Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,850
- 12,086
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua daraja la Msingi na kuzungumza na wananchi wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida leo tarehe 16 Oktoba, 2023.
Daraja hili ni kiunganishi cha mikoa ya Singida na Simiyu na mikoa mingine inayounganisha ya Mara Arusha. Takribani Tsh. Bilioni 11.1 zimetumika katika kufanikisha ujenzi huu.
Amewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya mvua kubwa za El Nino zinazotarajia kuwepo baadae mwaka huu.
Daraja hili ni kiunganishi cha mikoa ya Singida na Simiyu na mikoa mingine inayounganisha ya Mara Arusha. Takribani Tsh. Bilioni 11.1 zimetumika katika kufanikisha ujenzi huu.
===
Rais Samia asema daraja hili ni kiungo muhimu kati ya kanda ya kati na nchi za Afrika Mashariki hususani mpaka wa Sirali. Ametoa wito kwa wananchi kufanya kazi kwa bidii ili kuchochea maendeleo yao, pamoja na kutunza madaraja hayo kwani yanajengwa kwa gharama kubwa.Amewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya mvua kubwa za El Nino zinazotarajia kuwepo baadae mwaka huu.