Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Nimeona hii picha inazurura mitandaoni
Nijuzeni anataka kufikisha ujumbe gani kwa taifa?

Au ndio ye na JPJM ni SAWASAWA?
[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

AU anakumbushia KMKM "kama alipitia"
DUNIANI KOTE MARAIS WANAOVAA SARE ZA JESHI NI WALE WALIOINGIA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI

HASA AFRIKA, ASIA NA AMERIKA YA KUSINI

View attachment 2011620
Acha wivu na rais wetu...
Kapendeza sana!
 
Kapendeza.. kanishawishi nitongoze demu mkeda akiwa na uniform!!! Yaani rais kapendeza kweli ktk gwanda...
 
[emoji849][emoji849][emoji849] swala sio kupendeza ni UJUMBE anaoufikisha kwa jamii Marais wa ULAYA NA AMERIKA wanavaa??

Unahisi hawatapendeza??
Kwani ni mpaka watu wa ulaya wafanye ndo nasisi tuwaige?..au wasipofanya na sisi tusifanye?

Mbona tunakuwa wapumbavu kiasi hiki?

Ulaya kijana wa kiume anaolewa na kidume na wazazi wanapiga makofi,tuwaige nao pia sio??.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huyu naye aliingia kwa mtutu?!!!
1354362_UHURU_KENYATTA.jpg
 
Back
Top Bottom