PostGE2025 Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 12, 2025

PostGE2025 Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 12, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
tukio lililoshindikana kufanyika muda ule saa 6, na watu wakaishia kuwa online tu wakiangalia socket za umeme za ikulu bila sauti. Sasa nini hasa kilikuwa kinaendelea huko? Au labda taarifa zilishapokelewa na mimi nikachelewa kuingia?
 
Niliwaambia kama hamumpendi Samia mtasombwa na msongo wa mawazo na kufa haraka.
ooohh mara yupo ICU mara kafa.
Komatsu linapiga kazi tu
 
Back
Top Bottom