Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

Punguani mkubwa, kwa taarifa hakuna alowahi kuwa mwadilifu tanesco kama mramba.
Mcha mungu na mtenda haki.
Uchaga ulimponza na ilitumika kiki ya kijinga kama iliyotumika kumuondoa mkurugenzi wa mihimbili ili aweke msukuma mwenzake,
Uongozi wa mwendazake ulikuwa wa kikabila sana
Acha kujilisha upuuzi

Mramba aliondolewa baada ya tanesco kuwasilisha pendekezo la ongezeko la tarrif la 8%,
Aliyekuwa waziri wa Nishati kipindi hiko Prof Muhongo alitengua mapendekezo hayo na January 2017 Mramba akaondolewa kisha Dr Mwinuka ndio akateuliwa

Sasa na huyó Dr Mwinuka alikuwa Msukuma!???

Unaposema Jpm aliwachukia wachaga, je hufahamu kuwa Prof Adolph Mkenda aliteuliwa na Jpm kuwa katibu mkuu viwanda na biashara,,,, Je huyu Mkenda sio kutoka Jamii ya mkoa wa Kilimanjaro

Na ingekuwa ana chuki hiyo, je idara nyeti kama ya Mkurugenzi Mkuu TISS angewekwa bw Msuya!???

Washauri ndugu na Jamii yako wawe waadilifu, wasiwe wezi wezi na watu wa 'kitu kidogo' ili wasije kukumbwa na mkono wa kiongozi mwenye kutaka waadilifu

Leo hii kiongozi wa Serikali akifanya maamuzi ya kuwaondoa ombaomba mjini, basi kama tutaangalia kwa muktadha wa kabila lipi litakaloathirika sana basi ni wagogo, na ndio wataanza kumchukia na kusema huyu kiongozi hatupendi sisi wagogo
 
Ila mimi nina chuki na Samia ile mbaya natamani hata Hamza angempiga yeye shaba,amefanya maisha kuwa magumu zaidi na hakuna hope tena,bora Magufuli mara 100
Samia amefanyaje maisha magumu, maana ka ni wakandarasi wameanza kulipwa kwa Kasi ya 4g haonei mtu tuko free hamna hofu hyo inatosha kabisa, magu staki hata kumsikia aisee
 
Duuu tumwfikia huku Tanesco imekuwa kama Nssf miaka 2015 kurudi nyuma na misikiti itakuwemo humo ndani...ingawa nasikia Maharagwe sio mnazi kivile mambo ya dini.....tusubiri tuone
 
Samia amefanyaje maisha magumu, maana ka ni wakandarasi wameanza kulipwa kwa Kasi ya 4g haonei mtu tuko free hamna hofu hyo inatosha kabisa, magu staki hata kumsikia aisee
Umejuaje kama haonei mtu,unatumia kipimo gani kujua kwamba haonei mtu,sema labda hakuonei wewe
 
Mkuu uko sawa, mfano wakurugenzi na madc aliteua zaidi ya 50% ngoshaz! Wengine dhaifu kabisa! Mm nina mifano halisi. Mm siyo muislam lakini acha mama ateue tu. Jiwe alipandikiza mbegu mbaya sana ya ukabila na chuki nyingi mno kwa watu waliotofautiana naye kimtazamo. Kwa kweli apumzike tu anapostahili. Mbaya zaidi katika maraisi wote walioongoza tz, yeye ndiye ameongoza muda mfupi(ukimtoa samia anayeendelea) lakn ndiye raisi aliyemtaja Mungu hadharani mara nyingi kuliko wote ila matendo yake sasa!
Aliwajaza kila corner mkuu bila kujali hata uwezo na alikuwa na double standard sana angalia mfano daudi bashite, pia yoyote aliyetofautiana naye alikuwa adui mkubwa..hafu alijaza wakristo tu asilimia kubwa tena wanaume hakuwa ana amini wanawake kabisa. Chief hangaya ana balance mambo kwa dini zote Hadi jinsia bado watu Wana musema tu.
 
Mimi sioni tatizo hata akiteuwa wakristo au waislam wengi kama ni wachapa kazi na sio wala rushwa!!

Lakini tusisingizie mtu uongo. Kipindi cha Magufuli ngazi zote za juu walikuwa waislam:
1) Makamu wa rais - Mwislam
2)Rais wa Zanzibar- Mwislam
3) Waziri Mkuu - Mwislam
4) Jaji Mkuu - Mwislam
5)Katibu Mkuu kiongozi - Mwislam
6) Mkuu wa Usalama wa Taifa - Mwislam
7)……
 
Nilikuwa nina kujibu uliposema teuzi za Magufuli watu walikuwa hawalalamiki. Sio kweli..watu walilalamika hapa sana. Mpaka kuwapakazi watu ni wasukuma au mtoto wa dada yake!!
Kila jambo huhitaji balance nchi hii ina makabila mengi na wasomi pia why ubase one side?
 
Mimi sioni tatizo hata akiteuwa wakristo au waislam wengi kama ni wachapa kazi na sio wala rushwa!!

Lakini tusisingizie mtu uongo. Kipindi cha Magufuli ngazi zote za juu walikuwa waislam:
1) Makamu wa rais - Mwislam
2)Rais wa Zanzibar- Mwislam
3) Waziri Mkuu - Mwislam
4) Jaji Mkuu - Mwislam
5)Katibu Mkuu kiongozi - Mwislam
6) Mkuu wa Usalama wa Taifa - Mwislam
7)……
Hizo za juu huwa kawaida tu tunasemea position nyingi zilivokuwa lazima ziwe na diversity na sio ku base one side. We need equal sharing ya nchi yetu
 
Mimi sioni tatizo hata akiteuwa wakristo au waislam wengi kama ni wachapa kazi na sio wala rushwa!!

Lakini tusisingizie mtu uongo. Kipindi cha Magufuli ngazi zote za juu walikuwa waislam:
1) Makamu wa rais - Mwislam
2)Rais wa Zanzibar- Mwislam
3) Waziri Mkuu - Mwislam
4) Jaji Mkuu - Mwislam
5)Katibu Mkuu kiongozi - Mwislam
6) Mkuu wa Usalama wa Taifa - Mwislam
7)……
Hafu Zanzibar kule almost ni waislamu tu kule Sasa ulitaka achague wapi?
Hafu Mimi hupenda viongozi wa kiislamu sana ingawa ni mkristo, Rais alikuwa mkristo ila uonevu wake na mauaji ya watu Hadi kwa viroba na alikuwa anataja Mungu na kuhutubia kanisani daily ila anavunja katiba
 
Aliwajaza kila corner mkuu bila kujali hata uwezo na alikuwa na double standard sana angalia mfano daudi bashite, pia yoyote aliyetofautiana naye alikuwa adui mkubwa..hafu alijaza wakristo tu asilimia kubwa tena wanaume hakuwa ana amini wanawake kabisa. Chief hangaya ana balance mambo kwa dini zote Hadi jinsia bado watu Wana musema tu.
Awamu hii hata wakina Mushi na Mrosso mmekumbukwa.
RIP Profesa Magu
 
Back
Top Bottom