Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,400
- 3,943
Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Hayati Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Hayati Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia sana Magufuli kuliko wote waliotajwa.
Ndio maana hata kwenye kuiweka majini meli ya billion 109 hakuhudhuria wananchi wangemshangilia shujaa Magufuli.
Rais akubali kutembelea Nyota ya JPM itamsaidia sana, hata kama angefanyeje azidi wa mbali sana kiutendaji na kiuwajibikaji na JPM.