Na ajue yunamtamani ile kiqumer tena ndani nje ,tutamfikia tu.
Ifike mahali Tanganyika iheshimiwe aisee siyo mtu kutoka mchambawima huko anakuja kuamrisha kuua Wana wema wa Tanganyika aaah! Hell No lazima alipie tena yeye mwenyewe ,wanae tutaomboleza nao.
Kuna watu hawakutendewa haki hapo. Baba levo hakutakiwa kukosa unaibu waziri wa sanaa (usanii). Dr Musukuma anafaa sana kuwa Waziri wa biashara kwani ana biashara nyingi sana zenye mafanikio.