ANT - NYONDENYONDE
JF-Expert Member
- Jul 29, 2024
- 229
- 199
Kabisamama anastahili kwa kweli hata afike 2035 sawa tu
Kabisamama anastahili kwa kweli hata afike 2035 sawa tu
Ukilazimisha majina utajikuta hata wewe hapo unatajwa kama Kiwandamnaweza kuvitaja kwa majina ?
Ni vile vya Wachina vinavyotengeneza Jack Daniel’s kule Mbagalaviko wapi mbona huwa hatuvioni? viwanda alfu thelathini sio kitu kidogo ujue, manake kuna majengo 30,000 ya viwanda, uhalisia ungeonekana au vipo wapi hivyo viwanda? wakati wa magu tuliambiwa sijui kuna viwonder zaidi ya laki mbili, tulipouliza viko wapi wakasema hata cherehani ni kiwonder. tukasema sawa!
Ambapo kila Unit wanai_term kama kiwanda😂😂😂Ni vile vya Wachina vinavyotengeneza Jack Daniel’s kule Mbagala
Majina yapo yoteUkilazimisha majina utajikuta hata wewe hapo unatajwa kama Kiwanda
Kwani kiwanda kina maana gani?Karakana, tailoring marts, mashine za kusaga na kukoboa pia zinahesabiwa kuwa ni viwanda
Hata blender ni kiwandaKwani kiwanda kina maana gani?
==
Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na jumla ya Viwanda 50,000.
Miaka minne ya Rais Samia Tanzania imefikia jumla ya Viwanda 80,128 sawa na viwanda vipya 30,128 ambavo ni sawa na ongezeko la 60.3% ndani ya miaka minne(4) .
Tanzania kwa sasa inaziada ya tani 3m za sementi ambapo tumefikia tani 10milioni juu ya lengo la tani 7milioni, Pia kwa sasa Tanzania inaziada ya Bati(Msauzi) tani 130milioni kwa kuwa na akiba ya tani 260milioni kutoka hitaji la tani 130milioni.
View: https://www.youtube.com/live/sXTjrzsHUwU?si=kSsjr54A8rPZcZkE
Haiwezi kuwa hata kama,Blenda ya mange umeihesabu kama kiwanda pia ee?
Inatosha Mitano mkuuKazi na iendelee Mitano hamtoshi
Kazi imefanyika Oktoba Tunatiki==
Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na jumla ya Viwanda 50,000.
Miaka minne ya Rais Samia Tanzania imefikia jumla ya Viwanda 80,128 sawa na viwanda vipya 30,128 ambavo ni sawa na ongezeko la 60.3% ndani ya miaka minne(4) .
Tanzania kwa sasa inaziada ya tani 3m za sementi ambapo tumefikia tani 10milioni juu ya lengo la tani 7milioni, Pia kwa sasa Tanzania inaziada ya Bati(Msauzi) tani 130milioni kwa kuwa na akiba ya tani 260milioni kutoka hitaji la tani 130milioni.
View attachment 3400068
TUNATIKI AMA KWA HAKIKAKazi imefanyika Oktoba Tunatiki
Hivo viwanda vime ajiri marobotiii au?Lakini
vijana wanamaliza vyuo hawapati ajira
HAKUNAHivo viwanda vime ajiri marobotiii au?
Hakunà .nchi ambayo raia wote wanafanya KAZI
hija dhaifu! kutoka kwa chawa mchafu wa magamba ya kijaniHivo viwanda vime ajiri marobotiii au?
Hakunà .nchi ambayo raia wote wanafanya KAZI
hija dhaifu! kutoka kwa chawa mchafu wa magamba ya kijaniHAKUNA