DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Karibu tena mkuuMh Rais
Pole na Majukumu ya Kuliongoza taifa.
Kwa niaba ya madereva Guide wa Utalii nipende kuelezea kero juu ya kona kali ya perving ya kupandia kutoka ndani ya Crater
Picha tafadhaliRais Samia
Pole na Majukumu ya Kuliongoza taifa.
Kwa niaba ya madereva Guide wa Utalii nipende kuelezea kero juu ya kona kali ya perving ya kupandia kutoka ndani ya Crater.
Mh Rais ni kwamba Mamlaka ya Ngorongoro imeshindwa kuchonga Mwamba hata mita mbili ili kuondoa wimbi la ajali inayotokea mara kwa mara.
Eneo hilo ni hatari na magari mengi hushindwa kuimaliza kona hiyo kwa kuwa ni Landcruiser warbus na pale unaporudi nyuma kuna hatari kubwa kwa kuwa ni shimo na hata wameshindwa kuweka vyuma pembezoni ili kuzuia ajali.
Wakati mwingine wageni huangua kilio pindi gari inaposhindwa kumaliza na kurudi nyuma
Rais Samia ikiwezekani turuhusiwe sisi tunaopita katika eneo hilo tuchonge kwa shoka kwani Adha imekuwa kubwa na wageni wanalalamika.
Rais Samia kero hii mara kadhaa tumekuwa tukiielezea NCAA ila hakuna hatua yoyote inayochukuliwa na hivi karibuni kuna ajali kadhaa zimetokea katika eneo hilo la mlima mkali na kona kali.
Natanguliza Shukrani za dhati
Hilo ni eneo la hifadhi, sheria za hifadhi , kila kitu kipo pale kwa uhalisia wake ( hutakiwi ku modify nature).
Amdokeze HangayaNafikiri ungeiandika kama dokezo, na sio barua.
Napakumbuka hapo almanusura mwaka fulani tuingie shimoni maana gari ilifeli.Rais Samia
Pole na Majukumu ya Kuliongoza taifa.
Kwa niaba ya madereva Guide wa Utalii nipende kuelezea kero juu ya kona kali ya perving ya kupandia kutoka ndani ya Crater.
Mh Rais ni kwamba Mamlaka ya Ngorongoro imeshindwa kuchonga Mwamba hata mita mbili ili kuondoa wimbi la ajali inayotokea mara kwa mara.
Eneo hilo ni hatari na magari mengi hushindwa kuimaliza kona hiyo kwa kuwa ni Landcruiser warbus na pale unaporudi nyuma kuna hatari kubwa kwa kuwa ni shimo na hata wameshindwa kuweka vyuma pembezoni ili kuzuia ajali.
Wakati mwingine wageni huangua kilio pindi gari inaposhindwa kumaliza na kurudi nyuma
Rais Samia ikiwezekani turuhusiwe sisi tunaopita katika eneo hilo tuchonge kwa shoka kwani Adha imekuwa kubwa na wageni wanalalamika.
Rais Samia kero hii mara kadhaa tumekuwa tukiielezea NCAA ila hakuna hatua yoyote inayochukuliwa na hivi karibuni kuna ajali kadhaa zimetokea katika eneo hilo la mlima mkali na kona kali.
Natanguliza Shukrani za dhati
Hongera Sana sana Kwa taarifa na unyenyekevu mzuri wa uandishi wako. Ngorongoro yaani hao NCAA ni wapumbavu sana kila wakati wanataka well wishers wawaumbue ndio watimize majukumu. Hio taasisi ni ya kipumbavu Kila siku ni bora ya jana. Imejaa watumishi waliopata kazi kwa undugu na kujuana.Rais Samia
Pole na Majukumu ya Kuliongoza taifa.
Kwa niaba ya madereva Guide wa Utalii nipende kuelezea kero juu ya kona kali ya perving ya kupandia kutoka ndani ya Crater.
Mh Rais ni kwamba Mamlaka ya Ngorongoro imeshindwa kuchonga Mwamba hata mita mbili ili kuondoa wimbi la ajali inayotokea mara kwa mara.
Eneo hilo ni hatari na magari mengi hushindwa kuimaliza kona hiyo kwa kuwa ni Landcruiser warbus na pale unaporudi nyuma kuna hatari kubwa kwa kuwa ni shimo na hata wameshindwa kuweka vyuma pembezoni ili kuzuia ajali.
Wakati mwingine wageni huangua kilio pindi gari inaposhindwa kumaliza na kurudi nyuma
Rais Samia ikiwezekani turuhusiwe sisi tunaopita katika eneo hilo tuchonge kwa shoka kwani Adha imekuwa kubwa na wageni wanalalamika.
Rais Samia kero hii mara kadhaa tumekuwa tukiielezea NCAA ila hakuna hatua yoyote inayochukuliwa na hivi karibuni kuna ajali kadhaa zimetokea katika eneo hilo la mlima mkali na kona kali.
Natanguliza Shukrani za dhati
N.B
Niipongeze mamlaka kwa ufuatiliaji wa mara kwa mara wa Barabara zake ambazo ni bora..ila tatizo letu ni Kona ya kubusu wakati unapanda toka Crater
Acha hizo kwa hio hio barabara ni nature, 🤣🤣🤣 hivi ni vichekeshoHilo ni eneo la hifadhi, sheria za hifadhi , kila kitu kipo pale kwa uhalisia wake ( hutakiwi ku modify nature).
Moja ya faida kwenye utalii ni kuwa na Barabara mbovu, wakiweka lami, haitajuwa na maana tena, Wazungu wanakuja kulma real nature ilivyo, so Barabara kuwa mbovu ni sehemu ya utalii,Rais Samia
Pole na Majukumu ya Kuliongoza taifa.
Kwa niaba ya madereva Guide wa Utalii nipende kuelezea kero juu ya kona kali ya perving ya kupandia kutoka ndani ya Crater.
Mh Rais ni kwamba Mamlaka ya Ngorongoro imeshindwa kuchonga Mwamba hata mita mbili ili kuondoa wimbi la ajali inayotokea mara kwa mara.
Eneo hilo ni hatari na magari mengi hushindwa kuimaliza kona hiyo kwa kuwa ni Landcruiser warbus na pale unaporudi nyuma kuna hatari kubwa kwa kuwa ni shimo na hata wameshindwa kuweka vyuma pembezoni ili kuzuia ajali.
Wakati mwingine wageni huangua kilio pindi gari inaposhindwa kumaliza na kurudi nyuma
Rais Samia ikiwezekani turuhusiwe sisi tunaopita katika eneo hilo tuchonge kwa shoka kwani Adha imekuwa kubwa na wageni wanalalamika.
Rais Samia kero hii mara kadhaa tumekuwa tukiielezea NCAA ila hakuna hatua yoyote inayochukuliwa na hivi karibuni kuna ajali kadhaa zimetokea katika eneo hilo la mlima mkali na kona kali.
Natanguliza Shukrani za dhati
N.B
Niipongeze mamlaka kwa ufuatiliaji wa mara kwa mara wa Barabara zake ambazo ni bora..ila tatizo letu ni Kona ya kubusu wakati unapanda toka Crater
Soma dokezo vizuri..nimeizungumzia sharp kona barabara yenye perving wakti unapanda iongezwe mita hata mbili,gari mara nyingi haimalizi hugota ktk mwamba.Moja ya faida kwenye utalii ni kuwa na Barabara mbovu, wakiweka lami, haitajuwa na maana tena, Wazungu wanakuja kulma real nature ilivyo, so Barabara kuwa mbovu ni sehemu ya utalii,
Hiyo 4 wheel inazuia gari kurudi nyuma ikifeli break? Lile mwamba inastahili kuchongwaSio Mbovu mnabana mafuta tumia kawawa kupanda juu au 4 wheels
Sehemu mbuvu ni Olduvai kubwa kwenda Golini na Golini mpaka Seronera
Huko vifaa vya ukarabati vinatakuwa kukaa Station muda wote.....
Nani amekwambia hifadhi imeuzwa?Ngorongoro iliuzwa tangu awamu ya Pili
kwa waarabu
na ndiyo maana utekelezaji wake umeanza awamu hii
na ujenzi wa mahotels
Kwamba barabara zao watashindwa kujenga?