Rais Samia hakikisha hawa watu hawarudi bungeni

Rais Samia hakikisha hawa watu hawarudi bungeni

1.January makamba
2.Nape moses nauye
3.Ummy mwalimu
4.Babu tale
5.Bashiru Ally kakurwa
6.Sigomena tax
7.Liberata mulamula
8.Stella manyanya
9.Ole sendeka
10.Job ndugai.

Note;Dkt bashiru bado anafaa sana apewe cheo kingine.

Lakini hawa wengine majina yao yakija tu kwenye NEC feka.
kwani ni wepi walifanya vizuri?!

Jesus is Lord
 
Wewe kama nani sasa?! 😀

Wote hao watu wazima, wasomi tena wana akili timamu. Wanajua kilichowaweka pale. Wakijisahau shauri zao wenyewe, watajutia mbeleni Uongozi ni dhima... Lakini pia "Riziki ya mwenzio usiilalie mlango wazi na usiipelekee fitina".....

Wacha serikali yenyewe ifanye kazi yake.
Ww kiaz serikali ni nini? Tulia
 
Kama kweli mh rais anamamlaka ya kuamua nani arudi au asirudi bungeni despite kura za watu, basi na anichague kapuku Mimi kupata position yoyote serikalini. Hapo nitaamini
Soma kwa makini wataanza kupita NEC! Wakishapita hapo ushindi ni uhakika 98%
 
1.January makamba
2.Nape moses nauye
3.Ummy mwalimu
4.Babu tale
5.Bashiru Ally kakurwa
6.Sigomena tax
7.Liberata mulamula
8.Stella manyanya
9.Ole sendeka
10.Job ndugai.

Note;Dkt bashiru bado anafaa sana apewe cheo kingine.

Lakini hawa wengine majina yao yakija tu kwenye NEC feka.
Bila kuweka sababu ,,sawa na majungu tu
 
  1. Sababu kuu kwanini Nape moses nauye na january makamba hawafai kurudi mjengoni;Wote hawa wawili ni wanafiki,wapigaji,wanaongoza magenge ya chawa,wanauwezo mdogo kiutendaji expecially January makamba.​
 
1. January Makamba
2. Nape Moses Nnauye
3. Ummy Mwalimu
4. Babu Tale
5. Bashiru Ally Kakurwa
6.Stergomena Tax
7. Liberata Mulamula
8. Stella Manyanya
9. Ole Sendeka
10. Job Ndugai.
11. Vita Kawawa
12. Charles Kimei
13. Anjela Kairuki

Note: Dkt bashiru bado anafaa sana apewe cheo kingine.

Lakini hawa wengine majina yao yakija tu kwenye NEC feka.
Orodha Yako haiwezi kutimia kama hakuna mazwazwa kama waitara gekul Jerry silaa na mi CCM yote ni taka taka tupa mbaliiii
 
Wenye mamlaka ya kutoa au kuweka mbunge ni wananchi siyo Rais.
Rais kama mwenyekiti wa chama anasimamia mchakato ndani ya chama chake siyo kuingia au kutoka bungeni.
 
Wenye mamlaka ya kutoa au kuweka mbunge ni wananchi siyo Rais.
Rais kama mwenyekiti wa chama anasimamia mchakato ndani ya chama chake siyo kuingia au kutoka bungeni.
Hilo linafahamika sana kiongoz! Ndiyo maana nikasema hayo majina yakipelekwa NEC ya ccm ni kupiga spana tu.
 
1. January Makamba
2. Nape Moses Nnauye
3. Ummy Mwalimu
4. Babu Tale
5. Bashiru Ally Kakurwa
6.Stergomena Tax
7. Liberata Mulamula
8. Stella Manyanya
9. Ole Sendeka
10. Job Ndugai.
11. Vita Kawawa
12. Charles Kimei
13. Anjela Kairuki

Note: Dkt bashiru bado anafaa sana apewe cheo kingine.

Lakini hawa wengine majina yao yakija tu kwenye NEC feka.
Hahaha,
Ungetoa na sababu basi
 
Back
Top Bottom