Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Vijana wa mzee Kikwete mpo kazini Awamu hii.Ally Happy ni kiongozi was kisiasa katika nafasi ya R.C, lakini amekwisha kabisa kisiasa na huku saiti kila mtu anam-ng'ong'a, huu ni mzigo Mh. Rais, usikubali kuubeba...
Vijana wa aina hii wamejaa mtaani. Wanafanya kazi ya wale wanaopaa na ungo usiku.Kwa kosa lipi wewe..?
Vijana mnawivu Kwa vijana wengine wanapopata vyeo halafu wewe upo tu nyumbani, mnaanza kuwaombea mabaya waliopata kazi ili mlingane, akili za kijinga Sana Hizi na usikute wewe ni mtu nzima na akili zako, kazi yako ni wivu za kikekike, Acha uvivu aliyebarikiwa kabarikiwa tu
Pambafu
Mwendazake is stuck in your head like a melody 😂😂With all those Processes / Procedures in place, still Mwendazake akaibuka na Sabaya
Isitoshe Happy akiondolewa yeye hapati ,mshahara ulioachwa.Yaan MTU anaandika gazeti.Kumbe ni chuki tu.Nenda kaanzishe business upate pesa.Kuliko kuwazia wengine mabaya.Na namwambia huyu jamaa,kuwa atapoteza vingi kwa kuwa na chuki.Ila watz mna roho mbaya sana.
Nadhani Mungu uwa anaangalia nature ya roho zetu kabla hajaamua atulete nchi gani duniani.
Maana ukiangalia tuliozaliwa Africa wote roho zetu ni mbaya.
Jamani watu wanaroho mbaya , wivu unawasumbua ukimfuatilia yeye hata familia yake imemshimda kuongoza, lakini kusagia wengine kunguni tu kila kukicha.Ukiulizwa Wewe binafsi Ally amekukosea nini utasemaje?
Mwache rais afanye kazi aonavyo yeye, yeye ndio mwenye kujua roles zao hao wateule wake
Sio roho mbaya mkuu,natimiza wajibu wangu wa wa kiraia kuhakikisha viongozi was hovyo wanaondolewaIla watz mna roho mbaya sana.
Nadhani Mungu uwa anaangalia nature ya roho zetu kabla hajaamua atulete nchi gani duniani.
Maana ukiangalia tuliozaliwa Africa wote roho zetu ni mbaya.
Jamani watu wanaroho mbaya , wivu unawasumbua ukimfuatilia yeye hata familia yake imemshimda kuongoza, lakini kusagia wengine kunguni tu kila kukicha.
Mkuu, mwendazake kakuacha kapa, hata cheo cha mwenyekiti kamati ya misiba mtaani hujapataVijana wa aina hii wamejaa mtaani. Wanafanya kazi ya wale wanaopaa na ungo usiku.
Wanaishi maisha ya kishirikina kwa uvivu wao wasiotaka kuushughulikia.
Halafu imekuwa kasumba mbaya sana mtu akipata chochote anaibuka anayekufahamu kuzidi hata mwenyewe unavyojijuaBadala mtu apambane ili afanikiwe anapambana ili wenzie waharibikiwe, hii ndio dunia
Cheo kinafikiriwa sana na wapambe walio na utayari wa kulamba miguu ya watu.Mkuu, mwendazake kakuacha kapa, hata cheo cha mwenyekiti kamati ya misiba mtaani hujapata
Maza wamemchomekea..aangalie clip yoteSasa Mama anatumbua kwa hasira. Hii so sawa. Alitakiwa aisikilize hotuba yake yote. Siku hizi editors wamejaa kila Kona.
Ingawa pengine inawezekana Kuna sababu ingine
Halafu imekuwa kasumba mbaya sana mtu akipata chochote anaibuka anayekufahamu kuzidi hata mwenyewe unavyojijua