...My Comment is...No Comment! 😏😏Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Wakawa.wangekuwa na brain Smart this year could end ccm era,msoga is holding us behindNa yeye njia moja tayari na CCM yake.
Bwana bwana....NRNE imefika mpaka ccm ndaaani😅😅😅😅 ndio kwanza nipo bia ya tatu bwashee
Lazima wakristo wamchukie kwanini anatoa pesa za walipa kodi kwa viongozi wa Dini kwakati nchi yetu siyo ya Dini, na kwanini hatoi pesa kwa watu ambao hawana Dini na kwanini yeye ana gawa pesa hovyo kwa watu ambao wanauwezo wa kujitegemea anaacha wagonjwa wasiojiweza kwa Matibabu, katumia zaidi ya Bilioni moja kwa kuwapa Maaskofu kwanini hizo pesa asinge wakusanya watoto wote mayatima akawalipa ada shule na Bweni. Lakini yeye anataka sifa kwa kuwasaidia watu mwenye maisha mazuri tu. Kwanini wezi wanaiba pesa za umma anawaacha.Kuwa makini sana sheikh, kama unatumika kisiasa ni heri ukaacha na ukafanya mambo yoko. ukiangalia asilimia kubwa ya wanaomchukia mama huyu ni wakristo, na asilimia chache ni waislamu ambao ni wafuata mkumbo tu. Wakati wa magufuli hatukuyaona haya, wakati wa mkapa hatukuyaona haya, ila akiingia tu Muislamu fyoko fyoko zinaanza
Pili, Uislamu haujatufundisha kuchukia mtu, awe Muislamu ama asie Muislamu wote tuwapende.
2030,Mtafika totally dehydrated,drip za maji kama zote na mikopo umiza toka abroad all angle We sold out as Job Ndungai hinted.Hizo ni ndoto za mchana kila panaspo karibia uchanguzi vitisho kama hivyo kuchomozwa na kutia hofu, kama JPM haiweza bila wenye chama na haikufa, kama JK aliweza pamoja na muunganiko wa RC na dr Slaa walishindwa kwa Raisi hu ni kazi nyepesi kishinda huo uchanguzi either uwepo au usiwepo atashinda tu. Tanzania nzima hatuna vichwa "think tanks" kupindua CCM, mass uprising hiyo jambo lisio wenzekana kabisa......kwa ufupi mama tuko nae mpaka 2030,
JK ndiye adui mkubwa wa Tanganyika.Wakawa.wangekuwa na brain Smart this year could end ccm era,msoga is holding us behind
NomaaaBwana bwana....NRNE imefika mpaka ccm ndaaani
Mbeleko Fc chama chake ndo Founder,na yeye ni co founder,Mimi akija na plan ya kuguta deni na kulishisha mpaka aliookikuta,Miaka 800 inamhsu,please Rais wa kukopa no more vibe.Aachie ngazi tu, si ameshakuwa rais, anataka nini tena?
Kama anaamini bado anataka kuwa rais basi aweke mchakato fair ndani na nje ya chama mbungi ipigwe haki bin haki siyo kutafuta mbeleko!
Daktari Samia hana shida, ila shida ipo kwa yule boss wake pale MSGChama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
ChaummaKuna KITU kinanambia SAMIA IPO SIKU atahama chama ataenda wapi SIJUI ILA MWISHO WA SIKU atasapoti upinzani ILI kuwakomoa ccm hapohapo Kuna chama kitashinda ni kipi sijui
Mkoa upi hajawahi kufika ?Amejazwa akajazika sasa hana pa kutokea.
Huyu hajui lolote kuhusu siasa za Tanzania na ccm.
Pale alipo kuna wilaya na mikoa hajawahi hata kufika. Anafikiri kila anayemsifia anamprnda??
Mama Samia Na Jakaya kikwete Forever!"i prefer not to speak , if i speak, am in big trouble"
Jose mourinho
Who cares!!!!2030,Mtafika totally dehydrated,drip za maji kama zote na mikopo umiza toka abroad all angle We sold out as Job Ndungai hinted.
Mimi mwenyewe simtaki.Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.
Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi.
Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye mamlaka wamepitisha kimabavu.
Ukinipa siku 1 ntashukuru sana.Ewaaaaaaaaah! Mengine atajua mwenyewe!
Hakijui chama vzr, kitamfia kweli na mkwere na yeye kama kawaida yake kuingiza watu chaka afu anaruka mita mia mambo yakicharuka.Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia.