thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,116
Acheni ujinga basi,mmerogwa?Simple, ni isssue ya kumuita DPP na kumpa mawazo yake na ambavyo angelipenda hili la Mbowe liishe maana kuna ushahidi usio na ubishi kuwa amesingiziwa . Ana dictate kuwa futa hii..... wakiwa wawili na huyu anatekeleza