Rais Samia aache kumdharau Waziri Mkuu

Rais Samia aache kumdharau Waziri Mkuu

akina Kasimu naye ndio walewale jamii ya kiroboto., hakuna namna nyengine jina lake ni kasimu tu ndivyo lilivyoandikwa kwenye cheti chake.,
Nyinyi wabongo mnapenda vyeo na ubwanyenye mama anataka maendeleo
Yule ni waziri mkuu anastahili heshima, Kwanza Samia hajamteua wote waliteuliwa na hayati hamna haja kumdharau.
 
Jana sijapenda reaction ya Samia. Kwa jazba ile, kesho anaweza kutuma watu wakuue kama wewe ni mpizani wake. Sijapenda, huyu mama ni hatari sana as long as ana majeshi ya kuua!
Kile kiti kina raha ya ajabu, wengi wanaingia wakiwa wasabi lakini wanalazimika kuwa madikteta kwa wanaotishia kuwapoka kile kiti.
 
Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Kassimu alishaharibu nafasi yake mara baada ya msiba wa Magu.
Alikuwa kambi ya kumzunguka mama, Ndugai naye lazima alikuwamo.
Statement ya mama inaeleza mengi.
Ina maana mpango wa kumrithi Magu kiti cha urais ulikuwa unasukwa bungeni.
Na ndiyo maana ya " kule kwa kina Kassimu"
 
Kassimu alishaharibu nafasi yake mara baada ya msiba wa Magu.
Alikuwa kambi ya kumzunguka mama, Ndugai naye lazima alikuwami.
Statement ya mama inaekeza mengi.
Ina maana moangi wa kumrithi Magu kiti cha urais ulikuwa unasukwa bungeni.
Na ndiyi maana ya " kule kwa kina Kassimu"
Hilo juzi kati Kassimu alishalitolea ufafanuzi kuwa watu wasiwaze urais
 
Jana sijapenda reaction ya Samia. Kwa jazba ile, kesho anaweza kutuma watu wakuue kama wewe ni mpizani wake. Sijapenda, huyu mama ni hatari sana as long as ana majeshi ya kuua!
Kama binadamu lazima utapanik Iwapo mtu atachezea heshima katika yale unayoyasimamia
Hao walioropoka kama walikua na nia safi wangeweza tu kumkabiki mama na kuyaongelea sio lazima kutangazia
Tena wao ni rahisi kumpata any time
Sasa ile njia alitumia ndagai na mama ametumia hiyo hiyo
 
as a president siyo njia sahihi!
 
Nadhani hajamdharau ni katika kuongea tu akaona amwiye kwa jina lake. Ni sawa mtu akisema " kwa akina Ndugai"
 
Je nae ulipomkemea ulimwambia kuwa amethibitisha kuwa wanaume hawafai kuongoza nchi?
Hatukusema kwa sababu hakumwiga mtu ilikua ni tabia yake na hiyo tabia ilionekana mapema, lakini huyu kaiga kumdharau waziri mkuu hakupaswa kuiga
 
Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Anayebagazwa ni huyu huyu?

IMG_20211221_134205_429.jpg
 
Nadhani hajamdharau ni katika kuongea tu akaona amwiye kwa jina lake. Ni sawa mtu akisema " kwa akina Ndugai"
Hebu weka hiyo statement kichwani alafu uiseme ukiwa na hasira alafu unamchamba mtu uone Kama yupo sahihi ama ni dharau kwa waziri mkuu
 
Au ndio kwa maana alisema rais ni mzima wa afya na anapiga kazi?
Ilikua ni kula time ili kusuka mipango?
 
Back
Top Bottom