Msimpangie...
Layman's response, I thought I am exchanging views with a fellow learned brother, kumbe ni Lumpen!Basi jengeni ya kwenu
Hakuna kitu,najua unajua,Kama lipo MAHAKAMAN mbona alizungumzia kuhusu kukimbia nchi na wenzake kufungwa,unawajua waliofungwa kwa kesi ya Mbowe?Swala la mbowe linahusu mahakama mbona mnamlazimisha rais samia aingilie mhimili wa mahakama
Sio kelele,ushahidi unaokuja MAHAKAMAN unaonesha kabis hakuna la maana,uzuri ata wewe unajua hiloMbona mbowe mnapiga kelele kuna wafungwa wangapi magerezani subiri mahakama iamue hatma ya mbowe ile ni mhimili mwingine
jana niliyafeel maumivu ya rais samia japo sikumkubali, kuna kitu hajakijua hilo kundi linalomuunga wanamchezesha mchezo wa kisiasa ili awaone sukuma gang ni maadui zake wao wanufaike kisiasa, mama anapaswa kua makini sana na kundi linalomuunga mkono kuliko hata sukuma gang.
CCM ni wajaa laana, tunapaswa kuwang'oa madarakani kwa nguvu maana wanaliharibu taifa lenye raslimali za kutosha kwa maslahi yao binafsi.Ni siasa chafu zinazotokana na mfumo mchafu na Katiba isiyofaa.
Viongozi wa kiafrika wametiwa upofu kwa maovu yao na nia zao zilizoja ubinafsi.
Yesu Masihi alisema watazama Lakini hawataona.
Katiba iliyopo hata akitawala malaika ,atatengemezewa Michezo michafu na wale waliomzunguka ili wao ama waibe au wajihakikishie Kuwa maharaka ni Yao na watoto wako.
Wakati wa JPM ana Pole pole walimuaminisha Kuwa adui wa nchi hii ni wapinzani ,ikatumika nguvu kubwa na Haramu kinyuma cha sharia ili kuua na hata kuwapoteza wapinzani. Zilitumika fedha nyingi kuwahonga watu ili kuua upinzani . Wakurugenzi na PolisI wakavuruga uchaguzi matokeo yake leo Tanzania hakuna wawakilishi wa wananchi. Kila kitu kinapangwa na dola na kusimamiwa na dola kwa nguvu ya dola Kuanzia kwenye mitaa mpaka Juu.
Hata kiingereza hukijui.Layman's response, I thought I am exchanging views with a fellow learned brother, kumbe ni Lumpen!
Vigezo na masharti mjombaMnazuia mikutano hata ya ndani mtaruhusu ujenzi?
Rais Hana mamlaka hayoSi pekee bali hata anayeshtaki anaweza kuliondoa shitaka.
Maliza options zote zilizopo.
Hata kiingereza hukijui.
Vigezo na masharti mjomba
Tuna katiba Bora kabisaVigezo na masharti ni kutokea katiba siyo kutokea mfukoni mwa mtu
Ndiyo naniKwani uhujaa wako wa kyato mara hii umemsahau?
Alitakiwa kwanza kuomba radhi watz kwa matendo ya awamu ya 5, pia ilibidi atubu KWA mola Toba ya dhati, ya moyo Ili tuondolewe laana aliyoileta magufuli. Vinginevyo hakuna atakalofanya likaonekana,Kama binadamu ni muhimu kukumbuka ulikotoka, kuelewa ulipo na kujua unakokwenda.
View attachment 2033861
Kwamba ni sasa ndiyo anaangushiwa Jumba bovu? Mbona bado?
Asipoangalia mbona hata la Mbowe nalo atangushiwa yeye?
Bora angejikita (japo kwa kuchelewa) kwenye haki na maridhiano kuurejesha uungwaji mkono uliopotea.
Legacy ya kuiachia hii nchi Katiba mpya ingempa heshima kubwa zaidi kuliko hata ya urais 2025 anaoonekana kuutaka mno.
-----------
Matumaini yote ya siku 100 aliyowapa Wananchi yazikwa na kauli ya dk 1
Tuna katiba Bora kabisa
Sasa katiba ipo tayari. Unataka niniKatiba bora haiwezi kuwa uamuzi wa mtu mmoja au kikundi cha watu bali suala la wote.
Kura ya maoni ndiyo huwa mwamuzi.
Sasa katiba ipo tayari. Unataka nini
Kwani Rugemarila aliachiwa na mahakama?Jibu ni hapana.Mbowe issue yake ipo mahakamani ,kama hana hatia ataachiwa,msimlazimishe rais Samia kuingilia Uhuru wa Mahakama.
Haya nakumbuka mliyapinga kwa Magufuli iweje sasa kwa Samia?
Mbona Sabaya kala 30yrs in prison na mkashangilia na kukenua meno ya kwamba mahakama imetenda haki,sasa na huyo gaidi mtuhumiwa haki itatendeka