtaja Faustin Mafwele(polisi) na hajawahi kuhojiwa, anaendelea kuteka na he is untouchable.
 
Huwezi kuacha kujiuliza hili swali.

Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza.

Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi isiyopingika ya watu wa visiwani.
Inaelekea ni vijana wa vyombo vya ulinzi na usalama , maana walikuwa na silaha.

Polisi sasa hivi inajimunya munya kueleza tukio ambalo halina kichwa wala miguu
Amiri jeshi mkuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama ni Rais wetu Samia Suluhu.

Lakini kwa matukio kukithiri na hakuna maelezo yoyote toka Waziri wa Mambo ya Ndani wala kiongozi yeyote Polisi, inamaana wako katika ganzi fulani.

Twajiuliza, Je Mama Samia anahusika na huu utekaji?

Maoni yenu wakuu!
Next time Ccm wajifunze, sio kila anae ongea Kiswahili ni Mtanzania.
Huyu mama hakustahili kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwa sio Mtanzania.
Matendo anayo tutendea hayana tofauti na ule utawala wa kisultani ulio kuwepo kule Zanzibar kabla ya Mapinduzi.
Vetting iwe ina fanyika kuoata viongozi sahihi kuepuka kurudia hili kosa..
 
Huwezi kuacha kujiuliza hili swali.

Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza.

Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi isiyopingika ya watu wa visiwani.
Inaelekea ni vijana wa vyombo vya ulinzi na usalama , maana walikuwa na silaha.

Polisi sasa hivi inajimunya munya kueleza tukio ambalo halina kichwa wala miguu
Amiri jeshi mkuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama ni Rais wetu Samia Suluhu.

Lakini kwa matukio kukithiri na hakuna maelezo yoyote toka Waziri wa Mambo ya Ndani wala kiongozi yeyote Polisi, inamaana wako katika ganzi fulani.

Twajiuliza, Je Mama Samia anahusika na huu utekaji?

Maoni yenu wakuu!
Ukiona kimya tambua hilo nalo ni jibu!!
 
Kama hawahusiki wao lazima mhusika apatikane, tofauti na hapo hapatikani
 
Tangu hizi habari za kutekana zimeanza awamu ya 5, hatujawahi kusikia wahusika wa kuteka wamekamatwa badala yake ni tukio linachunguzwa na majibu hayajawahi kutolewa na kila siku yanaendelea na kuibuka mapya. Kama ni maigizo hao waiguzaji na wanaoichafua nchi/serikali mbona hawachukuliwi hatua? Ni kwamba mmeshindwa kuwabaini hawa wachafuzi wa serikali? Kila siku mnasema wanaigiza ila kuwakamata waigizaji tena wenye siraha mnashindwa ila watu wanaokosoa mnawakamata hata uvunguni. Kuna shida kichwani mtu anaetetea haya matukio. Labda tungeona hata kesi moja ya maigizo hao walioigiza wamekamatwa na kufunguliwa kesi ya kuichafua serikali basi tungeamini ni maigizo ila hamjawahi kusolve hata kesi moja.
Akikujibu nishtue
 
Huwezi kuacha kujiuliza hili swali.

Kwa matukio ya hivi karibuni, hasa hili la jaribio la kutekwa kwa kada wa CHADEMA aitwaye Jumbe, wengi tumejiuliza.

Watekaji inasemekana walikuwa na lafudhi isiyopingika ya watu wa visiwani.
Inaelekea ni vijana wa vyombo vya ulinzi na usalama , maana walikuwa na silaha.

Polisi sasa hivi inajimunya munya kueleza tukio ambalo halina kichwa wala miguu
Amiri jeshi mkuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama ni Rais wetu Samia Suluhu.

Lakini kwa matukio kukithiri na hakuna maelezo yoyote toka Waziri wa Mambo ya Ndani wala kiongozi yeyote Polisi, inamaana wako katika ganzi fulani.

Twajiuliza, Je Mama Samia anahusika na huu utekaji?

Maoni yenu wakuu!
Kwani wanaotekwa wanatoka upande upi? ukitaka rejea mipasho ya majuzi, kwani kule hatusikia mtu kuwekwa ndani kwa kesi ya ugaidi wala kutekwa? kwanini iwe huku tu? ukipata majibu ya haya maswali basi utajua kwanini hali iko hivyo, hatupendwi na tutakoma.
 
Back
Top Bottom