Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Soma ukichoandika toka page ya kwanza alafu linganisha na hili jibu lako uone ulivyo takle
Hebu kua basi hata kidogo ujue hata HISTORIA?

Mbona unakua[emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959]
 
We ni pimbi kama katiba tu haifati huoni hapa kama kakosea SARE ZA JESHI MARA NYINGI WANAVAA MADIKTETA WALIOINGIA MADARAKANI KWA MAPINDUZI WAKIWA WANAJESHI angalia
UG
RWANDA
ETHIOPIA
MISRI


the list is too long to mention
1354362_UHURU_KENYATTA.jpg
 
Acha ujinga acha kufugia hilo bichwa nywele Mwl. Nyerere alivaa alipoenda kuwatia moyo wanajeshi kwenye uwanja wa.vita kagera huko
Nakubaliana na wewe alikuwa akienda uwanja wa mapambano hata kama siyo mstari wa mbele lkn alikuwa akizivaa wakati yupo kwenye mazingira ya kivita.
 
Kwani ni mpaka watu wa ulaya wafanye ndo nasisi tuwaige?..au wasipofanya na sisi tusifanye?

Mbona tunakuwa wapumbavu kiasi hiki?

Ulaya kijana wa kiume anaolewa na kidume na wazazi wanapiga makofi,tuwaige nao pia sio??.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani the so called DEMOCRACY mmeitoa wapi?
 
Kwani wanaharakati wa twita wale mashangazi wanasemaje? Kwa Magu hadi sauti ziliwakauka kwa kulalamikia hizo uniform. Afu kumbe Karume mwenyewe alishawahi piga nazo picha
Kaka ,dunia imejaa unafiki wa kiwango cha hali ya juu sana
 
Back
Top Bottom