Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,704
- 14,451
Kwenye Internet kile unachoandika kwanza ndiyo unaletewe kwenye keyboard. Kama unaandika sana neno Tanzania, ukianza na Tan tu utakuta linakuletea Tanzania.Hujasoma. Unapaswa uelewe fasihi. Tunaita lugha linganifu au symbolic language, kama vile kusema sheria imenajisiwa. Wewe unawaza mambo ya uume tu?
Hata instagram kama unaangalia sana picha za real Madrid au Liverpool, kila ukifungua page ndizo utaona nyingi zimejaa.
Hivyo hivyo kwa binadamu kile ulichozoea kufanya sana ndicho kwenye mfano kitakuja cha kwanza.
Ulipolinganisha mfano wa kutembelewa Lissu na Samia huko Belgium na mambo ya kuingiliwa nyuma, ina akisi tabia yako uliyonayo ya kuingiliwa nyuma. Hakuna cha fasihi hapa.