Rais Samia aajiri Polisi Wapya 16,000

Rais Samia aajiri Polisi Wapya 16,000

HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA

Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
Vipi kuhusu mafisadi sio kazi yao?
 
Ananuka Ananuka Ananuka

View: https://youtu.be/3rmxx-R44Gk?si=1QUyR93gu1OWXviz
 
HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA

Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
Kukomesha itekaji na watekaji ndio hao hao wakomeshaji , hizi si bangi tu hizi , mnajitekenya mnacheka wenyewe
 
HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA

Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
kazi inaendelea vizuri
 
Mambo 20 Chini ya Rais Samia​

  1. Diplomasia ya Uchumi – Amefungua Tanzania kwa dunia, kurejesha mahusiano mazuri ya kimataifa na kuvutia wawekezaji.
  2. Miradi ya Maji – Utekelezaji wa miradi mikubwa ya maji vijijini na mijini, kuhakikisha wananchi wanapata huduma safi na salama.
  3. Sekta ya Afya – Ujenzi na ukarabati wa hospitali, vituo vya afya na zahanati nchi nzima; kuongeza vifaa tiba na dawa.
  4. Sekta ya Elimu – Kuondoa ada kwa shule za sekondari hadi kidato cha sita na ujenzi wa shule mpya pamoja na mabweni.
  5. Barabara na Miundombinu – Ujenzi na ukarabati wa barabara kuu na za vijijini, madaraja na barabara za mchepuo mijini.
  6. Mradi wa Umeme Vijijini – Upanuzi mkubwa wa REA unaowafikia wananchi wengi zaidi vijijini.
  7. Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) – Kuendeleza mradi wa umeme wa megawati 2,115 kwa maendeleo ya taifa.
  8. Uboreshaji wa Shirika la Ndege (ATCL) – Kununua ndege mpya na kuongeza safari za kimataifa.
  9. Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) – Kuendeleza mradi wa reli ya umeme kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza.
  10. Uwekezaji katika Bandari – Kuboresha bandari za Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ili kuongeza biashara na mapato.
  11. Ajira kwa Vijana – Kupitia miradi ya kilimo (Building a Better Tomorrow – BBT) na sekta nyingine.
  12. Kilimo na Chakula – Kutoa ruzuku ya mbolea na pembejeo, kuanzisha Programu ya Kilimo cha Kibiashara.
  13. Mikopo ya Halmashauri 10% – Kuimarisha upatikanaji wa mikopo kwa vijana, wanawake na walemavu.
  14. Mapambano dhidi ya Ufisadi na Rushwa – Kuimarisha uwajibikaji na uwazi katika taasisi za umma.
  15. Sekta ya Madini – Kuboresha mikataba ya madini ili Tanzania inufaike zaidi.
  16. Michezo na Sanaa – Kuwezesha vijana kushiriki kimataifa na kuanzisha mfuko wa kuendeleza sanaa.
  17. Afya ya Mama na Mtoto – Kujenga vituo vya kisasa vya huduma ya dharura na kuongeza watoa huduma.
  18. Mfumo wa Kidigitali Serikalini – Kuongeza matumizi ya TEHAMA katika utoaji huduma.
  19. Utalii na Hifadhi za Taifa – Kutangaza Tanzania kimataifa kupitia filamu, promosheni na uwekezaji.
  20. Amani na Umoja wa Kitaifa – Kuimarisha mshikamano wa kijamii, kisiasa na kuendeleza majukwaa ya mazungumzo ya kitaifa.
 
HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA

Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
Some dreams!
 
Back
Top Bottom