figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,010
- 64,044
Huu mtego alitegwa akategeka. Sasa kajaa.
Yeye alijua anamkomoa Gwajima. Ila mahubiri ya Jumapili ya leo yoye yameongelea Makanisa kukosa uhuru.
Wanazungumzia Kanisani kuna Kipaimara, Meza ya Bwana, Harusi, nk. Wakristo wenzao wa kanisa la ufufuo na uzima wamekosa haki hiyo ya kuabudu.
This time Mheshimiwa Rais atajua nguvu ya Wakristo. Na mtu wamsposema mfumo Kristo unavyofanya kazi. Hachomoki
Hii inatoa fursa kwake kutafakari upya ushauri anaopewa.
Kwa Msingi huo, Kanisa la Gwajima litafunguliwa bila masharti.
Pili moto wa no reforms no Election hawawezi uzima tena.. Gari limewaka