Vile nini hasa? Uelewa mdogo kiasi hicho? Bado wakazana kuandika tu. Huoni aibu? Umetaja nchi zinazoongea Kiswahili? Waganda watakukatalia. Hata wakenya nao hawatakubali. Wengine watabaki kushangaa ukilaza wako.Eti kiswahili ni lugha ya kitaifa!kiswahili ni lugha ya kimataifa bro.kenya,uganda,comoro,burundi,rwanda na congo ni sehemu ya tanzania?Chuo kikuu ya yale nchini marekani wanafundisha kiswahili.
Inatosha sasa tumuache mzee apumzike tuige yale mema mabaya tuyaepuke yaani nyuzi zimekuwa nyingi sana tuache izo
Kuna shida kubwa sana somewhere
Mamalai anatema yai la maana.
Sio yale mambo ya intaprinyuwaaa
Huyu mama form four alifeli je wajua?Usichokijua ni kuwa kiingereza ni lugha ya kimataifa na kiswahili ni lugha ya kitaifa
kusema ati english ni lugha tu kama kiswahili ni kujiongopea
Umesema kweliInatosha sasa tumuache mzee apumzike tuige yale mema mabaya tuyaepuke yaani nyuzi zimekuwa nyingi sana tuache izo
Hongera kwa hilo unaona mbaliHadi leo kuna wajinga wanajua kuongea kiingereza kizuri ndio usomi!Ni ujuha. Kiingereza ni lugha kama kiswahili tu.acha ujuha na mawazo mgando.
Kabis mbumbumbu wako wengi sana Tanzania wanao fikiri kujua lugha ya kigeni na kuitumia katika mambo ya msingi kama ziara ya nje ya nchi alafu unajikuzaa na kutumia kiingereza angali nchi wengi wao sio wasomi kias kwamba wanao elewa wachacheee Mzee alikua anaona mbali sana yule basi tuuKama had leo unaamn kuongea lugha ya kiingereza n bora zaid ya kiswahil
Jipige kifua sema mm n limbukeni
Ukiwa masikini hakukuondolei uwezo wa kuwa huru na lugha yako.kwenye technolojia sawa ila hata kwenye mikutano?mataifa makubwa huww yana misimsmo hiyo kwa kuwa wanajitosheleza kwa vitu vingi
ukishakuwa taifa masikini huwezi kuwa na msimamo wako , maana huna mchango na unategemea mataifa mengine
😆Hujui kiingereza. Their inatumika badala ya her/his. So usishangae mtu akasema i want a person who their behavior is good. Badala ya kuweka his/her ikaweka their. Jifunze hilo.kwa kuwa umeruhusu tukukosoe basi acha tutimize wajibu.
I'd prefer the person who will honor their language first(i prefer a person who honers his/her national language).
We, who are Educated have moved from those days of slavery(we have moved from old slavery days).
NB: kingereza chako ni cha kawaida sana, jifunze kuandika sentesi fupi zinazoeleweka zenye maneno machache.
nitafarijika zaidi kama utanijibu kwa kingereza ili tuendelee "kupanuana" mawazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutojielewa na kutojiamini ndo changamoto kubwa.Huyu mama mambo ya kiprotokali hayajui vizuri vinginevyo atakua na jambo lake. Waziri wake kaanza na kingereza kisha kaomba radhi aendelee kwa lugha rasmi ya kwao. Rais wake kuja anapwaga tu kizungu. Hakika ni pigo kwa juhudi ya kukipa hadhi yake kiswahili.
Ungejua faida ya kuzifahamu lugha tofauti usingesema hivyo. Ina maana wewe waweza kumchagua Rais wako asiyejua hata kiswahili kwa vile hata kisukuma nacho ni lugha kama kiswahili tuu?Hadi leo kuna wajinga wanajua kuongea kiingereza kizuri ndio usomi!Ni ujuha. Kiingereza ni lugha kama kiswahili tu.acha ujuha na mawazo mgando.
Wewe kama hukijui nyamaza. Kama umesoma sekondari, high school hadi chuo kikuu tena phd halafu lugha uliyosomea huijui unatutia mashaka!KARNE HII MWAFRIKA ANAJISIFIA NA YUKO PROUD KUONGEA LUGYA YA KIINGEREZAINATAPISHA NA KUSIKITISHA
Unaelewa mtu anayekuja na ID tofauti kila siku tunamchukuliaje?naamini unaweza kuandika kitu bora kushindanda ulichoandika hapa tuachane na hayo baada ya miaka mitatu nitakuja na ID nyingene utaandika hiki hiki ulichoandika leo
Huwezi kusoma kwa mtiririko mzuri lugha usiyo ielewa vizuri. Huoni jamaa hata alipokuwa anaandikiwa akisoma ni vichekesho?Hayo makaratasi aliyoandikiwa akasoma wala si ushahidi kuwa anakifahamu kiingereza. Hata mwanafunzi wa kidato cha pili shule ya kata anaweza kusoma hayo.
Hatutampima kwa kujua au kutojua kiingereza.
Mbona nyie mnamuongelea kumsifu na mapambio?Mtu amefariki bado watu mnamuongelea as though mnalipwa. Mbaya wenu kaondoka wote mtakua matajiri sasa muacheni nae apumzike kwa amani.
Sasa wewe Tz na njaa zako unajifananisha na hayo mataifa? Ni Sawa na jirani maskini kumuiga jirani tajiri kutokuhudhuria misiba na shughuli zingine za kijamii mtaani, subiri mfiwe kwa pamoja then utajua kwa nini yule tajiri alikuwa hahudhuriiMarais wa France,China German,Russia na kwingineko wote hua wanatumia lugha zao,acha kua na mawazo ya kitumwa.
Hakuna aliye sema hajui, tunajiuliza kwa nini hajui?Mtu anasoma Chemistry mpaka PhD level unasema hajui English. Kwani hiyo Chemistry alisoma Kisukuma?