Nyie wanafik mnaoitusi mbeya, kuwen na aibu basi.
Mbeya ijapokuwa ilitengwa lkn bado inajimudu, kimaendeleo kulko hata hayo majiji yenu yakipuuz mnayopewa vipaumbele kila siku.
linganisha Dom&Mbeya kimaendeleo alafu useme ni wap palistahil kupewa vipaumbele vya ujenz wa miundombinu?
Tz kuna shida ya wanasiasa uchwara wanaohujumu katiba na maendeleo ya taifa, ndio hayo mnayaona maendeleo ya kupendeleana.
Mbeya ndyo Edeni ya Tz, hutak kunywa sumu ufe.