Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,284
- 28,445
Kumbe kakilia huwa kamazeeka na kufanana na kobe.
Kumbe kakilia huwa kamazeeka na kufanana na kobe.
Labda itakuwa.... teh teh teh teh.Huyu si alikuwa kapata shavu kule UN au ?
Au wamemloga hawa wapuuzi wenzake humo ccm ?
Kamwe huwa hatushindi hiyo vita. Kufa ni sehemu ya kushindwa maishaMaisha Uwanja wa Vita
Itakuwa vita ya kiuchumi hiyoAu aliumwa? au alipigwa risasi ? au ni nini ?