Rais Samia anadanganywa sana Mapinduzi ya Kilimo ya Bashe

Bashe akiendelea kuwa Waziri wa Kilimo, mchele na mahindi yote yatasombelewa na kupelekwa Somalia na Kenya kila mwaka.

Wakati wa mavuno, atawaleta ndugu zake wafanyabiashara kuja kununua mazao ya wakulima kwa bei chee kwa kisingizio cha soko huria, na mwisho wa siku kuendelea kutusababishia mfumuko wa bei katika bidhaa za chakula.
Kalime yako uuze Bei ndogo basi mkuu
 
Kuna mambo ya msingi wanamficha "Mama" kwa maslahi binafsi! Huwezi ukataka kuijenga kesho huku unajisahaulisha kuwa unatakiwa kula leo na tunaambiwa vijana ni Taifa la leo sio kesho.
Kwamba yeye ni sanamu haoni ana fichwa?? Kuna mda mnatafuta kasoro na kutafta njia ya kumtoa kwenye ilo tatizo kwani ye haoni ?
 
Unata Bei iweje mkuu
Watoto mnaoishi kwa baba mnashida sana inamaana huoni bei ya mazao ilivyopanda huko sokoni unamsifia kwa lipi alilofanya

Chochote anachofanya kama waziri lazima kiwe reflected kwenye bei ya mazao sokoni tofauti na hapo ni siasa na propaganda
 
Kalime yako uuze Bei ndogo basi mkuu
Ukitaka kila mtu aende shambani akalime, huduma nyingine katika jamii atatoa nani?
Maisha katika jamii yoyote ile hutegemeana! Na ndiyo maana kuna kitu kinaitwa specialization.

Serikali iache kutumia njia za mkato na pia kukwepa majukumu yake ya msingi. Yaani kuwaumiza watu wa kundi fulani, kwa lengo la kuwafurahisha watu wa kundi lingine.
Jukumu kuu la serikali ni kuwasaidia wananchi wake wote kuishi/kuyafikia maisha bora.

Waangalie changamoto zinazowakumba wakulima, ili mwisho wa siku wazalishe mazao kwa kutumia gharama ndogo! Na hivyo bei ya chakula pia kuwa rafiki wa wanunuzi.

Hiki kitendo cha kuruhusu wafanyabiashara kutoka Kenya, kuja kununua mazao ya wakulima shambani kwa bei nafuu, na mwisho wa siku kusababisha bei ya chakula kupanda mara dufu, kinaifanya serikali ionekane ni useless kwa wananchi wake.
 
bashe tumpe muda he can make it watanzania tuache kubeza kila kitu wewe mtoa mada ukipewa hii nafasi utafanya nini tuache roho za kimaskini
Mkuu hiyo ya mleta post sio roho ya kimaskini kama ulivosema kwani sisi maskini hatunaga
hiyo roho ngumu kupitiliza ila nakuhakikishia hiyo itakuwa roho ya kijangiri ndio watu wasiopenda kuona taifa la tanzania linafanya vizuri.
 
umeongea mkuu Watanzania tunapenda sema kukwamishana ..tumuache huyu bwana tuone tumpe miaka mitano tuone transformation itakayotokea
 
Inasikitisha sana hii nchi mtu anaweza Danganya hadi Maproff na wakaaa kimya ila ukweli wanaujua.

Bashe anazungumzia Block za Kilimo mara mapinduzi ya kilimo, hii ni hadaaa kubwa sana.

Huwezi zungumzia Mapinduzi ya Kilimo bila kuanza kuhakikisha vitu vifuatavyo;

1. Mapinduzi ya Elimu ya Kilimo- Kwa sasa kuna uhaba wa walimu wa Agricultire zile shule za michepuo ya kilimo zimebakia jina tu hakuna tena ile nguvu ya shule za Kilimo kama ilivyo kuwa enzi zile.

Vyuo vya kilimo- Tembelea vyuo hivi ya kilimo unaweza lia, vyuo ni tamabakia magofu tupu pale, Majengo choka mbaya, Wakufunzi wenyewe ni walisha kata tamaa, hakuna vifaa ya kujifunza na kufundishia.

Kama hujawekeza kwenye Elimu ya Kilimo, hayo pinduzi yanaletwa na nani?

2. Utafiti- Still bado hakuna uwekezaji wa maana kwenye utafiti wa mambo ya kikimo, taasisi za utafiti zina pesa tu ya kawaida.

3. Mapinduzi ya viwanda vya Kilimo ambavyo sana vitasababishwa na mapinduzi ya elimu za kilimo
Dhana za kilimo tunazo tumia asilimia 100 tunaagiza nje, wapi ile ZZK Mbeya? Si waliaha badilisha kuwa kiwanda cha Pombe?

4. Huwezi force watu wote vijana wakusanyike Dodoma na Kigoma kulima mazo mnayo taka nyie,

Kuna Kijana anataka kuwekeza labda kulima Tangawizi yuko Same huyu hana namna anapaswa kwenda kulima alzeti Dodoma kwenye zile Block.

Kijana yuko Rombo anataka kuwekeza zaidi kwenye kilimo cha migomba na yeye aende Dodoma?

Kijana yuko Rungwe pia huko Mbeya anataka kulima ndizi vipi aende Dododma.kwenye Block?

5. Je taasisi zote za Serikali zimeandaliwa kusapoti kilomo? Kuna Policy zimeandaliwa na wanapaswa kusaini? Ili basi wasapoti mapinduzi ya kilimo au ni hadaaa?

Vipi Policy ya TANESCO kuhusu kusapoti kililimo inasemaje?

Vipi policy ya TBS kwenye kukuza kilimo?
Vipi Policy ya mamlaka my be za maji safi na maji taka?

Vipi Policy ya Jeshi la Police hasa Trafiki, je wana mwongozo wa kusaidia kilimo hasa zile swagwa zao za kusimamisha simamisja magari hata yanayo wahisha mazao ya kilomo sokoni?

Commercial Bank kuna sehemu wanabanwa ili wasapoti Kilimo? au ni uamuzi wao?

Kama policy zipo je zisipo tekelezwa kuna watu wanawajibishwa?

Mapinduzi ya kilimo sio aina hio tunayo aminishwa na Bashe hapo, bado sana
Mheshimiwa Bashe atakiwa aje hapa JF akujibu masuali yako maana yote ni mazito na yenye nguvu kubwa.
 
Tatizo haliko kwa bashe tu tatizo ni ufikiri na utayari wa viongozi wetu kutukwamua wao kila wanachoanzisha lazima kiwe na upigaji ndani yake
 
Ukitaka kila mtu aende shambani akalime, huduma nyingine katika jamii atatoa nani?
Maisha katika jamii yoyote ile hutegemeana! Na ndiyo maana kuna kitu kinaitwa specialization.

Serikali iache kutumia njia za mkato na pia kukwepa majukumu yake ya msingi. Yaani kuwaumiza watu wa kundi fulani, kwa lengo la kuwafurahisha watu wa kundi lingine.
Jukumu kuu la serikali ni kuwasaidia wananchi wake wote kuishi/kuyafikia maisha bora.

Waangalie changamoto zinazowakumba wakulima, ili mwisho wa siku wazalishe mazao kwa kutumia gharama ndogo! Na hivyo bei ya chakula pia kuwa rafiki wa wanunuzi.

Hiki kitendo cha kuruhusu wafanyabiashara kutoka Kenya, kuja kununua mazao ya wakulima shambani kwa bei nafuu, na mwisho wa siku kusababisha bei ya chakula kupanda mara dufu, kinaifanya serikali ionekane ni useless kwa wananchi wake.
Na huwez inua kilimo kwa njia hii
 
Na huwez inua kilimo kwa njia hii
Kilimo kinainuliwa kupitia sera zitakazowekwa na serikali makini kwenye hiyo sekta.

Mfano kuwakopesha wakulima zana za kilimo, kuondoa kodi zote zinazowaumiza hao wakulima, kuwajenhea miundombinu ya kilimo mfano mifereji ya umwagiliaji, mabwawa, nk, kuwatengenezea mazingira ya kupata mikopo ya kilimo na yenye riba ndogo, kuwapa ruzuku ili wazalishe mazao yao kwa gharama ndogo, kuwahakikishia masoko ya uhakika ya kuuza mazao yao, (na siyo kutuhusu walanguzi kununua mazao yao, na yakiwa bado shambani na kwa bei ya chini kama ilivyo sasa, nk.)

Je, serikali yetu inayafanya haya kwa wakulima wetu?
 
Inasikitisha sana hii nchi mtu anaweza Danganya hadi Maproff na wakaaa kimya ila ukweli wanaujua.

Bashe anazungumzia Block za Kilimo mara mapinduzi ya kilimo, hii ni hadaaa kubwa sana.

Huwezi zungumzia Mapinduzi ya Kilimo bila kuanza kuhakikisha vitu vifuatavyo;

1. Mapinduzi ya Elimu ya Kilimo- Kwa sasa kuna uhaba wa walimu wa Agricultire zile shule za michepuo ya kilimo zimebakia jina tu hakuna tena ile nguvu ya shule za Kilimo kama ilivyo kuwa enzi zile.

Vyuo vya kilimo- Tembelea vyuo hivi ya kilimo unaweza lia, vyuo ni tamabakia magofu tupu pale, Majengo choka mbaya, Wakufunzi wenyewe ni walisha kata tamaa, hakuna vifaa ya kujifunza na kufundishia.

Kama hujawekeza kwenye Elimu ya Kilimo, hayo pinduzi yanaletwa na nani?

2. Utafiti- Still bado hakuna uwekezaji wa maana kwenye utafiti wa mambo ya kikimo, taasisi za utafiti zina pesa tu ya kawaida.

3. Mapinduzi ya viwanda vya Kilimo ambavyo sana vitasababishwa na mapinduzi ya elimu za kilimo
Dhana za kilimo tunazo tumia asilimia 100 tunaagiza nje, wapi ile ZZK Mbeya? Si waliaha badilisha kuwa kiwanda cha Pombe?

4. Huwezi force watu wote vijana wakusanyike Dodoma na Kigoma kulima mazo mnayo taka nyie,

Kuna Kijana anataka kuwekeza labda kulima Tangawizi yuko Same huyu hana namna anapaswa kwenda kulima alzeti Dodoma kwenye zile Block.

Kijana yuko Rombo anataka kuwekeza zaidi kwenye kilimo cha migomba na yeye aende Dodoma?

Kijana yuko Rungwe pia huko Mbeya anataka kulima ndizi vipi aende Dododma.kwenye Block?

5. Je taasisi zote za Serikali zimeandaliwa kusapoti kilomo? Kuna Policy zimeandaliwa na wanapaswa kusaini? Ili basi wasapoti mapinduzi ya kilimo au ni hadaaa?

Vipi Policy ya TANESCO kuhusu kusapoti kililimo inasemaje?

Vipi policy ya TBS kwenye kukuza kilimo?
Vipi Policy ya mamlaka my be za maji safi na maji taka?

Vipi Policy ya Jeshi la Police hasa Trafiki, je wana mwongozo wa kusaidia kilimo hasa zile swagwa zao za kusimamisha simamisja magari hata yanayo wahisha mazao ya kilomo sokoni?

Commercial Bank kuna sehemu wanabanwa ili wasapoti Kilimo? au ni uamuzi wao?

Kama policy zipo je zisipo tekelezwa kuna watu wanawajibishwa?

Mapinduzi ya kilimo sio aina hio tunayo aminishwa na Bashe hapo, bado sana
Yaezekana bashe akawa na mapungufu kweny hili but at least ni wazir anajitahid san ingawa ndio mwanzo tumpe muda!! Maana angalia slogan ya Tanzania ya viwanda lkn ukiangalia hakukua na strategies zozote juu ya kutoa elimu na mafunzo juu ya umiliki na uendeshaji wa viwanda vikubwa na vidogo.. mfano zile cherehani!!
 
Sio rahisi kuanza na vyote, na kila safari huanza na 0 km.
Na ndio maana hii inchi tunakwama hapa tulipo sababu tunaamini katika kuanzisha mambo kwa nguvu ya soda bila kuwa na matarijio ya muda mrefu ya huko mbeleni itakuwaje.

Sasa kama umemuelewa vema mleta mada ni kwamba hili swala la kilimo kwake amelitazama kwa picha kubwa na kuliona ni mbio za sakafuni ambazo ukingo wake ameshauona.

Hatuwezi kuwa watu wa kubahatisha mipango wakati mataifa mengine wanafanya serious na kwa umakini hadi matokeo yanaonekana.

Sasa hapa ukitazama ni serikali wanataka kufanya kazi ya raia.

Wewe unampangiaje mtu kilimo cha kufanya wakati yeye dhamira yake haipo huko. Hapo si ni sawa na kilimo cha kuajiri ambacho ni wewe mwenyewe ndie utatakiwa kudeal nacho kwenye masoko na hadi mwisho wake.

Hela tunapoteza nyingi sana ila kama wangekuwa na akili hawa watu wa serikalini wangejikita katika kuusoma mfumo wa kilimo ambao raia wanauamini na kwenda nao, kutokutumia pesa kwenye miradi wanayoanzisha wao badala yake raia ndio wapate mikopo wakuze kilimo chao kutoka cha kujitosheleza na kuingia cha Biashara.

Wajikite katika kufanya tafiti na kuzifanyia kazi hizo tafiti maana bila tafiti watapata wapi majibu ya changamoto za sekta ya kilimo na masoko yake.

Lakini pia , elimu, mfumo wa elimu umekaa kimtego sana. Unawaamisha vijana kuwa ukulima na shughuli za kilimo ni za watu ambao wamekosa la kufanya kwenye maisha yao ma hivyo wanakwenda kujivundika huko. Lakini pia, wanafanya kazi ya ukulima ionekane ni ya kimasikini kumbe si kweli.
 
Huu ni ukweli uliowazi anadhamira njema ila tatizo wataalamu wetu wana read minds za wanasiasa badala ya kutoa technical assistance so anakuwa mislead kwakua wakati mwingine wataalamu wanatoa options ambazo hazipo viable wala si sustainable.

Pengine ni incapacity aliyoiona mstaafu CAG wetu Prof. Assad, kwenye technical personnel yetu, then kama nchi tunatakiwa kuwa makini kuliko kumwingiza Mh. Rais na wananchi kwenye crisis za mara kwa mara kwakupeleka models ambazo hazijahakikiwa at action research levels kujua pros and cos zake kwenye country level; implementation kama vile tozo zilivyo sababisha sintofahamu mpaka leo.
Wazo la Waziri Bashe liko sahihi kabisa. Kasoro ni kuwa hajalipa muda. Ilibidi aanze na vitu vifuatavyo kabla ya Rasilimali watu:
1) Uandaaji wa vitalu
2) Uandaaji wa Dam za umwagiliaji
3) miundo mbinu

Shughuli hii ilipaswa kuchukua kama miaka miwili. Baada ya hapo 2024/2025 ndio angeingiza Rasilimali watu kazini.
 
Kumbe unakumbuka hata ile siasa ni kilimo, kilimo ni uti wa mgongo, hii itafeli na nchi itawategemea wakulima wadogo kama kawaida kilimo sio kulazimisha ni passion ya mtu, hasa hao vijana waliopelekwa huko wanaamini kwanza wanaenda kua mabilionea hapo tatizo linaanzia hapo na navowajua wabongo watapungua mmoja mmoja hasa pesa ikipungau halafu programme itaishia hapo
Pale tulikuwa mbali sana. Sasa hivi inawezekana, ila kaiharakisha. Program ilibidi iandaliwe kwa miaka isiyopungua miwili. Nakuhakikishia kuwa kilimo katika miaka hii kina sura nyingine, sura ya kibiashara zaidi.
 
Inasikitisha sana hii nchi mtu anaweza Danganya hadi Maproff na wakaaa kimya ila ukweli wanaujua.

Bashe anazungumzia Block za Kilimo mara mapinduzi ya kilimo, hii ni hadaaa kubwa sana.

Huwezi zungumzia Mapinduzi ya Kilimo bila kuanza kuhakikisha vitu vifuatavyo;

1. Mapinduzi ya Elimu ya Kilimo- Kwa sasa kuna uhaba wa walimu wa Agricultire zile shule za michepuo ya kilimo zimebakia jina tu hakuna tena ile nguvu ya shule za Kilimo kama ilivyo kuwa enzi zile.

Vyuo vya kilimo- Tembelea vyuo hivi ya kilimo unaweza lia, vyuo ni tamabakia magofu tupu pale, Majengo choka mbaya, Wakufunzi wenyewe ni walisha kata tamaa, hakuna vifaa ya kujifunza na kufundishia.

Kama hujawekeza kwenye Elimu ya Kilimo, hayo pinduzi yanaletwa na nani?

2. Utafiti- Still bado hakuna uwekezaji wa maana kwenye utafiti wa mambo ya kikimo, taasisi za utafiti zina pesa tu ya kawaida.

3. Mapinduzi ya viwanda vya Kilimo ambavyo sana vitasababishwa na mapinduzi ya elimu za kilimo
Dhana za kilimo tunazo tumia asilimia 100 tunaagiza nje, wapi ile ZZK Mbeya? Si waliaha badilisha kuwa kiwanda cha Pombe?

4. Huwezi force watu wote vijana wakusanyike Dodoma na Kigoma kulima mazo mnayo taka nyie,

Kuna Kijana anataka kuwekeza labda kulima Tangawizi yuko Same huyu hana namna anapaswa kwenda kulima alzeti Dodoma kwenye zile Block.

Kijana yuko Rombo anataka kuwekeza zaidi kwenye kilimo cha migomba na yeye aende Dodoma?

Kijana yuko Rungwe pia huko Mbeya anataka kulima ndizi vipi aende Dododma.kwenye Block?

5. Je taasisi zote za Serikali zimeandaliwa kusapoti kilomo? Kuna Policy zimeandaliwa na wanapaswa kusaini? Ili basi wasapoti mapinduzi ya kilimo au ni hadaaa?

Vipi Policy ya TANESCO kuhusu kusapoti kililimo inasemaje?

Vipi policy ya TBS kwenye kukuza kilimo?
Vipi Policy ya mamlaka my be za maji safi na maji taka?

Vipi Policy ya Jeshi la Police hasa Trafiki, je wana mwongozo wa kusaidia kilimo hasa zile swagwa zao za kusimamisha simamisja magari hata yanayo wahisha mazao ya kilomo sokoni?

Commercial Bank kuna sehemu wanabanwa ili wasapoti Kilimo? au ni uamuzi wao?

Kama policy zipo je zisipo tekelezwa kuna watu wanawajibishwa?

Mapinduzi ya kilimo sio aina hio tunayo aminishwa na Bashe hapo, bado sana
Umegusa penyewe.
 
Back
Top Bottom