Ya zamani hii acheni uchonganishi
Ya zamani hii acheni uchonganishi
ni muhimu sana akina kasongo na makhulukhutabu wote kuzingatia sheria vinginevyo mtawajibishwa bila mbambamba yoyoteHiyo ilikuwa kitambo sana kabla ya kujua mtu mzima hatishiwi nyau.
Hata kama ungekuwa kwa mtaji huu:
Lissu, CHADEMA katika mapito sahihi ya ukombozi. Wananchi na dunia iko pamoja nanyi!
hautarudisha ngoma Kwa kipa?
Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa na wale wengine, au nasema uongo?

ni muhimu sana akina kasongo na makhulukhutabu wote kuzingatia sheria vinginevyo mtawajibishwa bila mbambamba yoyote![]()
Huyo kiumbe nimemblock huwa sitaki kusoma upumbavu wakeGlenn moja hili hapa.
Hivi unayo habari yoyote na hawa ndugu?
Pre GE2025 - CCM yakerwa Lissu na wapinzani kubughudhiwa wakiwa kwenye kufanya siasa. "Yataka 4R za mama, ziheshimiwe!"
Waona tunavyojitoaga kimasomaso?
Huyo kiumbe nimemblock huwa sitaki kusoma upumbavu wake
Kimeng'ang'ania madarakani kwa miaka 60?Matokeo ndio hayo!Lisu kapuni!Wengine wanafuata!
Tukubaliane na ukweli ccm ndio chama tawala.cha kudumu !!
nina majukumu ya msingi na mazito zaidi ya kufahamu ya wengine gentlemanGlenn moja hili hapa.
Hivi unayo habari yoyote na hawa ndugu?
Pre GE2025 - CCM yakerwa Lissu na wapinzani kubughudhiwa wakiwa kwenye kufanya siasa. "Yataka 4R za mama, ziheshimiwe!"
Waona tunavyojitoaga kimasomaso?

Red DevilTunajua anamsema Lissu - kwa namna ambayo tunaona her true colours sasa. Nyekundu kama damu.
nina majukumu ya msingi na mazito zaidi ya kufahamu ya wengine gentleman![]()
Kuambiwa tuwe na mabadiliko kwenye sheria zetu za uchaguzi ili tuwe na usawa kwenye kinyang'anyiro. Yeye keshakimbilia machafuko. Watched kiburi cha madaraka kuna leo na kesho. Asisahau Jiwe alikuwa na nguvu kuliko yeye yuko wapi???
Tume imepita tena nenda ka hakiki taarifa zako, achana na hizo hallucinationNo Reforms No Election 🔥
Mi sioni kama anamtisha yeyote.
wanasiasa wanajuana vizuri sio wakuwaamini, unaweza ukafikiri Samia na Lisu labda kuna bonge la beef hawaongei ,wala hawaombani chumvi. Kumbe wenyewe wanapigiana simu wanacheka ila huku kwenye majukwaa ya siasa kila mmoja anataka afurahishe watu wake. Siamini hata kidogo kwamba Lisu ana kinyongo na Samia au samia kuwa na kinyongo na Lisu, na ukitaka kujua na pale mchakato wa kimahakama ukikamilika hata Lisu akipatakina na hatia utashangaa mda sio mrefu Rais atamsamehe.Mbona huyo Lissu hana shukrani kwa Samia? Maana angekuwa bado Magufuli ni Rais sasa hivi Lissu angekuwa bado yuko ukimbizi huko Brissels Belgium. Hili jamaa lilipewa kipaji cha mdomo mchafu tu lakini busara ni ZERO
Kwa hiyo Samia alikuwa anataka kumuingilia Lissu kinyume na maumbile? Kwa kutumia dildo? Maana Richard Amsterdam yeye ana uumeKwa hiyo wewe mtu aliekuokoa uhai wako akikuambia sasa nataka nikuingilie kinyume cha maumbile utakubali kwa sababu tu unataka kuwa mtu wa kuonyesha shukurani?
Hujasoma. Unapaswa uelewe fasihi. Tunaita lugha linganifu au symbolic language, kama vile kusema sheria imenajisiwa. Wewe unawaza mambo ya uume tu?Kwa hiyo Samia alikuwa anataka kumuingilia Lissu kinyume na maumbile? Kwa kutumia dildo? Maana Richard Amsterdam yeye ana uume
Kazi kwenu Lissu na Erythrocyte nyie Makhulukutabu
chama jeshiMatokeo ndio hayo!Lisu kapuni!Wengine wanafuata!
Tukubaliane na ukweli ccm ndio chama tawala.cha kudumu !!