Rais Samia afanya uteuzi. Katibu Mkuu Kiongozi ahamisha Vigogo 5 TANESCO

Ofisi Nzima Pale Ikulu Wamejaa Waislamu Tu
Rais _ Muislam
CS - Muislam
Km Ofsi Ya Rais Ikulu ni Muslam
Chief of Protocol ni Muislam
Wasaidizi wa Rais 8 pale Ikulu 6 ni waislam na 2 ndio Wakristo
hii ichi imeamza kupata viongozi wa ovyo sana, mmoja alikuwa mkabila na mdini, huyu mwingine amekuwa mdini sababu huku Hana kabila au.
 
Kumbe wewe futuhiiini wakati gani dr shein alikuwa makamo wa rais,bilal, wakati wa mwinyi pia
Nimekueleza hapo juu unategemea zanzibar upate rais au makamu wa rais wa Tanzania asiye muislam? Tumia akili
 
Bado hiyo siyo 'solution'. Kama watahitaji Tanesco iwe vizuri ni kufumua kila mtu kuanza upya. Simaanishi wafutwe kazi ila ile dhana ya 'kujuana' sana iondolowe. 'Imagine' unafika Tanesco unamkuta mama, baba, mtoto na mjomba wote wameajiriwa Tanesco sasa kazi zitaenda kweli hapo?
kama Mramba na wajukuu zake
 
Nilikuwa nina kujibu uliposema teuzi za Magufuli watu walikuwa hawalalamiki. Sio kweli..watu walilalamika hapa sana. Mpaka kuwapakazi watu ni wasukuma au mtoto wa dada yake!!
Alimpa mtoto wa aliyekuwa house girl wake uDED rombo alikuwa kilaza alafu mbishi sana! Amefanya mambo ya hovyo pale chama na kamati ya bunge walilalamikia uwezo wake muda mrefu jiwe akamuacha tu hadi miaka minne ndiyo akamtoa. Yaani kabinti kana mambo ya bongo muvi balaa! Jiwe!
 
Wao wako busy na biashara na kujiajiri ndio maana hata nafasi za uongozi hawajawahi kuzipata kwa wingi ka wa kanda ya ziwa
Usinikumbushe wakati Lowassa alipokuwa Waziri mkuu, kipindi hicho Tamisemi ipo chini yake alivyojaza wakina Mollel huko kwenye Halmashauri.

Wakati wa kampeni za 2015, Lowahasa akaropoka kanisani. Eti awamu hii ni zamu yetu Walutheri. Sijui nani alimwambia kuna zamu za kidini.
 
M/kiti wa bodi Ya Tanesco Ni Muislam
DG Wa Tanesco pia ni Muislam
DG Wa Rea Ni Muislam Pia

Ts Islamic State

Bakwata Wanaupiga Mwingi Sana
Kwani hao wa DINI nyingine hawana haki ya kupata NAFASI katika JAMHURI YA TANZANIA tukifanya COMPARISON ya mgawanyo wa MADARKA ukweli kwamaba hao waislam hawana nafsi ya kutosha kabisa na wala hawana shida ..

Na mkiendelea na style hii ya kuchunguza DINI za watu tunapo kwenda huko mbele TANZANIA ITAGAWANYIKA vipande vipande sababu sasa hivi tupo Katika DUNIA ya FUJO hasa ukweli kwamba TANZANIA hii unayo iona ilipo fikia kwa sasa ni vike TIMING BOOM kinacho subiria ni any TRIGGER iwe sababu kwahiyo lete HOJA zenye AFYA sio hoja za DINI .
 
Hapo sasa umekuwa muwazi kwamba awamu ya bibi ushungi imewakumbuka wabinafsi wa taifa.
uongo wachagga huwa hawahitaji hisani ya mtu kuishi ka nyakati ngumu za jiwe wali survive licha ya kupigwa vita na waja waka survive sembuse zamu ya mama mpenda haki aisee
 
Usinikumbushe wakati Lowassa alipokuwa Waziri mkuu, kipindi hicho Tamisemi ipo chini yake alivyojaza wakina Mollel huko kwenye Halmashauri.

Wakati wa kampeni za 2015, Lowahasa akaropoka kanisani. Eti awamu hii ni zamu yetu Walutheri. Sijui nani alimwambia kuna zamu za kidini.
Nchi hii ukirushiwa nofu la nyama share tu na watu wako utafanyaje Sasa maana ngoyai mwenyewe kwa asili ni mumeru kabisa, so favoratism Iko tu bongo hii Bora hata waswahili sio hatari kwa kubebana ka wabara
 
Baada ya kuruka ruka , hatimaye umeingia kwenye nyavu.

Ulikuwa unasubiri nini ku admit kwamba nchi hii nafasi zinatolewa kwa upendeleo na sio kwa vigezo. Na samia ni captain wa the same boat, hence we expect nothin new born from her.
 
uongo wachagga huwa hawahitaji hisani ya mtu kuishi ka nyakati ngumu za jiwe wali survive licha ya kupigwa vita na waja waka survive sembuse zamu ya mama mpenda haki aisee
Samia anapenda haki zipi ?

Ebu acha mara moja matumizi ya maneno mpenda haki mahali palipojaa dhuruma na ushetwani
 
Back
Top Bottom