Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu,pole mjane
Unajitoa ufahamu au una taahira ya akili!? We hujamsikia Mbowe akitangaza civil disorder? mara kadha ametumia mikutano tena kwa lazima kutangaza ujingaujinga huo, we unajua hata nini kilipelekea kifo cha Aquilina? ni huyo huyo Mbowe na maubishi yake ya kijinga
 
Et unajua 7bu ya kifo cha Aquilina!!!unajifanya una akili sana kumbe mweupe tu
Unajitoa ufahamu au una taahira ya akili!? We hujamsikia Mbowe akitangaza civil disorder? mara kadha ametumia mikutano tena kwa lazima kutangaza ujingaujinga huo, we unajua hata nini kilipelekea kifo cha Aquilina? ni huyo huyo Mbowe na maubishi yake ya kijinga
 
Unajitoa ufahamu au una taahira ya akili!? We hujamsikia Mbowe akitangaza civil disorder? mara kadha ametumia mikutano tena kwa lazima kutangaza ujingaujinga huo, we unajua hata nini kilipelekea kifo cha Aquilina? ni huyo huyo Mbowe na maubishi yake ya kijinga
Qumermeyoor.
 
Katika mambo ninayo mlaumu Mwalimu Nyerere Mpaka Leo ni;Kutuletea CCM ambayo mfumo wake kandamizi umegeuka kuwa ukoloni .Kitu kingine ni kutuingiza kwenye vita iliyokuwa hatuhusu ya Uganda,kisa tu kumrudisha madarakani rafiki yake Obote aliyepinduliwa na Amini.Toka vita ya uganda Uchumi wa Tanzania umepita kwenye wakati mgumu sana.
Vita yenyewe haikuwa na tija sababu Obote mwenyewe hakubaki madarakani,alipinduliwa tena baada ya muda mfupi!
 
Back
Top Bottom