Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,129
- 7,450
Caths The Big cat ..
Apex Predator wa Dunia hii .
Apex Predator wa Dunia hii .
Hizo ni pesa zake binafsi vinginevyo angemuelekeza waziri wa fedha palepale atoe hizo pesa, ila serikali ilijenga msikiti wa Bakwata Kinondoni hili halina ubishi.Haya ni matumizi yasiyofaa ya fedha za umma. Mara zote tunaambiwa tusichanganye mambo ya serikali na dini. Sasa hii ni nini? Mbona Mali za nchi zinatumika kuendeleza hizi mainstream religious groups, wenye dini za kijadi mbona hakuna mali za serikali zinazopelekwa huko? Au sababu dini za kimila hawalalamiki?
Kudai katiba mpya ilitakiwa iwe jana
Hawalazimishwi kupokea, wanaweza kuzikataa pamoja na kukataa kusamehewa ushuru wa forodha pale kwa DPW.Alitakiwa akatoe ANGLICAN, LUTHERAN au MISIKITINI KATOLIKI sio wa level ya milioni 100 kwakweli ni kuwatania! Hili ni dhehebu tajiri!
Una ushahidi wa hili?Ni kutoka kwenye perdiem zake
Katoa millioni 100 kutoka kwenye akaunti yake binafsi? Fafanua tafadhali.Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya zoezi la kutabaruku Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mkoani Manyara ikiwa ni mchango wake kwa kanisa hilo.
Kwa niaba ya Rais, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa kauli hiyo katika Misa Maalum ya kumwombea Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius Nyerere.
Hii ina ashiria Amani na Nuru ya maelewano baina ya Serikali Ya Dr. Samia na Kanisa Katoliki, na hii ni baada ya miezi iliyopita Baraza la Maaskofu la Kanisa hilo Kutoa Waraka uliokuwa unapinga mkataba wa Serikali.
Binafsi nasema kila la Kheri, Mungu alisimamie Taifa letu la Tanzania.
Anawasaulisha😀😀Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya zoezi la kutabaruku Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mkoani Manyara ikiwa ni mchango wake kwa kanisa hilo.
Kwa niaba ya Rais, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa kauli hiyo katika Misa Maalum ya kumwombea Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius Nyerere.
Hii ina ashiria Amani na Nuru ya maelewano baina ya Serikali Ya Dr. Samia na Kanisa Katoliki, na hii ni baada ya miezi iliyopita Baraza la Maaskofu la Kanisa hilo Kutoa Waraka uliokuwa unapinga mkataba wa Serikali.
Binafsi nasema kila la Kheri, Mungu alisimamie Taifa letu la Tanzania.
Ndio uzuri wa kuwa na Rais TAJIRI.Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya zoezi la kutabaruku Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mkoani Manyara ikiwa ni mchango wake kwa kanisa hilo.
Kwa niaba ya Rais, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa kauli hiyo katika Misa Maalum ya kumwombea Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius Nyerere.
Hii ina ashiria Amani na Nuru ya maelewano baina ya Serikali Ya Dr. Samia na Kanisa Katoliki, na hii ni baada ya miezi iliyopita Baraza la Maaskofu la Kanisa hilo Kutoa Waraka uliokuwa unapinga mkataba wa Serikali.
Binafsi nasema kila la Kheri, Mungu alisimamie Taifa letu la Tanzania.
Mkuu hao viongozi wanaapa kwa kutumia biblia au quranTanzania ni nchi inayoongozwa na serikali isiyo na dini. Ikiwa kila mwenye taasisi yake ya dini atataka apewe fedha hii na rais, rais ataweza kutoa hela sawa kwa wote?
Kwa nini serikali inajiingiza kwenye mambo ya kufadhili makanisa,wakati kuna kazi nyingi za serikali zinahitaji pesa?
Wewe huelewi separation of church and state.Mkuu hao viongozi wanaapa kwa kutumia biblia au quran
Serikali haina dini kivipi?Wakati wanaapisha wafanyakazi kwa viapo vya kidini na wanataja Muumba wa mbingu na nchi
Hata Marekani ,Viongozi wanatamka maneno ya kuomba msaada wa muumba mbingu na nchi wakati wa kuapa
Hakuna serikali ya kipagani katika dunia hii,Tawala nyingi zilipinduani kwa ukabila na udini
Udini na ukabila ndio silaha za kampeni mpaka ulaya na Marekani
Watu wanabaguliwa kwenye chaguzi za ulaya kwa dini zao na kabila zao
Huyo Samia kutoa pesa kanisani ni mambo yake binafsi na hakuna mahali wameonyesha vitabu vya ikulu vimekuwa Debited
Magufuli alitoa pesa barabarani na misikitini yalikuwa ni mambo yake binafsi na pesa zake ,Hakuna mahali wameonyesha vitabu vya ikulu vilikuwa debited
Hizo fedha ni zake binafsi au ni za walipa kodi? Tanzania haina dini?Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya zoezi la kutabaruku Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mkoani Manyara ikiwa ni mchango wake kwa kanisa hilo.
Kwa niaba ya Rais, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa kauli hiyo katika Misa Maalum ya kumwombea Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius Nyerere.
Hii ina ashiria Amani na Nuru ya maelewano baina ya Serikali Ya Dr. Samia na Kanisa Katoliki, na hii ni baada ya miezi iliyopita Baraza la Maaskofu la Kanisa hilo Kutoa Waraka uliokuwa unapinga mkataba wa Serikali.
Binafsi nasema kila la Kheri, Mungu alisimamie Taifa letu la Tanzania.
Huwa wanafisha kutuambia kama ni zake binafsi au amenyofoa kutoka mfuko wa pamoja.Katoa kwenye Hazina au mshahara wake.
Kama ni hazina Basi ni Kodi zetu na ni swala kisiasa zaidi