Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,637
- 2,382
Wanaohamasisha uasi.Lisu na Lema
Wanaohamasisha uasi.Lisu na Lema
Uasi kupiga mambo ya hovyo ni halaliWanaohamasisha uasi.Lisu na Lema
Halafu police wakimkamata Lissu CCM kweli waseme wamekereka na kukamatwa kwa Lissu? WTF!
Hawa watu,kwa hali ya kawaida wasingeweza kuongea haya,ni Mungu kaingilia kati ili watanzania wafunguke macho wajue kinachofanyika kwenye chaguzi zetu.
Mbona huyo Lissu hana shukrani kwa Samia? Maana angekuwa bado Magufuli ni Rais sasa hivi Lissu angekuwa bado yuko ukimbizi huko Brissels Belgium. Hili jamaa lilipewa kipaji cha mdomo mchafu tu lakini busara ni ZEROJuzi hapa katika mjadala kuhusu kinachoendelea kati ya Israel na Palestina, kuna mtu alisema ni wazi Hitler alikuwa na sababu nzuri za kuwamaliza Wa-Israel. NIlimwambia hata Israel wafanye ukatili na unyama wa namna gani kwa Wapelestina, wewe unakuwa muovu zaidi ya Hitler kwa kuhalalisha maovu aliyofanya kwa Waisrael.
Sasa leo namsikiliza Raisi wangu mwenyewe akitamka kwa kinywa chake kuonyesha kwamba kile kilichofanywa kwa wanasiasa wa upinzani huko nyuma ilikuwa ni halali. Sikujua kuna siku ndani ya Tanzania nitakuja kusikia kauli kama hii ikihalalisha maumivu yaliyosababishwa na utawala uliopita! Tatizo ni nini hasa, kuutaka uraisi? Kuna nini huko Ikulu kinachofanya watu wajitoe ubinadamu kwa kiwango hiki?
Hii ni sawa na kusema ''Nilivaa ngozi ya kondoo,sasa naivua muone sura yangu halisi''
Kumbe uchaguzi wa 2025 ulishafanyika. Zitto unalo na ndoto za kuwa chama kikuu.
nadhani alikua anawakumbusha tu makhulukhutabu kwamba ni vizuri kuzingatia sheria

Mwisho wa siku rekodi za Samia zitambeba kama kiongozi aliyepaisha uchumi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa.HUyu mama anapenda kusifiwa hata kwenye hamna, na wahuni washamjulia wanashindana kuanzisha sa100 sijui legal aid, mara bao la mama, chawa wa mama, mama asemewe nk nk
Anayekwenda tofauti na hao chawa kwake ni adui...bora avue hicho kilemba tu avae kapero tujue moja!
say no to unafiki!
brazaj Huo uzi wako unakinzana na kauli ya huyu ....
Ume tag matetereHiyo ilikuwa ya zamani sana mkuu. Si Kwa mtaji huu:
Hiyo ilikuwa kitambo kabla ya kujuamti mzima hatishiwinyau.
Hata kama ungekuwa kwa mtaji huu:
Lissu, CHADEMA katika mapito sahihi ya ukombozi. Wananchi na dunia iko pamoja nanyi!
hautarudisha ngoma Kwa kipa?
Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa na wale wengine, au nasema uongo?
Kwa hiyo wewe mtu aliekuokoa uhai wako akikuambia sasa nataka nikuingilie kinyume cha maumbile utakubali kwa sababu tu unataka kuwa mtu wa kuonyesha shukurani?Mbona huyo Lissu hana shukrani kwa Samia? Maana angekuwa bado Magufuli ni Rais sasa hivi Lissu angekuwa bado yuko ukimbizi huko Brissels Belgium. Hili jamaa lilipewa kipaji cha mdomo mchafu tu lakini busara ni ZERO
Ccm imejaa kiburi sana , kama Mungu angekua ni ccm ,dunia ilisha futika mda mrefu, watu wanakuja na hoja za maana juu ya taifa lao, ili kuwe na mshikamano ,tunawambia watukutu ,hii sio sawa
Ume tag matetere