Mkuu njoo na hoja sahihi kuhusu neno Raisi.Jina la kimchakato tu hilo, usijali sana.
We umeshawahi kudhani kuwa neno RAIS ni sahihi? Au ni neno la lugha gani?
Inawezekana kuna makundi maalum hawana jinsia au kwenye jinsia labda kuna zaidi ya wanaume na wanawakeUko sahihi mkuu ukisema jinsia ni wanawake na wanaume halafu pi makundi maalum vilema watoto wazee na wanawake pia kwa hyo?? Hyo jinsia inasimamia Nini wabadilishe kwa kwel
Makundi maalum kwasasa kwenye medani za kimataifa sio walemavu, wanawake na watoto tena bali ni LGBTQAmani iwe kwako mkuu wangu wa nchi.
Nimeweka heading hiyo kuweza kukuvutia kusoma usuli wa hoja yangu.
Sote tunafahamu kwa Mujibu wa Katiba kuwa tasisi unayoiongoza imepewa mamlaka ya kuunda, kupangua ama kufuta wizara mbalimbali za serikali hasa kutokana na mahitaji ya nchi kwa wakati husika.
Umeunda wizara mahususi ya kushughulika na hitaji kubwa la ustawi na maendeleo ya kisekta kwa kulenga jamii hususan makundi yaliyo kwenye wskati mgumu kijamii ambayo ni wanawake, watoto na wenye ulemavu. Naongekea wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Makundi Maalum. Nimeweka hapa chini screenshot ya banner la wizara lililopo kwenye interface ya tovuti ya wizara
View attachment 2547166
UKAKASI
Nimetafakari jina la Wizara ni kama linaleta ukakasi zaidi kwa muktadha wake.
Je neno JINSIA lilimaanisha nini ama aina gani ya jinsia zilizopo ndani ya neno hilo? Nimeona Jinsia imetajwa kisha mbeleni naona Wanawake wanatajwa nje ya jinsia. Ingesomeka wanaume badala ya jinsia ili kubeba mantiki ya neno wanawake mbeleni hapo.
Neno lingine ni makundi maalumu. Ambapo sisi raia wako tunaamini makundi maalumu ni wanawake, watoto na wenye ulemavu. Najiuliza kama jinsia lipo, wanawake wapo hapo kwenye makundi maalumu tunamaanisha makundi gani?
USHAURI
Nikiulizwa kuwa napendekeza jina lisomekaje nitajibu Jina la Wizara litapendeza likisomeka WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WATOTO NA WENYE ULEMAVU.
Nimetoa hoja
Changamoto za wanawake ni nyingi kwanza ndio primary carers ndani ya family, baba akitoroka mtoto ana baki na mama; sasa hapo kunakuwa na welfare ya mtoto pia.Kwanza kwanini iwepo wizara ya wanawake?
Kiuhalisia kunajambo gani hasa ambalo linawagusa mojakwamoja mpaka kulitengea wizara?
Siniwakati wa haki sawa? Sasa mbona tena wanaundiwa wizara yao?
Au niridhiketu kwa kua hata siku yao ipo inatambulika kimataifa?
Nimefurahia sana mrejesho wako ambao umejibu baadhi ya hoja mkuu, barikiwa kila uchao na uchwao.Changamoto za wanawake ni nyingi kwanza ndio primary carers ndani ya family, baba akitoroka mtoto ana baki na mama; sasa hapo kunakuwa na welfare ya mtoto pia...
Ni muhimu ikawepo kwa malengo chanya ya kujenga usawa kwenye jamii.Kwanza kwanini iwepo wizara ya wanawake?
Kiuhalisia kunajambo gani hasa ambalo linawagusa mojakwamoja mpaka kulitengea wizara?
Siniwakati wa haki sawa? Sasa mbona tena wanaundiwa wizara yao?
Au niridhiketu kwa kua hata siku yao ipo inatambulika kimataifa?
hapo kwenye boldNeno ‘walemavu’ ni political incorrect dunia ya leo.
Walemavu lina negative connotation ya watu wasiojiweza na kuchochea stigma ndani ya jamii zinazochangia hilo kundi kutopata ajira, waajiri kutoweka mazingira ya ku accommodate walemavu and so on.
Wakati kundi lenye watu wenye mahitaji maalum ni more positive lina ashiria serikali ikitengeneza sera nzuri, so called walemavu wanaweza ishi independent lives with minimal support, mfano ukiweka rump kila jengo la ofisi na lift ata mlemavu anaweza fanya kazi, mabasi yakiwa na eneo la walemavu na rumps wanaweza safiri wenyewe.
Story ni ndefu mzizi wa neno kundi la watu wenye ‘mahitaji maalum’, badala ya kuita walemavu ni ‘social model of disability’ ukipatia arguments zao utaona kwanini neno walemavu ni somewhat political incorrect; but then hizo ni siasa za first world on moral issues na wana hela ya ku implement hizo sera zao na ku-reinforce.
Naamini kwa busara ya Taasisi ya Rais iangalie namna ya kuyaweka sawa haya mambo kimfumo wa kutawalaMleta mada umeongea jambo lenye mantiki. Pia chini ya ofisi ya Waziri Mkuu, kuna component ya "wenye ulemavu" hivyo ni vizuri serikali ikayaweka vizuri haya kuepuka utata.
😁 ngoja nicheke kwanza. Ok kwahiyo watoto hawana jinsia, walemavu sio watoto... wizara ya mchongoAmani iwe kwako mkuu wangu wa nchi.
Nimeweka heading hiyo kuweza kukuvutia kusoma usuli wa hoja yangu.
Sote tunafahamu kwa Mujibu wa Katiba kuwa tasisi unayoiongoza imepewa mamlaka ya kuunda, kupangua ama kufuta wizara mbalimbali za serikali hasa kutokana na mahitaji ya nchi kwa wakati husika.
Umeunda wizara mahususi ya kushughulika na hitaji kubwa la ustawi na maendeleo ya kisekta kwa kulenga jamii hususan makundi yaliyo kwenye wskati mgumu kijamii ambayo ni wanawake, watoto na wenye ulemavu. Naongekea wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Makundi Maalum. Nimeweka hapa chini screenshot ya banner la wizara lililopo kwenye interface ya tovuti ya wizara
View attachment 2547166
UKAKASI
Nimetafakari jina la Wizara ni kama linaleta ukakasi zaidi kwa muktadha wake.
Je neno JINSIA lilimaanisha nini ama aina gani ya jinsia zilizopo ndani ya neno hilo? Nimeona Jinsia imetajwa kisha mbeleni naona Wanawake wanatajwa nje ya jinsia. Ingesomeka wanaume badala ya jinsia ili kubeba mantiki ya neno wanawake mbeleni hapo.
Neno lingine ni makundi maalumu. Ambapo sisi raia wako tunaamini makundi maalumu ni wanawake, watoto na wenye ulemavu. Najiuliza kama jinsia lipo, wanawake wapo hapo kwenye makundi maalumu tunamaanisha makundi gani?
USHAURI
Nikiulizwa kuwa napendekeza jina lisomekaje nitajibu Jina la Wizara litapendeza likisomeka WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WATOTO NA WENYE ULEMAVU.
Nimetoa hoja
Sa mazeruzeru waende ulaya ndo waitwe hivohapo kwenye bold
Unyanyapaa ni hata kujikataa ulivyo na kujisikia inferior kwa hali halisi uliyonayo.
Unapofikia mahala neno disabled likaonekana negative basi hata mtu mzima nalo ni neno dhalili kabisa.
Kwa mfano neno Zeruzeru ambapo ni mtu mwenye ulemavu wa ngozi tumeliona ni tusi badala yake tunasema albinism ambapo tafsiri yake ni zeruzeru.
Kutojitambua na kukubaliana na hali yako hakukuweki mbali na kujinyanyapaa
Kuna mtu hana jinsia japo mwenyewe amejiweka kwa wanawake lakini ukweli sio mwanamke wala sio mwanaume kwa sababu hana sehemu ya siri ya mwanamke wala mwanaume bali ana kitundu tu cha kutolea haja ndogo.Inawezekana kuna makundi maalum hawana jinsia au kwenye jinsia labda kuna zaidi ya wanaume na wanawake
Serikali inabugi mambo mengi sana.. serikali iko na mambo ya ajabu sana. Upigaji tuNi muhimu ikawepo kwa malengo chanya ya kujenga usawa kwenye jamii.
Kuna shida kubwa eneo la familia ambapo savages wanalelewa kuwa future fathers na kuja kuwatesa wake zao.
uwepo wa wizara hii ni matokeo ya failures za serikali na jamii kwa kuamua kufuta mafunzo ya awali ya kimila kwa vijana na badala ya kuyaboresha waliyafuta kabisa. tunahitaji kujitafakari