Rais Samia jumba bovu analilea mwenyewe

Rais Samia jumba bovu analilea mwenyewe

Simple, ni isssue ya kumuita DPP na kumpa mawazo yake na ambavyo angelipenda hili la Mbowe liishe maana kuna ushahidi usio na ubishi kuwa amesingiziwa . Ana dictate kuwa futa hii..... wakiwa wawili na huyu anatekeleza
Huo siyo utawala Bora. Kama Hana hatia Mahakama itaamua, kama ushahidi ni dhaifu mahakama itaamua
 
Mbowe anatuhuma za ugaidi,muacheni ajitetee,Mbona Mandela alikaa miaka 27 jela akawa rais wa A.kusini ,kwanini upande wa Mbowe mnaogopa ?

Hivi unayoyaandika kuhusu kesi unajibu kutokea wapi? Hata nukuu huna. Wapi nani kasema Mbowe aombwe huruma? Wapi unaona nani anaogopa?

Mama asipostuka na kutambua kuwa kuanguashiana majumba mabovu ni sehemu ya ule mchezo mchafu wa siasa atakuja kushangaa.

Kwani hata ni siri basi? Salama yake iko zaidi kwenye kuzingatia haki na maridhiano pekee na si katika huu ushauri uchwara mnaompa.

Katiba mpya ingalimpa tija zaidi kuliko hata urais wa post 2025.
 
Waliombambikia ndio wamelogwa, bila shaka ikiwa ni pamoja na wewe.
Ze shortest na prove kuwa ni miongoni mwa sgang mwenye hasira kwa kujeruhiwa🤔.

Hao kina the shortest ndiyo wale wanufaika uchwara wa status quo.

Si kwa kwa mapovu haya:

"Maana kamili ya kuwa anaguswa mno (negatively) akisikia haki na maridhiano au katiba mpya yakitajwa."

Bure kabisa!
 
Hao kina the shortest ndiyo wale wanufaika uchwara wa status quo.

Si kwa kwa mapovu haya:

"Maana kamili ya kuwa anaguswa mno (negatively) akisikia haki na maridhiano au katiba mpya yakitokea."

Bure kabisa!
Aambiwe awe tayari kupambana na hali yake.
 
Huo siyo utawala Bora. Kama Hana hatia Mahakama itaamua, kama ushahidi ni dhaifu mahakama itaamua

Si pekee bali hata anayeshtaki anaweza kuliondoa shitaka.

Maliza options zote zilizopo.
 
Angejikita kwenye haki na maridhiano ilikuwa inatosha sana.

Katiba mpya ingekuwa na tija zaidi kwake kuliko hata ya urais wa post 2025.
yeah, vita ya makundi anapaswa ayaachie makundi maana itamharibia kama atajiingiza kichwa kichwa, vice wake na pm wake wote ni sukuma gang, kama atajitia kwenye vita hii anguko lake litakua karibu mno.
 
Alifika Salmin Dodoma simu zake tu (zote) ndiyo zikawa hazisomi network.

Wacha tuone.
 
Kwa katiba tulimo mhimili wake umejichimbia zaidi.

Hashindwi kuwakutanisha DPP na AG informally (au kwa niaba yake) kuona namna iliyo bora zaidi ya kutoka kwenye jumba bovu hilo la hiyo kesi.
Tunasubiri ushahidi wa ugaidi kwenye kesi ya FAM. Hadi sasa hatujaona concrete evidence yoyote ya ugaidi hadi sasa zaidi ya mbege ya Rau na Mo Energy.
 
Inaelekea kuna ukweli kwenye tuhuma za Mbowe maana kundi kubwa la watu wanaingilia uhuru wa mahakama pia wanamshinika Rais aiingilie mahakama kwa kumwondolea kesi Mbowe.

Naanza kuamini kwenye ukweli wa tuhuma za huyu jamaa maana siyo kwa kelele hizi
 
Angetuundia tume yakuchunguza kifo cha magufuli kidogo sisi sukuma geng tungemuuelewa,hiii kupita hivi kimya kimya na anashuhudia magufuli akinangwa na wapumbavu wachache na hasemi chochote tunaumia sana.tunamuona naye ni walewale chawa
 
Inaelekea kuna ukweli kwenye tuhuma za Mbowe maana kundi kubwa la watu wanaingilia uhuru wa mahakama pia wanamshinika Rais aiingilie mahakama kwa kumwondolea kesi Mbowe.

Naanza kuamini kwenye ukweli wa tuhuma za huyu jamaa maana siyo kwa kelele hizi

Niliona comment ya Mahita ikifanana kama yako. Hauko peke yako. Ila wahusika wa haya:

IMG_20211202_092804_863.jpg

Mtake au msitake hatutawaacha bila kuwawajibisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom