- Thread starter
- #81
Kwani Rugemarila aliachiwa na mahakama?Jibu ni hapana.
Lakini kesi yake si ilikuwa mahakamani? Kwa kifupi Rais hashindwi jambo ndani ya nchi yake.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Kama yalivyokuwa haya:
Ikatokea kesi hii ikafutwa usishangae hao hao: Ibambasi, thetallest, Jumbe Brown na binamu zao wakipaza sauti za pongezi kwa Mtukufu raisi kuliko wengine wote.
Huwa wanakaukiwa maneno? Mbona hata wingi wa huruma utausikia?
Hiiiiii bagosha!