Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Bajeti kajadili na mkeo. Habari ya mjini ni kutenguliwa kwa Chalamila.
Kuhusu bajeti haina haja ya kutolea macho, waamuacho utake usitake utafuata, mie pia tafuata, nani unafikiri wa kubadili baadhi ya maamuzi yasio rafiki kwa kushauri!
 
Nilikuwa mbeya MAJUZI kati

kunajamaa walimlaani sana aliepumzishwa Jana huko MWANZA kiukweli nahisi TAKUKURU wanahitaji kulifanyia kazi hili jambo
kama walivyoita watu waje kutoa ushahidi muda muafaka sasa wa kuomba wana Mbeya watoe ushahidi wa mateso waliopata enzi za mtenguliwa

kilichonitisha wakati naondokaa to DAR jamaa wakiwa bar walisemaa

Unaondoka mpe mda jamaa yenu ataondoka kwa njia yoyote

Doh mbeya balaaa Mnatisha
Kama n MAOMBI Basi mkoo juu
 
Umeharibu hapo mwisho!!!
Mbeya si ya wanyakyusa Pekee
Wilaya ya mbeya-Wasafwa
Wilaya ya Rungwe,kyela-wanyakyusa
Wilaya ya Chunya-wasafwa
Wilaya ya mbalari-wasangu.
Kumbuka Mbeya mjini ipo ndani ya wilaya ya Mbeya,mjini Mbeya Kuna mchanganyiko wa makabila yote lakini bado Wasafwa ni wengi wakifuatiwa na Wakinga na Wanyakyusa!

Unapowataja Wanyakyusa unaitaja moja kwa moja wilaya ya Rungwe na kyela.
Watu uliowasikia wakimzungumzia CHALAMILA uliwauliza makabila yao?!

Sio kila unayemuona Mbeya ni mnyakyusa😔😔
 
Ally Hapi ndo kwanza alikuwa anajitambulisha kwenye wilaya za mkoa wa Tabora. Jumatatu na Jumanne alikuwa anajitambulisha wilaya ya Kaliua, Jumatano na Alhamisi alikuwa wilaya ya Urambo, Ijumaa amehamishwa mkoa.

Sijui kama alishamaliza kujitambulisha Tabora. Kazi Iendelee.
Jana alikuwa Igunga na akarudi Nzega.
 
Sasa anapelekwa ambako watu hawarembi! Hawana maneno mingi! AKAMAKINIKE! Mara sio Tabora!!!
Kabisa mkuu. Ally Happy ni mtu wa mihemko sana nimewahi kumkuta na wapambe wake mkoa flani kwenye starehe cha kushangaza hakutaka asiyekuwa mpambe wake asogee eneo walilokuwa wamekaa tulimtuliza na wapambe wake akawa mpole kama maji mtungini na angejua alitulizwa na vijana wa 95 .Ajirekebishe sana otherwise sooner he will get lost
 
Umeharibu hapo mwisho!!!
Mbeya si ya wanyakyusa Pekee
Wilaya ya mbeya-Wasafwa
Wilaya ya Rungwe,kyela-wanyakyusa
Wilaya ya Chunya-wasafwa
Wilaya ya mbalari-wasangu.
Kumbuka Mbeya mjini ipo ndani ya wilaya ya Mbeya,mjini Mbeya Kuna mchanganyiko wa makabila yote lakini bado Wasafwa ni wengi wakifuatiwa na Wakinga na Wanyakyusa!

Unapowataja Wanyakyusa unaitaja moja kwa moja wilaya ya Rungwe na kyela.
Watu uliowasikia wakimzungumzia CHALAMILA uliwauliza makabila yao?!

Sio kila unayemuona Mbeya ni mnyakyusa😔😔
 
Umeharibu hapo mwisho!!!
Mbeya si ya wanyakyusa Pekee
Wilaya ya mbeya-Wasafwa
Wilaya ya Rungwe,kyela-wanyakyusa
Wilaya ya Chunya-wasafwa
Wilaya ya mbalari-wasangu.
Kumbuka Mbeya mjini ipo ndani ya wilaya ya Mbeya,mjini Mbeya Kuna mchanganyiko wa makabila yote lakini bado Wasafwa ni wengi wakifuatiwa na Wakinga na Wanyakyusa!

Unapowataja Wanyakyusa unaitaja moja kwa moja wilaya ya Rungwe na kyela.
Watu uliowasikia wakimzungumzia CHALAMILA uliwauliza makabila yao?!

Sio kila unayemuona Mbeya ni mnyakyusa
Kwani wanyakyusa wenyewe wanasemaje
 
Chalamilaa mostly huwaga anacheza na mashabikii amekaa ki-comedian sana nadhan familia yake weng wanafit kwen Comedian kama yule mdog ake Chalamila Kiparaa wa ZecomeDy kila wakat anataka mashabiki zake wamchekee ana kosa kujua mipaka ya nafasi yakekuna siku akiea Mbeya kwen harambee nkaona anakua anamuamrisha Naibu Spika kwa kauli bila kujua yule n mkubwa wake lkn Tulia alitulia tu na kusmile Kamweeene Chalamilaa
 
Kama kuna lugha chafu tayar zlikuwaepo,,labda Chalamila kuwaruhusu waje na mabango machafuu ilikua n kutaka kuwakamata kirahis maan hako nako n kambinu kakee alipopewaga mkoa wa Mbeya wiki ya kwanza tuu alikutaga vijiji viwili vinamgogoro mkubwa uliopelekea kimoja kung'oa mabomba ya majii yaliyowekwa kupeleka maji kijji kingine yy akasema "jaman nyiny mmefanya sawa sabb hawa hawakuwaomba ruhusa kupitisha mabomba lkn mm nawaombeni woote mje kwen mkutano mpatanee haina sabb kugomban ni ndgu nyinyi basii vijana walee waliokimbilia porin na mbali ya vijij vyao wakarud wakiamn amani tupu jamaa alipita na defender za kutosha aliwakamata mkutanoni woote walijazana vituoni vya polisi havikutosha labda alitaka nao wa Mwanza awaone wasumbufu aanze nao yote kwa yote #Si kila homa n malaria
 
Back
Top Bottom