Rais Samia aajiri Polisi Wapya 16,000

Rais Samia aajiri Polisi Wapya 16,000

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
3,579
Reaction score
2,906
HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA

Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
 
HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA

Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo.Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
kachanganyikiwa watu wake wa karibu wazidishe uangalizi
 
HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA

Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
Mwanangu usipolamba teuzi ni wewe tu sio kwa hizi pambio zaa kila siku, Bangi Bangi Bangi
 
HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA

Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
Sio kuajiri tu hata walio takiwa kustafu mwaka huu wamesublishwa wenzao wanalalamika wanasinzia tu kazini
 
watekaji ni wao wenyewe wasilete drama
OCTOBA NI TIKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

MAMA ANAFANYA KILA SEKTA YEYE TU
 
HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA

Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
Raisi wa kwanza Duniani kuajiri askari, hii ilikuwa inafanywa na watalawa wa Roman empire,
 
HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA

Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
Nenda katiki mapolisi hiyo October
 
mama anatisha kama radi aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom