Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,142
- 6,947
- Thread starter
- #21
Ushahidi, mtafute, atakupa.Amekuwekea ushahidi upi?
Ushahidi, mtafute, atakupa.Amekuwekea ushahidi upi?
Waarabu wameendelea kutokana na mafuta(madini), TZ inaendeshwa na mikopo na kodi/tozo sio maliasili tulizonazo.Hakuna tija kivipi?
Waarabu nchi zao ni ndogo,na idadi ya watu ni kidogo.Nchi za kiarabu,unaweza kukuta nchi nzima,ina watu milioni nne,wakati Tanzania ina watu milioni 60.Waarabu wameendelea kutokana na mafuta(madini), TZ inaendeshwa na mikopo na kodi/tozo sio maliasili tulizonazo.
Tukubaliane kitu kimoja ambacho ni kweli pasi shaka.Waarabu nchi zao ni ndogo,na idadi ya watu ni kidogo.Nchi za kiarabu,unaweza kukuta nchi nzima,ina watu milioni nne,wakati Tanzania ina watu milioni 60.
Huna hoja.Unaishia kutukana.Nchi nyingi za kiarabu zenye maendeleo,wananchi wake ni kuanzia milioni nne(Oman),milioni 30(,Saudia),Milioni 40(Muungano wa Falme za kiarabu).Tukubaliane kitu kimoja ambacho ni kweli pasi shaka.
Wewe ni zuzu.
TZ hata iwe na population ya watu laki 1, kwa jinsi watawala walivyo walafi, waroho na wabinafsi itaendelea kuwa maskini.Waarabu nchi zao ni ndogo,na idadi ya watu ni kidogo.Nchi za kiarabu,unaweza kukuta nchi nzima,ina watu milioni nne,wakati Tanzania ina watu milioni 60.
Acha ujinga.Filamu ya Tanzania Royal Tour, imeelezwa kuchangia kupandisha thamani ya madini ya Tanzanite.
Bei ya madini ya Tanzanite na uhitaji wa madini hayo umeongezeka maradufu baada ya filamu ya Royal Tour kumuonyesha Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye machimbo ya madini hayo.
Katika sehemu ya filamu hiyo, inamuonyesha mkuu huyo wa nchi akiwa katika machimbo hayo yaliyopo mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara.
Hayo yalibainishwa juzi Alhamisi Julai 21, 2022 na mmoja kati ya wakurugenzi wa kampuni ya Franone mining and Gems Ltd, Vitus Ndakize. Bei ya gram ilikuwa ni 400,000, ila sasa 600,000.
Huna hoja,acha kujitukana.Acha ujinga.
Na utalii pia.Sehemu ya filamu ya ‘Royal Tour’ ikimuonyesha Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye machimbo ya madini ya Tanzanite yaliyopo mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, imetajwa kuongeza uhitaji na bei ya madini hayo maradufu.
Bei ya gramu moja ya madini ya Tanzanite (inategemea na ubora na rangi yake), awali gramu moja ilikuwa inauzwa Sh400,000, ila baada ya Rais Samia kuonekana kwenye Royal Tour gramu moja inauzwa Sh600,000.
Hii ni fursa kwa Tanzania, kwani uhitaji wa madini ni mkubwa na bei imepanda na tumefaidika kupitia Rais Samia kuyatangaza madini yetu kwenye filamu ya Royal Tour.
We MÀTAGA mbona husemi kuwa shilingi yetu imeshuka thamani?Sehemu ya filamu ya ‘Royal Tour’ ikimuonyesha Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye machimbo ya madini ya Tanzanite yaliyopo mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, imetajwa kuongeza uhitaji na bei ya madini hayo maradufu.
Bei ya gramu moja ya madini ya Tanzanite (inategemea na ubora na rangi yake), awali gramu moja ilikuwa inauzwa Sh400,000, ila baada ya Rais Samia kuonekana kwenye Royal Tour gramu moja inauzwa Sh600,000.
Hii ni fursa kwa Tanzania, kwani uhitaji wa madini ni mkubwa na bei imepanda na tumefaidika kupitia Rais Samia kuyatangaza madini yetu kwenye filamu ya Royal Tour.
Hii comment yako mbona nyuzi zako zote unaiwekaHuu uzi wenye faida, hauna wachangiaji. Lakini ukileta uzi wa uongo,wa kushuka mapato, wachangiaji wanakuwa wengi.
Kwa sababu ni nyuzi,yenye ukweliHii comment yako mbona nyuzi zako zote unaiweka