Tukiachilia ukapuku! Je unauwezo wakutoa na kusimamia hoja!? Au unataka ukapige meza tu.....Kama kweli mh rais anamamlaka ya kuamua nani arudi au asirudi bungeni despite kura za watu, basi na anichague kapuku Mimi kupata position yoyote serikalini. Hapo nitaamini
SawaWw kiaz serikali ni nini? Tulia
Mwijage jimboni kwake kuko vizuri, Kiombo kule Nkenge sio kubaya vile Tatizo kwa Rwekiza Bukoba Vijijini tofauti nakufunga maTV makubwa kila kata hakuna kingine.Asilimia 70 ya wabunge hawafanyi Kazi kwa ufasaha
Mfano
1. Utamuachaje Bungeni Mwijage
2. Masauni
3. Kitila
4. Gwajima mkono baunsa
5. Rweikiza
6. Kyombo?
Upo mwenyewe nchi inawenyewe hii.Yeye kupita ni 100% tupo hapa
Jerry kaonesha maajabu kwenye Aridhi, anafaa.Orodha Yako haiwezi kutimia kama hakuna mazwazwa kama waitara gekul Jerry silaa na mi CCM yote ni taka taka tupa mbaliiii
Muache Mwijage kiongozi fatilia jimboniAsilimia 70 ya wabunge hawafanyi Kazi kwa ufasaha
Mfano
1. Utamuachaje Bungeni Mwijage
2. Masauni
3. Kitila
4. Gwajima mkono baunsa
5. Rweikiza
6. Kyombo?
Nataka nikapige dili tuu 😃Tukiachilia ukapuku! Je unauwezo wakutoa na kusimamia hoja!? Au unataka ukapige meza tu.....
Sababu kuu kwanini Nape moses nauye na january makamba hawafai kurudi mjengoni;Wote hawa wawili ni wanafiki,wapigaji,wanaongoza magenge ya chawa,wanauwezo mdogo kiutendaji expecially January makamba.
Hii Expecially ulimaanisha nini
Makosa yao nini? Unataka rais afanyie kazi matakwa ya chuki zako1. January Makamba
2. Nape Moses Nnauye
3. Ummy Mwalimu
4. Babu Tale
5. Bashiru Ally Kakurwa
6.Stergomena Tax
7. Liberata Mulamula
8. Stella Manyanya
9. Ole Sendeka
10. Job Ndugai.
11. Vita Kawawa
12. Charles Kimei
13. Anjela Kairuki
14.Paulina gekulu
15.Zungu
Note: Dkt bashiru bado anafaa sana apewe cheo kingine.
Lakini hawa wengine majina yao yakija tu kwenye NEC feka.
Uchaguzi ukiwa huru na haki spika tununu hatoboi kwa SUGU pale MBEYA nakwambia saa 12 jion vituo vinafungwa tuu SUGU anatangazwa sema nfo vile mwanangu mpeni mbelekoMnapoelekea mtamwondoa na spika sasa
Polepole kha
Unampa kazi ngumu sana hiyo!1. January Makamba
2. Nape Moses Nnauye
3. Ummy Mwalimu
4. Babu Tale
5. Bashiru Ally Kakurwa
6.Stergomena Tax
7. Liberata Mulamula
8. Stella Manyanya
9. Ole Sendeka
10. Job Ndugai.
11. Vita Kawawa
12. Charles Kimei
13. Anjela Kairuki
14.Paulina gekulu
15.Zungu
Note: Dkt bashiru bado anafaa sana apewe cheo kingine.
Lakini hawa wengine majina yao yakija tu kwenye NEC feka.