Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,142
- 6,947
Filamu ya Tanzania Royal Tour, imeelezwa kuchangia kupandisha thamani ya madini ya Tanzanite.
Bei ya madini ya Tanzanite na uhitaji wa madini hayo umeongezeka maradufu baada ya filamu ya Royal Tour kumuonyesha Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye machimbo ya madini hayo.
Katika sehemu ya filamu hiyo, inamuonyesha mkuu huyo wa nchi akiwa katika machimbo hayo yaliyopo mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara.
Hayo yalibainishwa juzi Alhamisi Julai 21, 2022 na mmoja kati ya wakurugenzi wa kampuni ya Franone mining and Gems Ltd, Vitus Ndakize. Bei ya gram ilikuwa ni 400,000, ila sasa 600,000.