Rais Samia hukubaliki kwa wananchi wa kawaida

Ni ukweli tena ukweli mtupu.
Wewe mwenyewe unajidanganya,wanaokuzunguka wanakudanganya. Angalia mikutano ya chadema inavyokuvua nguo. Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni makamu wa mwenyekiti. Vibe kama lote. Naamini wewe hujawahi kupata shangwe kama hilo. Wananchi wanajitokeza kwa mapenzi tofauti na wewe na chama chako chakavu mnaotumia nguvu kubwa ikiwemo wasanii kufanya ushawishi. Unatumia machawa wajinga lakini Bado hupendwi kiasi hiki.
Naamini uchaguzi ujao kama Heche na lissu watasimama kwenye kinyang'anyiro utashindwa asubuhi tu. Watanzania walikuamini lakini umewakatisha tamaa mwenyewe. Umekuwa Rais wa hovyo kwa mara nyingine tena baada ya ahueni kutoka kwa JPM. Umekumbatia matapeli na ufisadi. Wewe mwenyewe hueleweki..umebariki kila anayekosoa atekwe na apigwe. Hukemei hata kidogo rushwa,ripoti ya CAG umeitupa na kufanya unachojua mwenyewe.
Kwa kheri ya kuonana. Utavuna ulichopanda na unachopanda
Hivi ile taasisi ya utafiti badi huwa inafanya hizi mambo?
 
Hizo gari zinaweza kuwa zimekodishwa tu na wala hazina wanafunzi wa hizo shule.
Ukweli Ni kuwa CCM haipendwi na haitakiwi popote pale Tanzania.
Sasa hakuna dawa hospital za serikali na rushwa imetawala kila sehumu.
Uonevu kwa raia sababu ya pesa au cheo umerudi kwa kasi. "UNANIJUA MIMI NI NANI?" imerudi.
Hapana zilikodiwa nimethibitisha toka chanzo huru
 
Ni ukweli tena ukweli mtupu.
Wewe mwenyewe unajidanganya,wanaokuzunguka wanakudanganya. Angalia mikutano ya chadema inavyokuvua nguo. Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni makamu wa mwenyekiti. Vibe kama lote. Naamini wewe hujawahi kupata shangwe kama hilo. Wananchi wanajitokeza kwa mapenzi tofauti na wewe na chama chako chakavu mnaotumia nguvu kubwa ikiwemo wasanii kufanya ushawishi. Unatumia machawa wajinga lakini Bado hupendwi kiasi hiki.
Naamini uchaguzi ujao kama Heche na lissu watasimama kwenye kinyang'anyiro utashindwa asubuhi tu. Watanzania walikuamini lakini umewakatisha tamaa mwenyewe. Umekuwa Rais wa hovyo kwa mara nyingine tena baada ya ahueni kutoka kwa JPM. Umekumbatia matapeli na ufisadi. Wewe mwenyewe hueleweki..umebariki kila anayekosoa atekwe na apigwe. Hukemei hata kidogo rushwa,ripoti ya CAG umeitupa na kufanya unachojua mwenyewe.
Kwa kheri ya kuonana. Utavuna ulichopanda na unachopanda
 
Attachments

  • IMG-20250516-WA0004.jpg
    IMG-20250516-WA0004.jpg
    105 KB · Views: 15
Ni ukweli tena ukweli mtupu.
Wewe mwenyewe unajidanganya,wanaokuzunguka wanakudanganya. Angalia mikutano ya chadema inavyokuvua nguo. Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni makamu wa mwenyekiti. Vibe kama lote. Naamini wewe hujawahi kupata shangwe kama hilo. Wananchi wanajitokeza kwa mapenzi tofauti na wewe na chama chako chakavu mnaotumia nguvu kubwa ikiwemo wasanii kufanya ushawishi. Unatumia machawa wajinga lakini Bado hupendwi kiasi hiki.
Naamini uchaguzi ujao kama Heche na lissu watasimama kwenye kinyang'anyiro utashindwa asubuhi tu. Watanzania walikuamini lakini umewakatisha tamaa mwenyewe. Umekuwa Rais wa hovyo kwa mara nyingine tena baada ya ahueni kutoka kwa JPM. Umekumbatia matapeli na ufisadi. Wewe mwenyewek hueleweki..umebariki kila anayekosoa atekwe na apigwe. Hukemei hata kidogo rushwa,ripoti ya CAG umeitupa na kufanya unachojua mwenyewe.
Kwa kheri ya kuonana. Utavuna ulichopanda na unachopanda
Wewe ndio hueleweki ulichoandoka.Kwa kuangalia tu mwandiko wako inaonyesha elimu yako ndogo mno na uelewa mdogo sana. Ndio maana ulifeli shule
 
Ni ukweli tena ukweli mtupu.
Wewe mwenyewe unajidanganya,wanaokuzunguka wanakudanganya. Angalia mikutano ya chadema inavyokuvua nguo. Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni makamu wa mwenyekiti. Vibe kama lote. Naamini wewe hujawahi kupata shangwe kama hilo. Wananchi wanajitokeza kwa mapenzi tofauti na wewe na chama chako chakavu mnaotumia nguvu kubwa ikiwemo wasanii kufanya ushawishi. Unatumia machawa wajinga lakini Bado hupendwi kiasi hiki.
Naamini uchaguzi ujao kama Heche na lissu watasimama kwenye kinyang'anyiro utashindwa asubuhi tu. Watanzania walikuamini lakini umewakatisha tamaa mwenyewe. Umekuwa Rais wa hovyo kwa mara nyingine tena baada ya ahueni kutoka kwa JPM. Umekumbatia matapeli na ufisadi. Wewe mwenyewe hueleweki..umebariki kila anayekosoa atekwe na apigwe. Hukemei hata kidogo rushwa,ripoti ya CAG umeitupa na kufanya unachojua mwenyewe.
Kwa kheri ya kuonana. Utavuna ulichopanda na unachopanda
Unafikiri kwanini kamteua Steve Nyerere kuwa msemaji wake mkuu, Mama yabidi asome tu alama za nyakati.....anatumia strategy za kijinga kutesa wapinzani na kujiharibia CV bure. Ukweli ni kwamba wananchi walishaichoka CCM kitambo kwa sababu hawana dira ya maendeleo.. Mtu pekee angeyeweza kukipeleka hiki chama mbele alikuwa Magufuli tu maana alikuwa mtendaji na si mtu wa porojo japo naye alikuwa na mabaya yake ila kiujumla ndiye aliyefaa kuwa rais wa nchi hii.
 
Ni ukweli tena ukweli mtupu.
Wewe mwenyewe unajidanganya,wanaokuzunguka wanakudanganya. Angalia mikutano ya chadema inavyokuvua nguo. Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni makamu wa mwenyekiti. Vibe kama lote. Naamini wewe hujawahi kupata shangwe kama hilo. Wananchi wanajitokeza kwa mapenzi tofauti na wewe na chama chako chakavu mnaotumia nguvu kubwa ikiwemo wasanii kufanya ushawishi. Unatumia machawa wajinga lakini Bado hupendwi kiasi hiki.
Naamini uchaguzi ujao kama Heche na lissu watasimama kwenye kinyang'anyiro utashindwa asubuhi tu. Watanzania walikuamini lakini umewakatisha tamaa mwenyewe. Umekuwa Rais wa hovyo kwa mara nyingine tena baada ya ahueni kutoka kwa JPM. Umekumbatia matapeli na ufisadi. Wewe mwenyewe hueleweki..umebariki kila anayekosoa atekwe na apigwe. Hukemei hata kidogo rushwa,ripoti ya CAG umeitupa na kufanya unachojua mwenyewe.
Kwa kheri ya kuonana. Utavuna ulichopanda na unachopanda
Mama ana hasira mpaka kachanganikiwa na kumpa ujira Steve Nyerere kuwa Msemaji wake mkuu
 
Yule alikuwa Kiongozi anaye simamia ulipo yupo,
Huyu anasimamia Kwa Kalamu, lakini kalamu imegoma , hivyo anatafuta Kalamu nyingine.
 
Samia hakubaliki aisee, ukija Kwa wamama ndo kabisa hakubaliki, ata mitandaoni huoni watu wakimuunga mkono
 
Unakumbk cuf iliposusia uchaguzi wa marejeo maalim seif sharif hamad akaamrisha wafuasi wasiende kupiga kura unajua nn kilitokea licha ya ccm kupiga kura na kulazimisha wafanyakazi qa serekali kwenda kupiga kura ? Watanzania hatutoendelea hadi tuache kutumia sehem za siri kufikiria mambo
 
Urais tu ndio unaombeba. Kwa maana vyombo vyote vya dola anavimiliki. Lakini hakubaliki kwa wananchi wa kawaida na ndani ya ccm pia.
 
Ni ukweli tena ukweli mtupu.
Wewe mwenyewe unajidanganya,wanaokuzunguka wanakudanganya. Angalia mikutano ya chadema inavyokuvua nguo. Hadi wananchi wanakimbiza gari za akina Heche ambaye ni makamu wa mwenyekiti. Vibe kama lote. Naamini wewe hujawahi kupata shangwe kama hilo. Wananchi wanajitokeza kwa mapenzi tofauti na wewe na chama chako chakavu mnaotumia nguvu kubwa ikiwemo wasanii kufanya ushawishi. Unatumia machawa wajinga lakini Bado hupendwi kiasi hiki.
Naamini uchaguzi ujao kama Heche na lissu watasimama kwenye kinyang'anyiro utashindwa asubuhi tu. Watanzania walikuamini lakini umewakatisha tamaa mwenyewe. Umekuwa Rais wa hovyo kwa mara nyingine tena baada ya ahueni kutoka kwa JPM. Umekumbatia matapeli na ufisadi. Wewe mwenyewe hueleweki..umebariki kila anayekosoa atekwe na apigwe. Hukemei hata kidogo rushwa,ripoti ya CAG umeitupa na kufanya unachojua mwenyewe.
Kwa kheri ya kuonana. Utavuna ulichopanda na unachopanda
Mnhh!!
Mkuu..
Chukua tahadhari...
 
Back
Top Bottom