Rais Samia aambiwe ukweli, vinginevyo Taifa litaangamia

Rais Samia aambiwe ukweli, vinginevyo Taifa litaangamia

Yaani kaandika maoni kama anamshuri jiwe na sio Samia au mi ndo sijui kusoma vizuri.
Samia amesema kuwa yeye na jiwe ni pete na kidole, ingawa ukweli ni kuwa kuna tofauti kubwa baina yao. Maoni haya yamelenga kumkumbusha kuwa yeye na jiwe ni wawili tofauti kabisa na anapaswa kujibrand kwa kutengeneza utawala wa kuheshimu katiba na sheria!
 
Sasa mbona mliufyata?!! Unacheza na uncle Jiwe nini?
Uliufyata wewe lakini wengine tuliendelea kumpa makavu mpaka akawa anatukana kama mwehu! Kumbuka pia tulikuwa tunachukuwa tahadhari kwa sababu akizidiwa kwa hoja anatumia polisi na wasiojulikana kukuangamiza. Tumempiga spana mpaka ameingia kaburini mdomo wazi haamini kilichomtokea!
 
Pls guy's give our President Samia a break,Rais Samia anajitahidi mno na kwa kipindi kifupi ameonyesha she is a superb,kelele za mtoa hoja hii mbona hukuileta wakati wa kipindi cha mwendazake?elewa uelewa wa Rais wa sasa ndio umekupa wewe nguvu wa kuandika haya bila woga.Give credits inapositahili usiwe kama spoiled child.
Hizo siyo kelele, mwendazake alikuwa hayawani asiyeambilika sasa huyu anaambilika acha watu waseme ukweli
 




Wengine hao sikia madereva wanakwambia hayo mambo walishaanza kusahau kipindi cha Magufuli yanarudi upya na rushwa juu.

Mama badala ya kubaki na team yenye mafanikio analeta ubinifu wake. Huu moto bado nasubiri mishahara kuanza kuchelewa ndio watu wataanza kuelewa kazi ya kuendesha nchi sio lelemama kama wanavyodhani, mama viatu kwenye hiyo nafasi vinapwaya.

Alikuwa na nafasi kubwa sana ya kuaminika angeendelea na team ya Magufuli especially kwenye kusimamia mapato na teama Magufuli ndani ya CCM hasa Bashiru kwa nafasi yoyote ile walishaanza kuelewa jinsi ya kuwamudu wanachama wao na watendaji serikalini. Vitu ambavyo vilikuwa aviwezekani kwa miaka 30 ya utawala wa Mwinyi, Mkapa na JK.

Moto wenyewe huko njiani huo moshi tu. Make no mistake it’s coming mama hiyo kazi sio size yake kabisa.

Na bahati mbaya wanaoumia ni wananchi!

Taabu sana.
 
Kiongozi usipokua makini na mwenye uthubutu na mwenye misimamo thabiti, wananchi hawawezi kukupanda kichwani , huyu Mama watampa headache akiendelea kuwa soft , hii nchi magufuli ndo alikua anaiweza bwana
Aliiweza kwa kuua watu!
 
Tumempiga spana mpaka ameingia kaburini mdomo wazi haamini kilichomtokea!
Hivi ka Jiwe kalizikwa mdomo wazi? Pole ya kenyewe ingawa kalituchachafya mpaka wapigania haki wakaufyata!
 
Back
Top Bottom