Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756] na kutisha raia
Kabisa na haihitaji kuvaa magwanda kuonesha wewe ni Amiri Jeshi Mkuu, sehemu alipo Rais yale tu mazingira yake yanatosha kabisa kuonesha ukubwa na yanatisha hasa wala sio vazi
 
[emoji849][emoji849][emoji849] swala sio kupendeza ni UJUMBE anaoufikisha kwa jamii Marais wa ULAYA NA AMERIKA wanavaa??

Unahisi hawatapendeza??
tabu mnapenda kutafuta majibu magumu kwa kila kitu mwisho wa siku mnakimbia vivuli vyenu! hakuna ujumbe wowote wa kumtisha mtu anaoupeleka ndugu wasiwasi wako tu.
 
Chini kapiga skonkonko au buti?

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Buti kaliii[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
JamiiForums-1329294055.jpg
 
Sio takwa la kikatiba kuvaa hizo nguo,ivo hakukua na tatizo wao kutovaa wakati wakiwa kweny hiyo nafasi.
Waambie basi wawafundishe mipaka ya mavazi Jeshi?

Wamewapa tekno toleo la kwanza mtusumbue mitandaoni
 
Kama anazipenda ana ruhusa ya kuvaa, kwani cheo cha amir jeshi mkuu ni cha rais,,, asipovaa yeye atavaa nani?
 
Mwl Nyerere alishavaa za JWTZ na za Frelimo. Ni mambo ya nyakati na nyakati & enzi na enzi. Yuko vema Rais Samia.
Acha ujinga acha kufugia hilo bichwa nywele Mwl. Nyerere alivaa alipoenda kuwatia moyo wanajeshi kwenye uwanja wa.vita kagera huko
 
We ni pimbi kama katiba tu haifati huoni hapa kama kakosea SARE ZA JESHI MARA NYINGI WANAVAA MADIKTETA WALIOINGIA MADARAKANI KWA MAPINDUZI WAKIWA WANAJESHI angalia
UG
RWANDA
ETHIOPIA
MISRI


the list is too long to mention
Kenyata aliingia kwa mtutu wa bunduki?
 
Akivaa au asipovaa anakuwa amevunja katiba?
Huu ujinga umefundishwa na Gwajima au Kakobe?
Mbona kama wanaelimu kubwa hivi??

Au umeutoa Ofisi ya CCM kata ya Nanjilinji ndanindani huko
 
Back
Top Bottom