Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

Ukisikiliza hutuba yake nzima alimaanisha hayi mabango waende nayo ofisi kwake hata wakiandika matusi waende nayo kwake sio siku ya ziara ya Rais ..
Sasa sielewi kwanini watu wamekata kipande kidogo !!
Utakuja kuelewa propaganda zinavyotumika kwenye siasa....
 
Ally Happy ni kiongozi wa kisiasa katika nafasi ya R.C, lakini amekwisha kabisa kisiasa na huku saiti kila mtu anam-ng'ong'a, huu ni mzigo Mh. Rais, usikubali kuubeba.

Atafutiwe shimo la kum-flash, ukienda Mara, huyu itakuwa embarrassment kwako, futa kazi huyu, CCM ina vijana wengi wenye hekima na busara ya uongozi,ni teuzi pekee ambayo inasemwasemwa vibaya.

Kigumu chama cha mapinduzi
#matege
S2025
 
Siyo kwamba wamezipuuza ila watz wengi ni wajinga na wapumbavu!

Hivi unapuuzaje taarifa zitakazoathiri maisha yako kwa miaka zaidi ya 2 ijayo huku ukikomalia taarifa ya mtu mmoja ambae hana impact yeyote kwenye maisha yako? Kama si upumbavu ni nini hiki?
Mmmh. Umenikumbusha kitabu kimoja cha zamani....'UJINGA WA MWAFRIKA'.....
 
Ally Happy ni kiongozi was kisiasa katika nafasi ya R.C, lakini amekwisha kabisa kisiasa na huku saiti kila mtu anam-ng'ong'a, huu ni mzigo Mh. Rais, usikubali kuubeba.


Atafutiwe shimo la kum-flash, ukienda Mara, huyu itakuwa embarrassment kwako, futa kazi huyu, CCM ina vijana wengi wenye hekima na busara ya uongozi,ni teuzi pekee ambayo inasemwasemwa vibaya

Kigumu chama cha mapinduzi
#matege
S2025
Ila watz mna roho mbaya sana.
Nadhani Mungu uwa anaangalia nature ya roho zetu kabla hajaamua atulete nchi gani duniani.
Maana ukiangalia tuliozaliwa Africa wote roho zetu ni mbaya.
 
Alikuwa ni Mhadhili Msaidizi kwenye moja ya chuo kikuu kimoja wapo Mkoani Iringa. Ni maarufu sana Iringa kwa uimbaji wake wa nyimbo za Kihehe. Na ni Mnyalukolo wa kutokea Wilayani Mufindi bila shaka.
Aliyempa huo uhadhili alimpima akili kweli au teuzi za undugu.
Huyu mtu reasoning yake ipo below Sana kupewa nafasi ya kuongoza au kuelimisha wanafunzi
 
Doing your due diligence by using all the available resources at your disposal in order to get it right the first time.
With all those Processes / Procedures in place, still Mwendazake akaibuka na Sabaya
 
Kwa kosa lipi wewe..?

Vijana mnawivu Kwa vijana wengine wanapopata vyeo halafu wewe upo tu nyumbani, mnaanza kuwaombea mabaya waliopata kazi ili mlingane, akili za kijinga Sana Hizi na usikute wewe ni mtu nzima na akili zako, kazi yako ni wivu za kikekike, Acha uvivu aliyebarikiwa kabarikiwa tu

Pambafu
 
Siyo kwamba wamezipuuza ila watz wengi ni wajinga na wapumbavu!

Hivi unapuuzaje taarifa zitakazoathiri maisha yako kwa miaka zaidi ya 2 ijayo huku ukikomalia taarifa ya mtu mmoja ambae hana impact yeyote kwenye maisha yako? Kama si upumbavu ni nini hiki?
The propaganda machine is at work...Josef Goebbels waziri wa propaganda na utamaduni Nazi Germany aliwahi kusema "Let me control the media,and I will turn any nation into a herd of pigs"

Watawala wetu tokea awamu ya kwanza mpka ya sita wanalijua Hili,,ukiangalia vichwa vya habari leo ndo utajua hili,Habari kuu ni Ipi,,,wanatutoa Sana relini
 
Back
Top Bottom