Rais Samia aongeza viwanda vipya 30,000

Rais Samia aongeza viwanda vipya 30,000

Hivi ni vile viwanda vya enzi za bwana Kaijage cherehani nne tayari kiwanda.
Kweli kabisa,sidhani kama raia wanahoji ni aina gani ya viwanda na viko mahali gan
Kwa idadi hii kila kona ya wilaya na majiji ingekua imechafukwa na viwanda
 
Huyu mama ni zawadi ya upendeleo kwa watz ni Mungu tu katupendelea imagine tuna viwanda vingi kuliko Japan, America na Germany.Tunaongoza kwa mauzo ya nje yaan exports kwa Africa nzima. Pia tuna unemployment rate ndogo kuliko nchi zote Africa na Asia at 12%. Pia tunaimport kwa kias kidogo kuliko nchi zote Africa. Tuna stable source of energy yaan umeme haukatiki kwa juhudi za mama za kumalizia bwawa la Nyerere
hizo taarifa unazitoa wapi?
 
==​

Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na jumla ya Viwanda 50,000.

Miaka minne ya Rais Samia Tanzania imefikia jumla ya Viwanda 80,128 sawa na viwanda vipya 30,128 ambavo ni sawa na ongezeko la 60.3% ndani ya miaka minne(4) .

Tanzania kwa sasa inaziada ya tani 3m za sementi ambapo tumefikia tani 10milioni juu ya lengo la tani 7milioni, Pia kwa sasa Tanzania inaziada ya Bati(Msauzi) tani 130milioni kwa kuwa na akiba ya tani 260milioni kutoka hitaji la tani 130milioni.

View: https://www.youtube.com/live/sXTjrzsHUwU?si=kSsjr54A8rPZcZkE

viko wapi mbona huwa hatuvioni? viwanda alfu thelathini sio kitu kidogo ujue, manake kuna majengo 30,000 ya viwanda, uhalisia ungeonekana au vipo wapi hivyo viwanda? wakati wa magu tuliambiwa sijui kuna viwonder zaidi ya laki mbili, tulipouliza viko wapi wakasema hata cherehani ni kiwonder. tukasema sawa!
 
==​

Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na jumla ya Viwanda 50,000.

Miaka minne ya Rais Samia Tanzania imefikia jumla ya Viwanda 80,128 sawa na viwanda vipya 30,128 ambavo ni sawa na ongezeko la 60.3% ndani ya miaka minne(4) .

Tanzania kwa sasa inaziada ya tani 3m za sementi ambapo tumefikia tani 10milioni juu ya lengo la tani 7milioni, Pia kwa sasa Tanzania inaziada ya Bati(Msauzi) tani 130milioni kwa kuwa na akiba ya tani 260milioni kutoka hitaji la tani 130milioni.

View: https://www.youtube.com/live/sXTjrzsHUwU?si=kSsjr54A8rPZcZkE

Chadomo watakuja kutukana
 
Back
Top Bottom